Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

The best City Ever. Kwenye dunia hakutatokea jiji kama Arusha, mahali kama A Town. Mji uliobarikiwa, mji wenye watu mafaita, mji wenye kila kinachoitajika duniani.
Nikihitaji beach [emoji2513] resorts nitapata ??
Si mji wenye Kila kinachohitajika Duniani [emoji28][emoji116]
Tunza beach [emoji2513] resorts [emoji91][emoji91]
 
Cheki jinsi ambavyo huna akili. Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya asili. Mimi nikiweka picha za mnavyokunya ziwani si nitaonekana nawatukana.! em punguza usukuma angalau uwe na akili
Ushamba mwingine ni mzigo, whats special na wazungu???? Wewe na mzungu mnatofauti gani????
 
🀣🀣🀣Nilitaka kumjibu jana nikaamua nikae tu kimya, nafikiri ana safari ya kujifunza kuwa nyumba Kali mwanza Wanakaa wasukuma ila kwa Arusha Wanakaa wazungu halafu anaringa.
Sisi tunachanganyikana na wageni tunapata mambo mapya kila siku ndio maana hatunaga shobo na lofa yeyote yule. Sasa nyie masukuma hamuna interaction mupo mupo tu ndio maana mukifika sehemu munashindwa kujizuia hatimaye ushamba wenu wa kutojichanganya unaonekana.
 
Mambo mapya ya ushoga au Nini?. Mbona una shobo na wazungu au hujui kuwa wewe ndo lofa.
 
Mambo Gani mapya mliyonayo nyie ,,,,
[emoji116][emoji116][emoji116]
Bugando..cancer facility [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cheki jinsi ambavyo huna akili. Badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya asili. Mimi nikiweka picha za mnavyokunya ziwani si nitaonekana nawatukana.! em punguza usukuma angalau uwe na akili
Leta hizo picha, bumunda wewe

Hakuna mji wenye sewarage system safi kama Mwanza, project zinataambaa mpaka milimani, Mara ya mwisho Arusha kuongeza mtandao wa maji taka ni lini??? Tukisema nyie ndio mnaokunywa vinyesi tunakosea?????
 
Sewage zitoke wape kwenye ma slums huko? πŸ˜‚πŸ˜‚

Unachekesha Hadi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…