Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Dodoma imetuzidi nini alafu mbona una hamisha mada kama unataka fungua thread ya Arusha vs Dodoma ..lakini thread iliyopo hapa ni ya Arusha vs Mwanza
Arusha vs Mwanza...we unaota nin .. mwanza haiwezi shindana na kimji Cha watu laki sita kama nyamagana [emoji12][emoji12]
20230417_123833.jpg
20230417_123845.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv dodoma unaiona kwenye tbc aridhio sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... dodoma ambayo ukienda 10 km unakutana na jangwa la vichaka...unasema imextend Hadi chamwino,,,ya nyoko au ....kama tu hombolo ,na ihumwa ni maporini ziko within 15 km .. itakuwa chamwino ikulu ..ach no sense

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani Dom wamechukua eneo kubwa kisenge ambalo ndani ya mapori kuna Vijiji navyo vipo sehem ya jiji ndio Maana wakapata iyo 700k ila ukichukua area ya 500km² Dom haiwez fikisha ata 200k pop anaebisha aje Yaani kata yenye watu wengi haifikishi ata 40k pop
 
Kama mji mzima una pop ya 6k na promo ya utalii je mwanza wakikamilisha airport watalii wapungue kule si itabaki na watu 2k 😂😂

Pia hii ni dhahir kuwa Arusha fursa hamna kabisa,,wamasai KAZI kuchunga mifugo na kuiba
 
Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.

Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Unaijua nyanguge?,unaijua bujashi?,unaijua lutale?zote Hz sehemu Kila Kata ina watu 30000+
 
Mwaka 2012 Kata ya usagara ilikuwa na watu 15000 sasa hv ina watu 44000 kisesa ilikuwa na watu 31000 sasa hv ina watu 70000 nyanguge ilikuwa na watu 14000 sasa hv ina watu 30000 idetemya ilikuwa na watu 13000 sasa hv ina watu 26000 sasa piga projection ya mwaka 2032 hayo maeneo niliyokutajia ndo yapo proposed kuunda manispaa nyngne
 
Nakubali u're so Intelligent man as your name sound 😂😂 niongezee TU mwanza ingepew kipaumbele Toka mapema kama dar hakika utofaut wake ungekuw mdogo mno lakin Kwa kuwa siasa uchwara znaangalia dar pekee as if mikoa mingine hailip Kodi.

This is madness
Mwaka 2012 Kata ya usagara ilikuwa na watu 15000 sasa hv ina watu 44000 kisesa ilikuwa na watu 31000 sasa hv ina watu 70000 nyanguge ilikuwa na watu 14000 sasa hv ina watu 30000 idetemya ilikuwa na watu 13000 sasa hv ina watu 26000 sasa piga projection ya mwaka 2032 hayo maeneo niliyokutajia ndo yapo proposed kuunda manispaa nyngne
 
Kisesa na usagara zenyewe tu sahv Zina watu laki na 20 hapa inabd waunde wilaya nyngne Tena tu hili ongezeko sio mchezo
 
Back
Top Bottom