ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Pengine anahitaji hiiHizo ni tofauti sema maeneo ya mwanza yanafanana sana, acha kulia lia.
Hii ndio komesha😂😂
Kwa Tanganyika, hoteli za 5 star zipo Arusha na Dar Es Salaam pekee. Unafikiri ni kwa nini?Hii Arusha hua ni kuikuza kuza hakuna lolote...mimi ninafanya kazi hapa Arusha mwaka wa tisa sasa na nyumbani kwangu ni Mwanza,maelezo mengi wala hayasaidii nitajichosha bure, Arusha mnaikuza bure tu haina la kutisha sana,kila kukicha mnaongelea watalii ambao wakishuka wanapotelea huko Karatu,Ngorongoro na Serengeti,Arusha ni mikwara tu mzee ni ya kawaida na inaziwa kwa 80% na Mwanza
Unaijua Zanzibar vizuri?Kwa Tanganyika, hoteli za 5 star zipo Arusha na Dar Es Salaam pekee. Unafikiri ni kwa nini?
Kidogo!Unaijua Zanzibar vizuri?
Itakuja mingineHivi watu wa Mwanza ,Sgr na JP bridge vikomalizika mtabakia na mradi gani mwingine mkubwa?
View: https://twitter.com/twendenamama/status/1729375702363820432?t=VVSsLpDrkl6aE3JOgMzbhg&s=19
Unaweza kuzitaja hizo five star za arusha?Kwa Tanganyika, hoteli za 5 star zipo Arusha na Dar Es Salaam pekee. Unafikiri ni kwa nini?
Nashukuru kwa kutambua na kujua kuwa hawamu hii haina muda na Mwanza pamoja na kanda ya ziwa kwa ujumla, hata hiyo miradi inaendelezwa kwa shingo upande🙏Hivi watu wa Mwanza ,Sgr na JP bridge vikomalizika mtabakia na mradi gani mwingine mkubwa?
View: https://twitter.com/twendenamama/status/1729375702363820432?t=VVSsLpDrkl6aE3JOgMzbhg&s=19