Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sasa kwani arusha ni origin ya wachagap? Ficha ujinga. Alafu kumbe ata diversity huelewi maana yake. Unaongelea slums.
Screenshot_20230507-102904_1683445005826.jpg
 
Laiti kama vile vimilima vyenu msingeruhusu watu maskini kujenga Mji ungependeza na ungekuwa kivutio Cha Utalii na ungekuwa na hali ya hewa nzuri sana na shombo yote ya Samaki ingekuwa absorbs na uwepo wa miti/greenish kama huku Isamilo
View attachment 2612596

Nimekuta DIT inajengwa, nadhani hii Campus ikikamilika wanafunzi watapenda maana itakuwa kama kile Chuo Kiko Kivukoni pale au kama Chuo Cha Taifa Cha Utalii Bagamoyo maana viko kwenye beach.

Pia Kuna Hotel Ile inaitwa Adeni Palace Hotel plus Ile Hospital ya sda Pasiansi ni kubwa japo waliodesign jengo wameinyima architectural authentic
Asante Kwa ushauri wako .. hope wenye mamlaka watazingatia hilo[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Asante Kwa ushauri wako .. hope wenye mamlaka watazingatia hilo[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna muda mr sunk anakuwa na akili lakini akishakunywa ulanzi tu hapo shida ndio huwa inaanza.
 
Ukweli gani nyie wajinga mumeharibu Mji?

Utadhani hakuna viongozi,no order no anything na mbaya zaidi Jiji Lina Giza 90% Taa za barabarani ni za kuunga unga tofauti na Shinyanga,Tabora,Mpanda,Sikonge nk..

Mwisho nimependa pale Hungumalwa -Ngudu naona ilikuwa Kijiji Sasa ni kubwa kuzidi au sawa na Misungwi tuu na panakuja Kasi sana.
Umefika Katoro ?
 
Narudia tena nitafute mimi nipo mwanza nitakutembeza kwa gharama zangu sitaki urudi kwenu ukiwa umejaa ujinga kama huu

Leo ni weekend mda ninao wa kutosha kwanzia sasa hivi

Yaaani unakuja mwanza unaenda kirumba,malaika,igoma sijui na wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kujichoresha kijana
Nataka nikuonyeshe jiji la mwanza lilivyo kesho uje na uzi wa kuisifia mwanza
Anapakubali kiaina nishamuona
 
Sasa kwani arusha ni origin ya wachagap? Ficha ujinga. Alafu kumbe ata diversity huelewi maana yake. Unaongelea slums.
Wewe acha kunishobokea sitaki sifa za like hapa. Arusha Ina diversity ya wachaga na wazawa???. Is that all about diversity. Toa ujinga hapa.
 
M
Wew kifupi umetembelea barabara ya airport,,, isamilo,kirumba na city center bas ......
Muulize hiyo Barabara ya balewa kajifunza Nini?. Kama hajatoka na kitu basi mnahangaika na kichaa
 
Wewe acha kunishobokea sitaki sifa za like hapa. Arusha Ina diversity ya wachaga na wazawa???. Is that all about diversity. Toa ujinga hapa.
Mbwa kweli we, arusha kuna, wazaungu wazawa, wairaqw, maasai, waarusha, datooga, warangi, wasukuma, wanyakyusa, wagogo, washenzi wa aina zote, cant say the same about mwanza.
 
Back
Top Bottom