Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Yaaani Dom wamechukua eneo kubwa kisenge ambalo ndani ya mapori kuna Vijiji navyo vipo sehem ya jiji ndio Maana wakapata iyo 700k ila ukichukua area ya 500kmΒ² Dom haiwez fikisha ata 200k pop anaebisha aje Yaani kata yenye watu wengi haifikishi ata 40k pop
 
Kama mji mzima una pop ya 6k na promo ya utalii je mwanza wakikamilisha airport watalii wapungue kule si itabaki na watu 2k πŸ˜‚πŸ˜‚

Pia hii ni dhahir kuwa Arusha fursa hamna kabisa,,wamasai KAZI kuchunga mifugo na kuiba
 
Unaijua nyanguge?,unaijua bujashi?,unaijua lutale?zote Hz sehemu Kila Kata ina watu 30000+
 
Mwaka 2012 Kata ya usagara ilikuwa na watu 15000 sasa hv ina watu 44000 kisesa ilikuwa na watu 31000 sasa hv ina watu 70000 nyanguge ilikuwa na watu 14000 sasa hv ina watu 30000 idetemya ilikuwa na watu 13000 sasa hv ina watu 26000 sasa piga projection ya mwaka 2032 hayo maeneo niliyokutajia ndo yapo proposed kuunda manispaa nyngne
 
Nakubali u're so Intelligent man as your name sound πŸ˜‚πŸ˜‚ niongezee TU mwanza ingepew kipaumbele Toka mapema kama dar hakika utofaut wake ungekuw mdogo mno lakin Kwa kuwa siasa uchwara znaangalia dar pekee as if mikoa mingine hailip Kodi.

This is madness
 
Kisesa na usagara zenyewe tu sahv Zina watu laki na 20 hapa inabd waunde wilaya nyngne Tena tu hili ongezeko sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…