Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Acha na sisi watu wa Mwanza na mbeya tupozwe sio kila siku Dar, Dodoma na Arusha.
 
Acha na sisi watu wa Mwanza na mbeya tupozwe sio kila siku Dar, Dodoma na Arusha.
Bora Mwanza Kuna miradi Mizuri Iko kwenye pipeline.

Yaani Kwa Mbeya wakimaliza Njia 4 ndio nitolee sijaona mradi wowote tena wa maana ambao uko kwenye Mpango sana sana watatafutiza Ka Stand πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana project ya Barabara 4 Hadi Tunduma itakamilika 2030 ndio utakuwa mradi mkubwa wa Kuombea kura.

Ingawa ningependa wajenge barabara kuanzia Mbalizi- Makongolosi Hadi Tabora/Singida Ili Mabasi makubwa yaache Kupitia mlimani yanapoenda Kanda ya Ziwa.

Hii ndio Barabara pekee kubwa ambayo itakuwa imebaki Kwa Mbeya.wakati nyie makolo wa Mwanza Kuna miradi Mingi Mizuri ya njia 4 Kila direction.

Kwa Dodoama Bado ni kama Dar wataendelea kuopendelea maana Wana inner Ring road,km 50 Kila direction na ya Morogoro itakuwa njia 4 full hadi Dar.

Pia hao mbwa wanaenda kuanzia BRT na Light train Dodoma.
 
Sisi daraja la kigongo busisi likiisha sioni mradi mpya labda wa kujenga madarasa na zahanati.
 
Siku Moja Moja uache usenge we bonyokwa.
 
Eti Jengo la mwaka mmoja, soko kuu la bilion 20 wamelijenga kwa miaka mitano na bado halijulikani litaisha lini, sembuse hii airpot na figisu zote na ukiritimba liishe kwa miezi kumi ...wajinga sana hawa watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Airport ya Songwe inajengwa Toka 2005 hadi Leo hii wanasema itamalizika disemba 2023 miaka 22.

Si Bora hiyo ya Mwanza itamalizika 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…