Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Duh sababu ni nini
Kipindi cha hawamu ya tano ilijikita zaidi kwenye miundombinu na sio real estate, kipindi cha Jakaya kikwete Mwanza ilipata miradi mingi sana ya mashirika na walijenga viota vya kutosha hasa kwa Arusha, mwanza na Dar.
 
Kipindi cha hawamu ya tano ilijikita zaidi mwenye miundombinu na sio real estate, kipindi cha Jakaya kikwete Mwanza ilipata miradi mingi sana ya mashirika na walijenga viota vya kutosha hasa kwa Arusha, mwanza na Dar.
Hapo sasa nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…