Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ikikamilika hiyo Geopark kwa Zitakuwq mbili tuu ....Mwanza hamtakaa muwaweze Arusha kwenye Utalii ππ
View: https://twitter.com/CRCCNews/status/1759513305868386755?t=VlxWem65p7peeaCyz2FuIg&s=19
Andika vizuri uelewekeIkikamilika hiyo Geopark kwa Zitakuwq mbili tuu ....
Utakuwa na makengezaHata hiyo miamala Arusha is ahead of Mwanza
Weka tuoneUtakuwa na makengeza
Gorofa nyingi za Arusha ni za NHC Mwanza haina gorofa nyingi za NHC kama Arusha!Ok kana unataka ufafanuzi uko hivi sensa ni mkoa mzima. Sio mijini tu
ARUSHA Kuna maghorofa hadi kule meru kwenye migomba sio mjini tu
Njiro na ngaramtoni kuna maghorofa. Kuanzia mjini hadi ngorongoro kando kando ya barabara utaona maghorofa tofauti na Mwanza ukitoka mjini unakutana na nyumba za nyasi na udongo. Quality ya vijiji vya mwanza na Ar sio sawa mkuu nadhan tumeelewana
Porojo za kujifariji ππ€£Gororfa nyingi za Arusha ni za NHC Mwanza haina gorofa nyingi za NHC kama Arusha!
Utakuwa na makengezaHata hiyo miamala Arusha is ahead of Mwanza
ππππ mzee kitombile hawezi kuwa na wivu na ka jiji kadogo size ya Iringa.Umechanganyikiwa ndio maana anatukana hovyo,Dalili za ugonjwa wa akili wa kukata tamaa Kwa sababu ya maumivu anayopata π€ͺπ€ͺ
Morogoro ina watu wengi kuliko Manyara, uchumi wa Morogoro ni mkubwa zaidi sema wakigawabkwa watu ndio unaona per capita inavyoshuka.Morogoro wakiacha uvivu watatoka hapa ni aibu Morogoro kuzidiwa na Manyara
Pitia vizuri hapo juu ukiwa umetuliza akili.Weka tuone
Per capita ndio ina reflect maisha halisi ya watu tofauti na GDP. Nasema moro wana feli kwa sabab wana advantages nyingi kuzidi mikoa mingi kaka Manyara (kwetu) kwenye ukame wala hamna mito. Kwa hiyo wakazi waache uvivuMorogoro ina watu wengi kuliko Manyara, uchumi wa Morogoro ni mkubwa zaidi sema wakigawabkwa watu ndio unaona per capita inavyoshuka.
Waruguru wanawaza vigodoro watu wanachapa kazi.Per capita ndio ina reflect maisha halisi ya watu tofauti na GDP. Nasema moro wana feli kwa sabab wana advantages nyingi kuzidi mikoa mingi kaka Manyara (kwetu) kwenye ukame wala hamna mito. Kwa hiyo wakazi waache uvivu
Kajiji kadogo π€£π€£π€£π€£ππππ mzee kitombile hawezi kuwa na wivu na ka jiji kadogo size ya Iringa.
Unachanganya mambo,hakuna per Capita bila GDP na Mapato yoote unayoyajua wewe ni sehemu ya GDP.Per capita ndio ina reflect maisha halisi ya watu tofauti na GDP. Nasema moro wana feli kwa sabab wana advantages nyingi kuzidi mikoa mingi kaka Manyara (kwetu) kwenye ukame wala hamna mito. Kwa hiyo wakazi waache uvivu
Unachanganya mambo,hakuna per Capita bila GDP na Mapato yoote unayoyajua wewe ni sehemu ya GDP.
Kwenye uchumi huwezi ikwepa GDP ndio strongest parameter.
Mwisho kwangu Mimi Huwa Niko focused na Mapato ya Halmashauri kuliko ya TRA Kwa sababu Mapato ya Halmashauri ndio Yana reflect shughuli za watu Moja kwa Moja.ππ
View: https://www.instagram.com/p/C3jsyjNtyHK/?igsh=MWZpbmh4d3k1ZzJoZQ==
Kuna per Capita bila GDP?1. Pato la Taifa (GDP) ni kipimo cha kawaida cha ongezeko la thamani linaloundwa kupitia uzalishaji wa bidhaa na huduma katika nchi katika kipindi fulani. Kwa hivyo, pia hupima mapato yanayopatikana kutokana na uzalishaji huo, au jumla ya kiasi kinachotumika kwa bidhaa na huduma za mwisho.
2.Pato la Taifa (GDP) per capita,kwa kila mtu ni kipimo cha kiuchumi ambacho huvunja pato la uchumi wa nchi kwa kila mtu. Wanauchumi hutumia Pato la Taifa kwa kila mtu kubainisha jinsi nchi zilizostawi zinategemea ukuaji wao wa uchumi. Pato la Taifa kwa kila mtu huhesabiwa kwa kugawanya Pato la Taifa kwa idadi ya watu.
Yes GDP ni strongest parameter lakin hai reflect uchumi halisi wa mtu mmoja mmoja for that reason Mwanza ina GDP kubwa sana kuliko Njombe lakin Njombe watu wana Maisha mazuri kuliko Mwanza.
Logic ya kawaida sehem yenye ghorofa 7000 haiwezekani ikazidiwa kwenye na kwenye ghorofa 2400 unless sensa ilikuwa uongo au maghorofa ya Ar wanalala ng'ombe na misukule. HahahahahahaKajiji kadogo π€£π€£π€£π€£
Dalili za mtu aliyekata tamaa.
Arusha Ina watu over 600k na metropolitan yake wanafika around 800k.
Sasa Hako kadogo inakuaje kanazidi Jiji kubwa?
Najaribu kuonesha impact za hizo theories mbili katika uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja mkuu rejeaKuna per Capita bila GDP?
Ukizungumzia metropollitan Mwanza itakuwa na 2.7 milion.Kajiji kadogo π€£π€£π€£π€£
Dalili za mtu aliyekata tamaa.
Arusha Ina watu over 600k na metropolitan yake wanafika around 800k.
Sasa Hako kadogo inakuaje kanazidi Jiji kubwa?