ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kumbe nilikuwa sijui ππππLeo umeangalia Tulia Marathon? Ule sio mji ni kijiji!
Mbeya ni mji uliojaa mabanda na hauna hata gorofa za maana!
Hata Kahama inawakalisha!
We jamaa ni phycho...hv iwambi utafananisha hata na buswelu?Kumbe nilikuwa sijui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kujifariji Mwanza ni Jiji la hovyo and shaghalabaghala.
Hivi Kuna mtaa wa Mwanza unaweza Kuta umepimwa wote na hakuna dream houses mabanda kama ilivyo forest Mpya au Iwambi?
Tunaomba picha ya hio mitaa usikimbieKumbe nilikuwa sijui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kujifariji Mwanza ni Jiji la hovyo and shaghalabaghala.
Hivi Kuna mtaa wa Mwanza unaweza Kuta umepimwa wote na hakuna dream houses mabanda kama ilivyo forest Mpya au Iwambi?
Nikimbie kwenda wapi? Kila picha ulipiga ya Mwanza lazima uone dream houses za mabanda,ujinga kama huo huwezi Kuta Dom,Dar,Mbeya,Arusha nkTunaomba picha ya hio mitaa usikimbie
Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..We jamaa ni phycho...hv iwambi utafananisha hata na buswelu?
Wewe jamaa mimi vip zoom hizo picha unitafutie hayo mabandaNikimbie kwenda wapi? Kila picha ulipiga ya Mwanza lazima uone dream houses za mabanda,ujinga kama huo huwezi Kuta Dom,Dar,Mbeya,Arusha nk
Watu wa mabanda Wana maeneo Yao na watu wa kishua maeneo Yao ila Kwa Mwanza ni kinyume,imagine hata kule Malaika beach wamejenga matajiri yet pembeni unakuta nyumba za mabanda ,the whole City Iko hivyo yaani hovyo kabisa.
Hapo umefika au umesimuliwa?Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..
Huko Iwambi ya washua Iko planned achana na iwambi ya mabanda
Sehemu kama hii ya airport inapakana na mabanda licha ya kuwa na Mandhari mazuri ambayo yangefaa sana kujengwa makazi ya kishua View attachment 2612413View attachment 2612414[
Acha ubwege basi,nimefika hapo Malaika kule airport na sijaona lile jengo lenu la airport inayojengwa yaani Huwa mnaleta render ila structure haipo ni kama vile ujenzi umetelekezwa..Hapo umefika au umesimuliwa?
Kanda ya Ziwa mtakwisha Kwa Kansa
Tanzaniaβs Artisanal Gold Miners Slowly Poison Themselves With Mercury - Health Policy Watch
Then she goes to her home to mix it with mercury to get a hardened amalgam which she burns on an open flame to distil the mercury and get purer gold ready tohealthpolicy-watch.news
Mpaka hapo unakubaliana kwamba Mwanza ni shaghalabaghala city,angalia hizo picha no mitaa no proper roads licha ya kwamba matajiri wamejenga ..Wewe jamaa mimi vip zoom hizo picha unitafutie hayo mabandaView attachment 2612456View attachment 2612459View attachment 2612460View attachment 2612463
Hauna akili, wewe ulifika airport au kona na igombe?Acha ubwege basi,nimefika hapo Malaika kule airport na sijaona lile jengo lenu la airport inayojengwa yaani Huwa mnaleta render ila structure haipo ni kama vile ujenzi umetelekezwa..
Kwenye hizi picha zote ulizopiga nioneshe hayo mabanda, chuki na husda sio tija, unatakiwa kujifunza kwa waliofanikiwa, Mwanza is far ahead compared to ur shithole cities.Buswelu ilete hapa kama hutoona mabanda ya nguruwe yamechanganyikana na nyumba za kishua,mbaya zaidi ni unplanned..
Huko Iwambi ya washua Iko planned achana na iwambi ya mabanda
Sehemu kama hii ya airport inapakana na mabanda licha ya kuwa na Mandhari mazuri ambayo yangefaa sana kujengwa makazi ya kishua View attachment 2612413View attachment 2612414[
Tatizo muda mwingine huwa unajitoa fahamu wakati ukweli unaujua we bwege sanaππππLaiti kama vile vimilima vyenu msingeruhusu watu maskini kujenga Mji ungependeza na ungekuwa kivutio Cha Utalii na ungekuwa na hali ya hewa nzuri sana na shombo yote ya Samaki ingekuwa absorbs na uwepo wa miti/greenish kama huku Isamilo
View attachment 2612596
Nimekuta DIT inajengwa, nadhani hii Campus ikikamilika wanafunzi watapenda maana itakuwa kama kile Chuo Kiko Kivukoni pale au kama Chuo Cha Taifa Cha Utalii Bagamoyo maana viko kwenye beach.
Pia Kuna Hotel Ile inaitwa Adeni Palace Hotel plus Ile Hospital ya sda Pasiansi ni kubwa japo waliodesign jengo wameinyima architectural authentic
Ukweli gani nyie wajinga mumeharibu Mji?Tatizo muda mwingine huwa unajitoa fahamu wakati ukweli unaujua we bwege sanaππππ
[emoji1787] we jamaa umekuja mji wa watu kwa nini usituulize sisi wenyeji tukupe location mimi niko mwanza kesho weekend nitafuteWatu wa Mwanza nikifika Hadi Malaika,niliingilia Ile road Ina make junction na airport nikazunguka Hadi kuja kutokea pale stand unapoingia Barabara kubwa..
Yaani kilochonifurahisha ni Kuna view Moja safi na upepo mwanana,pia nimekuta watu wanashusha vitu vya hatari hiyo pande ingawa Kwa mbele tena unavyoeudi Barabara kubwa unaanza kukutana tena na mabanda yenu Yale,hapo tuu ndio mnakera ilitakiwa kuwe na maeneo ya matajiri,vipato vya kati na maskini Sasa Kila kitu kimechangangikana.View attachment 2612589View attachment 2612591View attachment 2612593View attachment 2612594
Mpaka hapo unakubaliana kwamba Mwanza ni shaghalabaghala city,angalia hizo picha no mitaa no proper roads licha ya kwamba matajiri wamejenga ..
Uswazi Huwa haukosekani ππView attachment 2612585
Hii picha hapa Hilo jengo jeupe la hapo Airport huko nyuma yake Kuna kimlima na makazi ya watu ni full mabandaHakuna sehemu ya jeshi iliyoruhusiwa kujengwa, naomba picha kama uliona kuna nyumba yoyote upande huo.
Unakufa kwa magonjwa ya moyo na Mwanza huwa inakunyima sana usingizi, na ndoto ya watu wengi ni kufika Mwanza kama ilivyokuwa wewe, tunawakaribish na waluga luga wengine waje Town kutoa tongotongo.Ukweli gani nyie wajinga mumeharibu Mji?
Utadhani hakuna viongozi,no order no anything na mbaya zaidi Jiji Lina Giza 90% Taa za barabarani ni za kuunga unga tofauti na Shinyanga,Tabora,Mpanda,Sikonge nk..
Mwisho nimependa pale Hungumalwa -Ngudu naona ilikuwa Kijiji Sasa ni kubwa kuzidi au sawa na Misungwi tuu na panakuja Kasi sana.