ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rudini mkajenge Mji wenu,Arusha hamuiweziHiyo Milioni 1.2 two nights hujaiona?? Na hapo ni bei ya kuanzia Kwa vyumba deluxe Hadi milion 4
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2584820
Wewe nawe akili mzigo, kutuletea swimming pool ndo unaanza kujidai. Akili ya maparachichi na mafuta ya mawese.Rudini mkajenge Mji wenu,Arusha hamuiwezi View attachment 2585424View attachment 2585425View attachment 2585426View attachment 2585427
Kwamba Hilo jengo limekutoa wenge sana. Njombe kwenu si dongo kundu huwezi kokosa kamba miguuni.Mwanza wameshapoteza pambano Kwa Arusha 👇View attachment 2585421View attachment 2585422
Kwamba Hilo jengo limekutoa wenge sana. Njombe kwenu si dongo kundu huwezi kokosa kamba miguuni.
Unaongea Kwa uchungu mkubwa sana 😁😁🤣🤣Wewe nawe akili mzigo, kutuletea swimming pool ndo unaanza kujidai. Akili ya maparachichi na mafuta ya mawese.
Hilo jamaa ni gay usichoshe akiliArusha kama mbele yani, alafu kipindi cha baridi kama hiki alas! Wakijaga washamba wa mwanza na waluga wanatuliaga yani. Sku moja kuna jamaa wa mwanza nilimkuta barber shop, akasema sikujua kumbe Arusha kuna mitaa wajanja ata dar wanakaa. True Story. Mwanza we dont care about your town, you are irrelevant, not influencial. Focus.
Wewe nawe akili mzigo, kutuletea swimming pool ndo unaanza kujidai. Akili ya maparachichi na mafuta ya mawese.
Mwanaume unapost emoji za kulamba midomo duuh kweli nchi yetu tko na kazi ngumu kuwamaliza Hawa watuUnaongea Kwa uchungu mkubwa sana 😁😁🤣🤣
Arusha punguza utawaua Hawa watu 😜😜
Arusha kama mbele yani, alafu kipindi cha baridi kama hiki alas! Wakijaga washamba wa mwanza na waluga wanatuliaga yani. Sku moja kuna jamaa wa mwanza nilimkuta barber shop, akasema sikujua kumbe Arusha kuna mitaa wajanja ata dar wanakaa. True Story. Mwanza we dont care about your town, you are irrelevant, not influencial. Focus.
Ni ya kwetu sasa nshasema kama hutaki kafie mbele. Tuna kia na kisongo.Itakuwa kinywa chako hakina meno meupe, toka lini KIA ikawa Arusha?.
Kama yule mskuma Katambi au sio, waskuma ndio wanaongoza kwa meno ya njanoItakuwa kinywa chako hakina meno meupe, toka lini KIA ikawa Arusha?.
Laana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. LaanatullahWatu wa Arusha kweli nyie nazan mnalaana Kuna msela kamaliza chuo mwaka juz mpaka Leo hajarudi kwao ypo hapa mwanza na ni shoga,,Leo nmekutana naye ikabidi nisitishe stori nisijejumlishwa kundi moja,
Jamaa anaongea kidem,kapaka kucha rangi,,nyuma kabinuka,,
Kuna uchafu na ukatili wa kutisha kama unaofanyika Arusha kwa hapa Duniani👇👇👇Laana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. Laanatullah
Unakuja na maneno matupu nimekuwekea ushaidi jinsi Arusha inavyotisha na si sehemu salama, hakuna mbamba mbamba wala nyenye nyenye.Laana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. Laanatullah
Picha zimefutwa na JF mana hazina hata Cha manaKuna uchafu na ukatili wa kutisha kama unaofanyika Arusha kwa hapa Duniani[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2587140View attachment 2587141
Sasa huyo ashajijua kosa lake ndio mana awezi akakanyaga ardhi takatifu na tukufu ya arusha kwakuwa hivo vitu huku hakunaWatu wa Arusha kweli nyie nazan mnalaana Kuna msela kamaliza chuo mwaka juz mpaka Leo hajarudi kwao ypo hapa mwanza na ni shoga,,Leo nmekutana naye ikabidi nisitishe stori nisijejumlishwa kundi moja,
Jamaa anaongea kidem,kapaka kucha rangi,,nyuma kabinuka,,
Ubachosema unakijua au unaropoka?Picha zimefutwa na JF mana hazina hata Cha mana
Habari ya ushoga Arusha imekithiri acha kujitoa ufahamu wewe.Laana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. Laanatullah
Vipi house boy uko poa?Sasa huyo ashajijua kosa lake ndio mana awezi akakanyaga ardhi takatifu na tukufu ya arusha kwakuwa hivo vitu huku hakuna
Unajielewa hebu Lete riport ya Kanda ya ziwa mashoga nitoke jf,,Laana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. Laanatullah
At wew Nina mashaka nawe utakuwa gayLaana ipo huko uskumani, kila kukicha mara baba kalawiti mtoto, mara kajinyonga, mara kaua mke kisa cha kipuuzi, mara mmeuana kisa macho mekundu, ushoga ndio umekithiri kuliko ata pwani. Laanatullah