KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Polen DODOMA rasimi Jiji la tatu Tanzania RMARUSHA imeshika ad namba nne,,,jiangalien now tnakahama siku ikitangazwa kuwa Jiji lazima iwaache maana ni mji wa biashara uleNyumbani kwa mijengooView attachment 2589597
At mbeya ni kubwa mno sema zile myths za kale et maghorofa hamna kjenga kisa earthquake zone,,ila ingejengwa hyu Arusha Wala asingeona ndani Kwa mbeya,,mbeya mji umesambaa eneo kubwa kliko Arusha ngoja wamalizie hizo TACTIC mbeya iwanyee Arusha wakapambane na TANGA😂😂😂Mmewaacha mbali kina mbeya na Tanga .. [emoji91][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itachukua miaka Zaid ya kumi na hapo endapo Kila rais atatilia nguvu zaidi hko itakuwa maana ni capital cityKasi ya ukuaji wa jiji la Dodoma inatisha sana, hata sisi Mwanza tuangalie pia, kwasasa Dodoma ndio jiji la tatu rasmi nchini Tanzania hakuna ubishi tena.
Takwimu hizo zimfanywa na nani hata Mimi naweza amka Asubuhi nikajitamkia tuDODOMA rasimi yashika namba tatu katika list ya majiji Tanzania,,,
Watumia ugolo,bangi,unga na meno kuoza vipi siwaoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, au muendelee kuimba kuwa Arusha ya utalii maana ni kweli ni Kwa ajili ya utalii TU [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika Jiji ambalo sioni future yake ni dodoma mana ni Jiji ambalo hakuna kitu Cha uofferKasi ya ukuaji wa jiji la Dodoma inatisha sana, hata sisi Mwanza tuangalie pia, kwasasa Dodoma ndio jiji la tatu rasmi nchini Tanzania hakuna ubishi tena.
Arusha mipaka yake imefinywa sana ila ukichukua kisongo,USA River ni zaidi ya 700kKapambane na dodoma kwanza ndio mje mwanza[emoji116]View attachment 2589620
Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida mahala, yaani Mji wenye population ya 1M ukose future? Uliwahi sikia wapi?Katika Jiji ambalo sioni future yake ni dodoma mana ni Jiji ambalo hakuna kitu Cha uoffer
Takwimu za sensa 2022 kutoka NBS wewe acha mbwembweTakwimu hizo zimfanywa na nani hata Mimi naweza amka Asubuhi nikajitamkia tu
Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.Kasi ya ukuaji wa jiji la Dodoma inatisha sana, hata sisi Mwanza tuangalie pia, kwasasa Dodoma ndio jiji la tatu rasmi nchini Tanzania hakuna ubishi tena.
Mwanza Kwa Arusha mnaenda kukalishwa sijui mtaongea nini tenaMmewaacha mbali kina mbeya na Tanga .. [emoji91][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamhaho hyo anapingana na NBS but ukweli now dodoma is third city in TANZANIA,,,Una shida mahala, yaani Mji wenye population ya 1M ukose future? Uliwahi sikia wapi?
Idadi hiyo ya watu tayari ni uhakika na population ya Dom City ni yenye pesa sio sawa na huko Mwanza sijui Arusha.
NBS halafu unasema unaweza fanya ewe,,hivi kumbe kweli bangi mbaya kia's hikoTakwimu hizo zimfanywa na nani hata Mimi naweza amka Asubuhi nikajitamkia tu
Kwanza usagara,ad JPM bridge ujue ni misungwi,,kisesa,bujora,nyanguge ni magu kwahyo tayar mwanza is far away sana,,halafu ukisema ilemela ni mapori acha nikutoe tongotongo Kwa mwanza ilemela ni planned sana pia inalimitiwa na ziwa pekee na imejengeka balaa Haina slums wilaya nzimaHuu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.
Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Lakini imewanyeaKatika Jiji ambalo sioni future yake ni dodoma mana ni Jiji ambalo hakuna kitu Cha uoffer
Pori lipi la Ilemela...?!Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.
Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Mwenyew nmeuliza aisee