Acha uongo Mwanza Dar ndo route ya abiria wengi wa Local! Tena kwa abiria wa ndani nyinyi arusha hamfikii hata nusu ya Mwanza!Leo asubuhi nimefika "KIJIJI CHA WAVUVI" nimehuzunika sana. Mkoa uko nyuma sana kwenye mambo ya kisasa, Yaani ATCL wanatoa Dreamliner kuja Mwanza abiria hatufiki hata 50!!! Watu wa huku wamezoea Super Najimunisa na Zuberi coach. Aibu sana, bora hili li-dege lingeenda A-Town kwa wajanja lisingekosa abiria 300. View attachment 2570742View attachment 2570743