Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hahah mwanza bana kwa kujipa sifa mnaongoza ..Yani hako kakitu hapo chini ni plaza? Mji local sana huo[emoji1484]
Acha kujitoa ufahamu angalia hilo dude lingine arusha nzima hakuna kama hilo, na kama lipo weka picha😂😂😂
 
Uzuri jiji la Arusha hao sio wenyeji. Chaushamba bana, utachekwa chaushamba.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
20230409_133250.jpg
 
Uzuri jiji la Arusha hao sio wenyeji. Chaushamba bana, utachekwa chaushamba.
Unatia huzuni, wakazi halisi wa arusha ni wamasai ambao wanajiita waarusha ni watu wapo kilocal sana nao huwa ni sehemu ya utalii.
 
Arusha hakuna kabila hakuna, hakuna lugha ya kimataifa kubwa isiyozungumzwa. Nyie sio watoto wa mjini hamuwezi kuelewa. Watu wa mwanza sio watoto wa town. Hamna ata ujanja wa kitown. Mnajulikana. Hivi mnachoishinda arusha ni nini labda? Wawekezaji arusha wapo kibao. Acha kukariri, nyie mkishafika dar mnadhani mmemaliza. Arusha for your info ndio sehemu viongozi wamejenga kwanzia mwinyi mpaka wa sasa, kasoro yule mshamba mwenzenu tu.
We fala Nini eti kuanzia mwinyi. Kusema huo upuuzi ndo umekuwa mjanja 😂. Bangi ya maji ya chai hii.
 
Kwani dar ndio nini yani? Dar ata sisi kuna mambo wanajifunza kwetu. Washamba na wageni ni nyie. Huna ata haya kighorofa ushuzi 2023 unatamba? Backward ass nikkaz
Nje ya Arusha ni kisongo Kuna Nini hapo, USA Kuna Nini, juakali kama waenda Meru Kuna Nini?😂😂
 
Unatesekea ukiwa wapi? Sijawahi kuona omba omba wa kisukuma, tena wadada wakisukuma huwezi kuwaona wanafanya kazi hatarishi kama za wanawake wa arusha na Kilimanjaro waliojaa kwenye mabaa na kazi yao kuu ni barmaids.
Bar maids wote mahala popote wanatoka Arusha na Kilimanjaro. Halafu Kuna fala humu limeshupaza shingo kubishana na akili kubwa.
 
Uzuri jiji la Arusha hao sio wenyeji. Chaushamba bana, utachekwa chaushamba.
Nenda kwa mrombo, kaloleli, sanawari, matako baa mianzini na all the way from mianzini to kaloleli wanawake wanavyouza nyuchi. Halafu unatamba na ujinga hapa.
 
Alafu we unachanganya kati ya mchaga na muarusha ,Mchaga kwao ni Kilimanjaro japo Lafudhi ya Mchaga na Watu wa Arusha zinafanana

Tuje kwako unasema eti hamna watu wa Mwanza Arusha? Mimi ofisini kwangu nilipo mama ntilie na Baba ntilie wengi wasukuma Hadi lafudhi ukiwauliza kwenu wapi watakwambia mwanza
Wewe pia baba ntilie unakimbia kazi yako. Umesema ofisini kwako halafu majukumu unambambikizia mtu mwingine au ndo UJANJA wako ulipo?
 
IMG-20230409-WA0043.jpg

Mkiwa mnaendelea kutafakari hii kitu ipo nyakato. leteni habari za kisongo na tengeru.
 
Wewe pia baba ntilie unakimbia kazi yako. Umesema ofisini kwako halafu majukumu unambambikizia mtu mwingine au ndo UJANJA wako ulipo?
Unajuwa huyu ni kibarua wa baba ntilie, kusugua masufuria na kurudi kwa shemeji ake kugongea hela ya vocha.
 
Back
Top Bottom