Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unabishana na takwimu?takwimu kutoka NBS ndio zinawakataa sio mimi
 
Kaka hizo report ziko wrong somewhere, Mwanza naifahamu vizuri sana.
Report ndio wametoa wanavyotaka ila kiuhalisia haiko hivyo
Hakuna kitu kipo wrong hapo na usinipange mi nasimama na takwimu
 
Kama maghorofa ni kigezo Cha jiji bas Dubai ,ingekuwa ni mega city kuliko London

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema ni kigezo?we umeshawahi ona wapi masikini akimudu kujenga ghorofa?ghorofa ni za wenye nazo icho ni kipimo cha uwezo wa wakazi...kwa maana hiyo ni sahihi kua mwanza ni moja ya mikoa masikini Tanzania kuna report ilitoka mkabisha ,sasa kwani mnahisi mnaonewa?kila report inawakataa[emoji2][emoji2][emoji23]
 
Kwamba maghorofa yote hapo ni makazi ya watu ,,,,ebu Tutolee ushamba...hicho kipimo Cha umaskini umekipata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kwenye ugomvi wa Mwanza na Arusha naonaga humu kumejaa watoto tu ama mabishoo wasio na tija kwa sifa za kipuuzi tu, mimi ninaishi Mwanza mjini toka nimezaliwa, na ninafanya kazi Arusha mjini na viunga vyake toka 2009.

Ukweli mfupi ni kwamba Mwanza na mikoa yote ya Kanda ya ziwa ina watu wengi sana, maeneo matatu yalio viunga vya mji ni sawa na mikoa mingine mitatu kati kati ya jiji, nikimaanisha Buhongwa kutoka juu mpaka chini, Buswelu kuunganisha na Nyamhongolo, Igoma kuunganisha na Kishili, haya maeneo matatu kila eneo moja ni sawa na pale Shinyanga au Tabora au Kigoma hivi, sema humu ndani kumejaa mihemko tu, miji ya Kaskazini katika kaya moja unakuta mtu ana watoto watatu, Kanda ya ziwa kaya moja mtu ana watoto 9 mpaka 12, mji wa Mwanza unahudumia mikoa yote ya Kanda ya ziwa, japo mkoa mmoja wa Kagera unachanganya kimahitaji kati ya Mwanza na Kampala, watu wa mikoa hiyo mitano mikubwa ya usukumani, karibu 79% wamekimbilia pale Mwanza kibiashara , changanya na uzaaji watoto watu ni wengi sana, tena hata hao M3. 6 nadhani ni wachache
 
Kwamba maghorofa yote hapo ni makazi ya watu ,,,,ebu Tutolee ushamba...hicho kipimo Cha umaskini umekipata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha Jiji ,toboa hicho kinyeo Cha Mwanza hadi wajiharishie 😁😁.

Arusha is on the rise day 1 hadi nyingine πŸ‘‡
 

Attachments

  • 1667663476397.jpg
    124.7 KB · Views: 13
  • 1667663382934.mp4
    8.9 MB
  • 1667663413741.mp4
    2.2 MB
  • 1667663445768.mp4
    3.6 MB
  • Screenshot_20221105-184855.png
    258.5 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221105-115734.png
    176 KB · Views: 15
Kwani wakiwa wengi ndio nini hasa? Hoja yako ni ipi mbona umeandika kitoto Sana?

Haya wako so what? Mbona Arusha ina Maghorofa mengi kupita Mwanza?

International Schools kama hizi unaweza zikuta Mwanza? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-140048.png
    244.3 KB · Views: 12
  • 1667732363863.jpg
    116.3 KB · Views: 13
  • 1667732471528.jpg
    139.4 KB · Views: 12
Watu wanazungumzia maendeleo wewe umekazana na idadi ya watu?ndio familia ya watoto wa3 pale moshi wanauchumi mzuri kuliko izo za watoto 12 huko mwanza, wanaishi kwenye nyumba bora kuliko uko na wanaaccess ya huduma za kijamii kuliko huko,twende kwenye quality of life ndio utajua apa
 

Attachments

  • 5e9f0dd89fcc4.jpeg
    85.6 KB · Views: 14
  • Best-time-to-visit-Arusha-Tanzania.jpeg
    197.2 KB · Views: 15
  • 138450183465e3031b7418207dfd52c2.jpg
    1.1 MB · Views: 10
  • 360_F_249317687_Y8kvxuvyLN2FnTW4gySvZs7ZZ3xZjY47.jpg
    40.6 KB · Views: 11

Attachments

  • Arusha_City_view.jpg
    11.4 KB · Views: 16
  • things-to-do-in-arusha.jpg
    32.6 KB · Views: 13
  • Arusha_City_view.jpg
    11.4 KB · Views: 12
 

Attachments

  • 1000_F_472967043_RPTOU6rwrfpJGwAm99sTXMG5NTEhlLKg.jpg
    109.9 KB · Views: 15
  • aerial-view-of-arusha-city.jpg
    43.2 KB · Views: 13
  • 360_F_494969068_hRXuOS2Ol1c2VVFjyXwEAb5GYBwEr2Rf.jpg
    46.3 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…