Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza
Hii takataka umeitoa wapi? 🤣🤣
Nimeitoa kwenye makalio yako, kama vipi leta yako.Hii takataka umeitoa wapi? 🤣🤣
Walitumia criteria gani? Methodology gani iliyotumika kuhesabu hayo maghorofa? Endeleeni kupika data na Mwanza inaendelea kuotesha minazi, viota na vichuguu vya uhakikaArusha ina maghorofa elf7 na Mwanza elfu 2 je watu wa Mwanza wanaishi wapi?
📌📌📌🔨Nimeitoa kwenye makalio yako, kama vipi leta yako.
Wewe nyumbu ,kuhesabu Kunahitaji criteria na methodology? 😁😁😁😁Walitumia criteria gani? Methodology gani iliyotumika kuhesabu hayo maghorofa? Endeleeni kupika data na Mwanza inaendelea kuotesha minazi, viota na vichuguu vya uhakika
Takwimu halisi sisi watu building permit tulishahesabu maghorofa yetu mpka sasa yamefikia 12000+ nyie kuleni data zenye bias.
Acha kukurupuka na data zako za ovyo, hataka kama tukifuata hizo data kati ya Arusha na Mwanza wapi penye huge economy?📌📌📌🔨
Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba mwaka 2023 ,Mbeya inaenda kuipita Mwanza Kwa GDP.
2021
Mwanza GDP 11.1T
Mbeya GDP 8.7
2022
Mwanza GDP 12.2
Mbeya GDP 9.5
Growth rate
Mwanza 0.1T
Mbeya 0.8
If the same changes prevail this year 2023 basi mnaenda kufanya 🖕🖕🖕 na Mbeya 😁😁😁😁👇👇👇
View attachment 2908799
Mwanza imelemaaa 😆😆😆😆
We unazani walikuwa wanahesabu maembe sokoni, kwenye hiyo census wangeweka na criteria na methodology iliyotumika hii nchi ya mafala sana, watu wa kaskazini wakajipendelea mara Mwanza inazidiwa adi na Tanga mbk Kilimanjaro😂😂😂😂😂😂 kmmk wallah.Wewe nyumbu ,kuhesabu Kunahitaji criteria na methodology? 😁😁😁😁
Wewe ni fala ,wajipendelee Ili kitokee nini?We unazani walikuwa wanahesabu maembe sokoni, kwenye hiyo census wangeweka na criteria na methodology iliyotumika hii nchi ya mafala sana, watu wa kaskazini wakajipendelea mara Mwanza inazidiwa adi na Tanga mbk Kilimanjaro😂😂😂😂😂😂 kmmk wallah.
BoT ni data za hovyo? 😆😆😆😆Acha kukurupuka na data zako za ovyo, hataka kama tukifuata hizo data kati ya Arusha na Mwanza wapi penye huge economy?
Sifa huwa zinatafutwaje?Wewe ni fala ,wajipendelee Ili kitokee nini?
Unajua maana ya maendeleo? Watu huwa wanafuata fursa au fursa huwa zinawafuata?BoT ni data za hovyo? 😆😆😆😆
Mwanza Kuna uchumi mkubwa ila maendeleo Yako Arusha
Fursa ziko Arusha kwenye mzunguko wa pesa.Unajua maana ya maendeleo? Watu huwa wanafuata fursa au fursa huwa zinawafuata?
Mkuu sensa ni research na survey inafanyika globally and it's findings are always accepted as genuine.Walitumia criteria gani? Methodology gani iliyotumika kuhesabu hayo maghorofa? Endeleeni kupika data na Mwanza inaendelea kuotesha minazi, viota na vichuguu vya uhakika
Takwimu halisi sisi watu building permit tulishahesabu maghorofa yetu mpka sasa yamefikia 12000+ nyie kuleni data zenye bias.
Mtu mwenye akili timamu hawezi akadai Mwanza imeizidi Arusha kwa chochote zaidi ya samaki hahahhahaFursa ziko Arusha kwenye mzunguko wa pesa.
Banking Agents
Arusha 7000 plus
Mwanza 6000 plus
Bado unakaza fuvu 😆😆
Uchumi mkubwa kwa maana yq GDP bila shaka ??BoT ni data za hovyo? 😆😆😆😆
Mwanza Kuna uchumi mkubwa ila maendeleo Yako Arusha
Leta takwimu na chanzo cha takwimu acha ujinga, hubishani na mtoto wa chekechea hapaFursa ziko Arusha kwenye mzunguko wa pesa.
Banking Agents
Arusha 7000 plus
Mwanza 6000 plus
Bado unakaza fuvu 😆😆
Acha kuropoka ovyo, hiyo arusha imeizidi nini Mwanza?Mtu mwenye akili timamu hawezi akadai Mwanza imeizidi Arusha kwa chochote zaidi ya samaki hahahhaha