Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mkuu flight ya Dar - Mwanza sijui ni mara ngapi.... Ila hapo jua kuna Dar Bukoba via Mwanza..
Kwa Dar - Kia.. Zipo lakini pia kuna Dar Enttb via Kia..
Na hapohapo kuna Dar - Arusha.. The same zone.. Via Zenji
 
Watakuletea kisongo
Ya kwetu ni KIA na Kisongo ambayo kwa udogo wake inawakalisha kwa traffic na u busy. Shukuruni bukoba haijaboreshwa. Hiyo sio international Airport hapo mwanza, ni takataka tu mshkuruni mwendazake maana kile ki lounge cha mbao ilikuwa ni aibu.
 
Hahaha kama London vile imagine hakuna bahari wala ziwa hapo.😀😀

Arusha is Half London
Geneva Of Africa.
Arusha kama mbele yani, alafu kipindi cha baridi kama hiki alas! Wakijaga washamba wa mwanza na waluga wanatuliaga yani. Sku moja kuna jamaa wa mwanza nilimkuta barber shop, akasema sikujua kumbe Arusha kuna mitaa wajanja ata dar wanakaa. True Story. Mwanza we dont care about your town, you are irrelevant, not influencial. Focus.
 
Ya kwetu ni KIA na Kisongo ambayo kwa udogo wake inawakalisha kwa traffic na u busy. Shukuruni bukoba haijaboreshwa. Hiyo sio international Airport hapo mwanza, ni takataka tu mshkuruni mwendazake maana kile ki lounge cha mbao ilikuwa ni aibu.
Itakuwa kinywa chako hakina meno meupe, toka lini KIA ikawa Arusha?.
 
Kwamba ukiitaja JKIA basi unafikiri umeua sana. Kijana punguza wenge wazungu si wazuri wanawaharibu sana nyie vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…