Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha ina maghorofa elf7 na Mwanza elfu 2 je watu wa Mwanza wanaishi wapi?
Walitumia criteria gani? Methodology gani iliyotumika kuhesabu hayo maghorofa? Endeleeni kupika data na Mwanza inaendelea kuotesha minazi, viota na vichuguu vya uhakika
Takwimu halisi sisi watu building permit tulishahesabu maghorofa yetu mpka sasa yamefikia 12000+ nyie kuleni data zenye bias.
 
Nimeitoa kwenye makalio yako, kama vipi leta yako.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨

Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba mwaka 2023 ,Mbeya inaenda kuipita Mwanza Kwa GDP.

2021
Mwanza GDP 11.1T
Mbeya GDP 8.7

2022
Mwanza GDP 12.2
Mbeya GDP 9.5

Growth rate
Mwanza 0.1T
Mbeya 0.8

If the same changes prevail this year 2023 basi mnaenda kufanya πŸ–•πŸ–•πŸ–• na Mbeya πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Mwanza imelemaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe nyumbu ,kuhesabu Kunahitaji criteria na methodology? 😁😁😁😁
 
Acha kukurupuka na data zako za ovyo, hataka kama tukifuata hizo data kati ya Arusha na Mwanza wapi penye huge economy?
 
Wewe nyumbu ,kuhesabu Kunahitaji criteria na methodology? 😁😁😁😁
We unazani walikuwa wanahesabu maembe sokoni, kwenye hiyo census wangeweka na criteria na methodology iliyotumika hii nchi ya mafala sana, watu wa kaskazini wakajipendelea mara Mwanza inazidiwa adi na Tanga mbk KilimanjaroπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kmmk wallah.
 
Wewe ni fala ,wajipendelee Ili kitokee nini?
 
Acha kukurupuka na data zako za ovyo, hataka kama tukifuata hizo data kati ya Arusha na Mwanza wapi penye huge economy?
BoT ni data za hovyo? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mwanza Kuna uchumi mkubwa ila maendeleo Yako Arusha
 
Mkuu sensa ni research na survey inafanyika globally and it's findings are always accepted as genuine.
We unaebisha ulifanya utafiti gani?
Sensa imefanywa na serikali sio watu wa Arusha na matokeo ndio hayo kama unabisha fanya research uje na matokeo tofauti
 
Fursa ziko Arusha kwenye mzunguko wa pesa.

Banking Agents
Arusha 7000 plus
Mwanza 6000 plus

Bado unakaza fuvu πŸ˜†πŸ˜†
Mtu mwenye akili timamu hawezi akadai Mwanza imeizidi Arusha kwa chochote zaidi ya samaki hahahhaha
 
Fursa ziko Arusha kwenye mzunguko wa pesa.

Banking Agents
Arusha 7000 plus
Mwanza 6000 plus

Bado unakaza fuvu πŸ˜†πŸ˜†
Leta takwimu na chanzo cha takwimu acha ujinga, hubishani na mtoto wa chekechea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…