Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hahah mwanza bana kwa kujipa sifa mnaongoza ..Yani hako kakitu hapo chini ni plaza? Mji local sana huo[emoji1484]
Acha kujitoa ufahamu angalia hilo dude lingine arusha nzima hakuna kama hilo, na kama lipo weka picha😂😂😂
 
Uzuri jiji la Arusha hao sio wenyeji. Chaushamba bana, utachekwa chaushamba.
Unatia huzuni, wakazi halisi wa arusha ni wamasai ambao wanajiita waarusha ni watu wapo kilocal sana nao huwa ni sehemu ya utalii.
 
We fala Nini eti kuanzia mwinyi. Kusema huo upuuzi ndo umekuwa mjanja 😂. Bangi ya maji ya chai hii.
 
Kwani dar ndio nini yani? Dar ata sisi kuna mambo wanajifunza kwetu. Washamba na wageni ni nyie. Huna ata haya kighorofa ushuzi 2023 unatamba? Backward ass nikkaz
Nje ya Arusha ni kisongo Kuna Nini hapo, USA Kuna Nini, juakali kama waenda Meru Kuna Nini?😂😂
 
Unatesekea ukiwa wapi? Sijawahi kuona omba omba wa kisukuma, tena wadada wakisukuma huwezi kuwaona wanafanya kazi hatarishi kama za wanawake wa arusha na Kilimanjaro waliojaa kwenye mabaa na kazi yao kuu ni barmaids.
Bar maids wote mahala popote wanatoka Arusha na Kilimanjaro. Halafu Kuna fala humu limeshupaza shingo kubishana na akili kubwa.
 
Uzuri jiji la Arusha hao sio wenyeji. Chaushamba bana, utachekwa chaushamba.
Nenda kwa mrombo, kaloleli, sanawari, matako baa mianzini na all the way from mianzini to kaloleli wanawake wanavyouza nyuchi. Halafu unatamba na ujinga hapa.
 
Wewe pia baba ntilie unakimbia kazi yako. Umesema ofisini kwako halafu majukumu unambambikizia mtu mwingine au ndo UJANJA wako ulipo?
 

Mkiwa mnaendelea kutafakari hii kitu ipo nyakato. leteni habari za kisongo na tengeru.
 
Wewe pia baba ntilie unakimbia kazi yako. Umesema ofisini kwako halafu majukumu unambambikizia mtu mwingine au ndo UJANJA wako ulipo?
Unajuwa huyu ni kibarua wa baba ntilie, kusugua masufuria na kurudi kwa shemeji ake kugongea hela ya vocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…