Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

DODOMA rasimi yashika namba tatu katika list ya majiji Tanzania,,,

Watumia ugolo,bangi,unga na meno kuoza vipi siwaoni 😂😂😂😂,, au muendelee kuimba kuwa Arusha ya utalii maana ni kweli ni Kwa ajili ya utalii TU 😂😂😂
 
Mmewaacha mbali kina mbeya na Tanga .. [emoji91][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
At mbeya ni kubwa mno sema zile myths za kale et maghorofa hamna kjenga kisa earthquake zone,,ila ingejengwa hyu Arusha Wala asingeona ndani Kwa mbeya,,mbeya mji umesambaa eneo kubwa kliko Arusha ngoja wamalizie hizo TACTIC mbeya iwanyee Arusha wakapambane na TANGA😂😂😂
 
Kasi ya ukuaji wa jiji la Dodoma inatisha sana, hata sisi Mwanza tuangalie pia, kwasasa Dodoma ndio jiji la tatu rasmi nchini Tanzania hakuna ubishi tena.
 
Itachukua miaka Zaid ya kumi na hapo endapo Kila rais atatilia nguvu zaidi hko itakuwa maana ni capital city
 
Wap Arusha jiangalieni at mbeya soon inawaweka namba 6 Wala ugolo nyie,
Giant regions👇👇
IMG-20230416-WA0047.jpg
 
DODOMA rasimi yashika namba tatu katika list ya majiji Tanzania,,,

Watumia ugolo,bangi,unga na meno kuoza vipi siwaoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, au muendelee kuimba kuwa Arusha ya utalii maana ni kweli ni Kwa ajili ya utalii TU [emoji23][emoji23][emoji23]
Takwimu hizo zimfanywa na nani hata Mimi naweza amka Asubuhi nikajitamkia tu
 
Kasi ya ukuaji wa jiji la Dodoma inatisha sana, hata sisi Mwanza tuangalie pia, kwasasa Dodoma ndio jiji la tatu rasmi nchini Tanzania hakuna ubishi tena.
Katika Jiji ambalo sioni future yake ni dodoma mana ni Jiji ambalo hakuna kitu Cha uoffer
 
Una shida mahala, yaani Mji wenye population ya 1M ukose future? Uliwahi sikia wapi?

Idadi hiyo ya watu tayari ni uhakika na population ya Dom City ni yenye pesa sio sawa na huko Mwanza sijui Arusha.
 
Kasi ya ukuaji wa jiji la Dodoma inatisha sana, hata sisi Mwanza tuangalie pia, kwasasa Dodoma ndio jiji la tatu rasmi nchini Tanzania hakuna ubishi tena.
Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.

Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
Screenshot_20230416-050504.jpg
 
Una shida mahala, yaani Mji wenye population ya 1M ukose future? Uliwahi sikia wapi?

Idadi hiyo ya watu tayari ni uhakika na population ya Dom City ni yenye pesa sio sawa na huko Mwanza sijui Arusha.
Anamhaho hyo anapingana na NBS but ukweli now dodoma is third city in TANZANIA,,,

Kama hataki ni yeye na akili yake
 
Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.

Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Kwanza usagara,ad JPM bridge ujue ni misungwi,,kisesa,bujora,nyanguge ni magu kwahyo tayar mwanza is far away sana,,halafu ukisema ilemela ni mapori acha nikutoe tongotongo Kwa mwanza ilemela ni planned sana pia inalimitiwa na ziwa pekee na imejengeka balaa Haina slums wilaya nzima
 
Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.

Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Pori lipi la Ilemela...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom