Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mbona unalalamika sana chief.... mwanza ndani ya miaka mitano tumemeza zaidi ya 1 trillion so tulia miradi ipo mingi sana mwanza

Sasa dodoma inamiradi gani mikubwa kuizidi mwanza?
Hizi Hela ni Jiji la mwanza au mkoa wa mwanza na Kanda ya lake zone,,boss mm nasemea nyamagana tumepewa mrad gan ukitoa stand au tuanze kusifu madarasa ya uvico?

Kuna vitu vinafaa kusifiwa na magu,kwimba na misungwi hata ukerewe,sengerema na buchosa but not nyamagana
 
Hakikujibu unitag, nimekaa hapa nasubiri
 
Napoingelea mwanza namaanisha jiji, pesa za sgr,mara meli hiyo inahusika nini na jiji la mwanza, jiji kama jiji imepata nini?,meli ni ya Tanzania itaenda bukoka mpka uganda, haya mambo yenu ndio yanafanya tuwe jiji la ovyo.
Bongo imejaa majiji ya kisiasa pili hatuna serikali za majimbo chief kidogo kinacpatikana hatuna budi kukigawana hivyo hivyo

Mimi naona tupo vizuri kibongo bongo hakuna shida kabisa
 
Unataja barabara za toka enzi za ukoloni, unataka kila hatua tusubiri miak

Boss umetaja karibia zote ni ILEMELA na ndo ujue nyamagana Hamna kitu ila ILEMELA Iko juu zaidi Kila kitu now masoko yanajengwa ILEMELA, machinga complex ILEMELA je nyamagana vip
 
kwani kila kitakacho jengwa nyamagana na ilemela kiwepo l?

Ilemela ni tambarare(pa kijanja) sasa wewe unataka lami nyamagana iende wapi?
 
Kiongoz kwani unataka barabara za kutoka wapi kwenda wapi?
Boss Mimi na wewe tupo ilemela ila tembelea Barabara za nyegezi pote sweya,luchelele,malimbe huko SAUT,njoo machinjioni, kishiri,mahina,nk niambie Hali ikoje na Kuna maeneo potential kinoma,,ilemela eneo potential na halina lami au tactic ni lipi? Utangudua uwajibikaji nyamagana ni ziro
 
kwani kila kitakacho jengwa nyamagana na ilemela kiwepo l?

Ilemela ni tambarare(pa kijanja) sasa wewe unataka lami nyamagana iende wapi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usiwachokoze Wana NYAMAGANA,,

Malimbe pote paboreshwe Kwa lami, nyegez Barabara potential zipigwe lami Maana Ile now ni kama CBD, HALAFU Huku kishiri na machinjioni mbona tambarare
 
Sas kama unalalamika Kwa level ya halmashauri....kigamboni wana mradi gan wa maana ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo imejaa majiji ya kisiasa pili hatuna serikali za majimbo chief kidogo kinacpatikana hatuna budi kukigawana hivyo hivyo

Mimi naona tupo vizuri kibongo bongo hakuna shida kabisa
Haya mambo yanasababisha serikali ya Dar kufuja dolla 500 milion kwa ujenzi wa soko hapo ubungo, pesa za sehemu nyingine huwa hakuna bali huwa zipo za Dar tu lakini hamna shida ngoja tuendelee kuwa wapole, kuna mwamba alisema mikoa ya arusha, Kilimanjaro na Tanga inahesabika kama mikoa ya kenya, na kanda ya ziwa inahesabika ipo Rwanda na uganda, na kanda ya magharibi ni mikoa ya burundi na congo. Tanzania ni Dar, Pwani na Dodoma.
 
Wew ,,,,,,hyo ilemela mnaiona Ina lami Kwa sababu ya dual carriage au .....kwani butimba Kuna mavumbi, nyegezi kuelekea SAUT Kuna mavumbi?....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Viongoz wa nyamagana macho yote yapo town,,,naweza kusema Viongoz wa ilemela ni wajanja wanajua kucheza na fursa

[emoji1] walianzia pale kijereshi lami ikaenda hadi buswelu+kahama wakaacha hako ka kipande ka kijereshi to machinjion[emoji1787] nyamagana kweli Viongoz wake wapuuzi
 
Kiongoz kwani unataka barabara za kutoka wapi kwenda wapi?
Daladala zote mwisho wake huwa ni kwwnye mavumbi na matope, gari za kishiri, luchelele, machinjioni, mahina, bulale hizo ni za route ya daladala zitki kutaja za kwenye kata au mitaa zile ambazo ni muhimu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…