Sasa kwani arusha ni origin ya wachagap? Ficha ujinga. Alafu kumbe ata diversity huelewi maana yake. Unaongelea slums.
Mji hauna mitaa Wala Barabara ni Mji gani huo? Hovyo kabisa
Huyo hajatembea kafikia kirumba na ameondokea kirumba, kila picha ni mitaa ya kirumba.Wew kifupi umetembelea barabara ya airport,,, isamilo,kirumba na city center bas ......
Endelea kusema terminal ni renderMji hauna mitaa Wala Barabara ni Mji gani huo? Hovyo kabisa
Asante Kwa ushauri wako .. hope wenye mamlaka watazingatia hilo[emoji120][emoji120][emoji120]Laiti kama vile vimilima vyenu msingeruhusu watu maskini kujenga Mji ungependeza na ungekuwa kivutio Cha Utalii na ungekuwa na hali ya hewa nzuri sana na shombo yote ya Samaki ingekuwa absorbs na uwepo wa miti/greenish kama huku Isamilo
View attachment 2612596
Nimekuta DIT inajengwa, nadhani hii Campus ikikamilika wanafunzi watapenda maana itakuwa kama kile Chuo Kiko Kivukoni pale au kama Chuo Cha Taifa Cha Utalii Bagamoyo maana viko kwenye beach.
Pia Kuna Hotel Ile inaitwa Adeni Palace Hotel plus Ile Hospital ya sda Pasiansi ni kubwa japo waliodesign jengo wameinyima architectural authentic
Kuna muda mr sunk anakuwa na akili lakini akishakunywa ulanzi tu hapo shida ndio huwa inaanza.Asante Kwa ushauri wako .. hope wenye mamlaka watazingatia hilo[emoji120][emoji120][emoji120]
Umefika Katoro ?Ukweli gani nyie wajinga mumeharibu Mji?
Utadhani hakuna viongozi,no order no anything na mbaya zaidi Jiji Lina Giza 90% Taa za barabarani ni za kuunga unga tofauti na Shinyanga,Tabora,Mpanda,Sikonge nk..
Mwisho nimependa pale Hungumalwa -Ngudu naona ilikuwa Kijiji Sasa ni kubwa kuzidi au sawa na Misungwi tuu na panakuja Kasi sana.
Sasa kama Mwanza ni juzi mbona Arusha tangu mwaka 2010 upo zipo[emoji3][emoji3][emoji3] Kuna mda unaongea kama umekatika kichwa, yaaan kila kitu unacho kiona mwanza kimewekwa juzi juzi
Nani kakwambiaAngalia ratio ya majengo ya serikalo kati ya Mwanza na Arusha, 90% ya majengo ya arusha ni ya serikali, lakini mwanza ni 10% ndio ya serikali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo screen zipo mwanza since 2004Sasa kama Mwanza ni juzi mbona Arusha tangu mwaka 2010 upo zipo
Analytical studyNani kakwambia
Mbona hueleweki mara juzi juzi mara 2004[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizo screen zipo mwanza since 2004
Unatatizo la kusahau? Story za juzi juzi umeanzisha wewe acha kujitoa ufahamuMbona hueleweki mara juzi juzi mara 2004
Niende Vijijini kufanya nini huko? Nikija awamu ya pili nitaenda Kahama,Geita na Bariadi unless uniambie kama Kijiji Cha Katoro ni town kuliko Geita.Umefika Katoro ?
Kuna mji usiokuwa na mitaa acha uteja basiMji hauna mitaa Wala Barabara ni Mji gani huo? Hovyo kabisa
Anapakubali kiaina nishamuonaNarudia tena nitafute mimi nipo mwanza nitakutembeza kwa gharama zangu sitaki urudi kwenu ukiwa umejaa ujinga kama huu
Leo ni weekend mda ninao wa kutosha kwanzia sasa hivi
Yaaani unakuja mwanza unaenda kirumba,malaika,igoma sijui na wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kujichoresha kijana
Nataka nikuonyeshe jiji la mwanza lilivyo kesho uje na uzi wa kuisifia mwanza
Wewe acha kunishobokea sitaki sifa za like hapa. Arusha Ina diversity ya wachaga na wazawa???. Is that all about diversity. Toa ujinga hapa.Sasa kwani arusha ni origin ya wachagap? Ficha ujinga. Alafu kumbe ata diversity huelewi maana yake. Unaongelea slums.
Muulize hiyo Barabara ya balewa kajifunza Nini?. Kama hajatoka na kitu basi mnahangaika na kichaaWew kifupi umetembelea barabara ya airport,,, isamilo,kirumba na city center bas ......
ADHD inabidi ukatibiwe maana umesahau kuwa neno juzi juzi limetoka kinywani mwako. Punguza grandiose.Mbona hueleweki mara juzi juzi mara 2004
Mbwa kweli we, arusha kuna, wazaungu wazawa, wairaqw, maasai, waarusha, datooga, warangi, wasukuma, wanyakyusa, wagogo, washenzi wa aina zote, cant say the same about mwanza.Wewe acha kunishobokea sitaki sifa za like hapa. Arusha Ina diversity ya wachaga na wazawa???. Is that all about diversity. Toa ujinga hapa.