Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kabisa bro hapo umeongea ase nchi nyingine inapambana kila Jiji lipate haki sawa wakati huku kwetu wanakazana na majiji ma 2 tu
Jamaa yako sunk kasema sisi hatuwezi kupata miradi kama dar na dodoma hayo ni majiji special
 
Mwanza inabarabara tatu kubwa unaposema unapita barabara moja ukiwa unatokea wapi na wapi, Unajijua nyerere road, kenyatta road au makongoro road je hizo ni barabara za mtaani?
Kwa nini iwe lazima kuingia Katikati ya Mji? Why zisijengwe py pass za kutosha kuepusha msongamano hapo mjini hasa asubuhi na jioni?
 
Sasa hizi bara bara hata chuga zipo bro ...sisi hatuhitaji hivi sisi tunahitaji majiji yaboreshwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lete picha na hapo sio mjini nina mambo mengi sana this time ila weekend ijayo nitakua na mda wa kutosha kukuonyesha vitu ambavyo kwenye internet hauwezi kuvipata kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…