Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Wewe jamaa mziki wangu unaujua vizuri[emoji3][emoji3]Sasa hiki ni nini ? Ushanza poteana maboya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa mziki wangu unaujua vizuri[emoji3][emoji3]Sasa hiki ni nini ? Ushanza poteana maboya
Arusha vs Mwanza...we unaota nin .. mwanza haiwezi shindana na kimji Cha watu laki sita kama nyamagana [emoji12][emoji12]Dodoma imetuzidi nini alafu mbona una hamisha mada kama unataka fungua thread ya Arusha vs Dodoma ..lakini thread iliyopo hapa ni ya Arusha vs Mwanza
Naunga mkono hojaUsihangaike now hatuwez shindana na Jiji la nne tunajishushia hadhi yetu Wana lake zone.Huyo Arusha ashindane na Tanga
Sana yani sijui imekuja kuwajeJamii forum kila siku inazidi kua ya kijinga kwenye upande wa kuupload picha[emoji867]
Afu falacy anasema ilemela ni maporiHuku siijui ni wapi? Ukiwa nsumba kwa mbele uko View attachment 2590829
Ukisema kuchukua ivo Mwanza pia ichukue Kesesa,Usagara, Fela,Bujora,Ukiriguru,Busisi,Nyangunge unapata watu zaidi ya 1,300,000Arusha mipaka yake imefinywa sana ila ukichukua kisongo,USA River ni zaidi ya 700k View attachment 2590542
Ukisema Mwanza usiache kuitaja Ilemela coz Ilemela ni Mwanza na Mwanza ni IlemelaMwanza Kwa Arusha mnaenda kukalishwa sijui mtaongea nini tena View attachment 2590550
Kisongo na USA river hazifikishi Watu 60k combined zikifikisha unitagEbu leta takwimu za kisongo na USA river tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani Dom wamechukua eneo kubwa kisenge ambalo ndani ya mapori kuna Vijiji navyo vipo sehem ya jiji ndio Maana wakapata iyo 700k ila ukichukua area ya 500km² Dom haiwez fikisha ata 200k pop anaebisha aje Yaani kata yenye watu wengi haifikishi ata 40k popHiv dodoma unaiona kwenye tbc aridhio sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... dodoma ambayo ukienda 10 km unakutana na jangwa la vichaka...unasema imextend Hadi chamwino,,,ya nyoko au ....kama tu hombolo ,na ihumwa ni maporini ziko within 15 km .. itakuwa chamwino ikulu ..ach no sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubwa kwa Eneo Mapori na Vijiji vya Masai combined ila Urbanised area ni ndogo sanaaaKatika mikoa mikubwa 5 tz huwezi iacha Arusha bro ni kubwa mno ...
Hii Habari nimeiona toka enzi hizo kama unabisha tuonyeshe Trh, na wala hakijawah jengwaHivi mna habari hiyo?! View attachment 2590839
Unaijua nyanguge?,unaijua bujashi?,unaijua lutale?zote Hz sehemu Kila Kata ina watu 30000+Huu ndio ukweli Kwa sababu kama mipaka ya Mjini pale ndio Ina 765 plus ,vipi ikiundwa Manispaa ya Chamwino na Bahi? Maana Jiji la Dom lime extend Hadi huko ,kata za makulu,Chamwino nk zote ziko Nje lakini ni Mji mmja.
Kwa Mwanza zaidi ya Usagala na Kisesa hakuna suburbs zingine za maana,Ilemela yenyewe maeneo mengi ni mapori tuu.
View attachment 2590546
Mwaka 2012 Kata ya usagara ilikuwa na watu 15000 sasa hv ina watu 44000 kisesa ilikuwa na watu 31000 sasa hv ina watu 70000 nyanguge ilikuwa na watu 14000 sasa hv ina watu 30000 idetemya ilikuwa na watu 13000 sasa hv ina watu 26000 sasa piga projection ya mwaka 2032 hayo maeneo niliyokutajia ndo yapo proposed kuunda manispaa nyngne
Dead projects kama burka city na safari city.Hii Habari nimeiona toka enzi hizo kama unabisha tuonyeshe Trh, na wala hakijawah jengwa