Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ok kana unataka ufafanuzi uko hivi sensa ni mkoa mzima. Sio mijini tu
ARUSHA Kuna maghorofa hadi kule meru kwenye migomba sio mjini tu
Njiro na ngaramtoni kuna maghorofa. Kuanzia mjini hadi ngorongoro kando kando ya barabara utaona maghorofa tofauti na Mwanza ukitoka mjini unakutana na nyumba za nyasi na udongo. Quality ya vijiji vya mwanza na Ar sio sawa mkuu nadhan tumeelewana
Gorofa nyingi za Arusha ni za NHC Mwanza haina gorofa nyingi za NHC kama Arusha!
 
Umechanganyikiwa ndio maana anatukana hovyo,Dalili za ugonjwa wa akili wa kukata tamaa Kwa sababu ya maumivu anayopata 🤪🤪
😂😂😂😂 mzee kitombile hawezi kuwa na wivu na ka jiji kadogo size ya Iringa.
 
Morogoro wakiacha uvivu watatoka hapa ni aibu Morogoro kuzidiwa na Manyara
Morogoro ina watu wengi kuliko Manyara, uchumi wa Morogoro ni mkubwa zaidi sema wakigawabkwa watu ndio unaona per capita inavyoshuka.
 
Per capita ndio ina reflect maisha halisi ya watu tofauti na GDP. Nasema moro wana feli kwa sabab wana advantages nyingi kuzidi mikoa mingi kaka Manyara (kwetu) kwenye ukame wala hamna mito. Kwa hiyo wakazi waache uvivu
 
Waruguru wanawaza vigodoro watu wanachapa kazi.
 
😂😂😂😂 mzee kitombile hawezi kuwa na wivu na ka jiji kadogo size ya Iringa.
Kajiji kadogo 🤣🤣🤣🤣

Dalili za mtu aliyekata tamaa.

Arusha Ina watu over 600k na metropolitan yake wanafika around 800k.

Sasa Hako kadogo inakuaje kanazidi Jiji kubwa?
 
Per capita ndio ina reflect maisha halisi ya watu tofauti na GDP. Nasema moro wana feli kwa sabab wana advantages nyingi kuzidi mikoa mingi kaka Manyara (kwetu) kwenye ukame wala hamna mito. Kwa hiyo wakazi waache uvivu
Unachanganya mambo,hakuna per Capita bila GDP na Mapato yoote unayoyajua wewe ni sehemu ya GDP.

Kwenye uchumi huwezi ikwepa GDP ndio strongest parameter.

Mwisho kwangu Mimi Huwa Niko focused na Mapato ya Halmashauri kuliko ya TRA Kwa sababu Mapato ya Halmashauri ndio Yana reflect shughuli za watu Moja kwa Moja.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3jsyjNtyHK/?igsh=MWZpbmh4d3k1ZzJoZQ==
 
1. Pato la Taifa (GDP) ni kipimo cha kawaida cha ongezeko la thamani linaloundwa kupitia uzalishaji wa bidhaa na huduma katika nchi katika kipindi fulani. Kwa hivyo, pia hupima mapato yanayopatikana kutokana na uzalishaji huo, au jumla ya kiasi kinachotumika kwa bidhaa na huduma za mwisho.

2.Pato la Taifa (GDP) per capita,kwa kila mtu ni kipimo cha kiuchumi ambacho huvunja pato la uchumi wa nchi kwa kila mtu. Wanauchumi hutumia Pato la Taifa kwa kila mtu kubainisha jinsi nchi zilizostawi zinategemea ukuaji wao wa uchumi. Pato la Taifa kwa kila mtu huhesabiwa kwa kugawanya Pato la Taifa kwa idadi ya watu.

Yes GDP ni strongest parameter lakin hai reflect uchumi halisi wa mtu mmoja mmoja for that reason Mwanza ina GDP kubwa sana kuliko Njombe lakin Njombe watu wana Maisha mazuri kuliko Mwanza.
 
Kuna per Capita bila GDP?
 
Kajiji kadogo 🤣🤣🤣🤣

Dalili za mtu aliyekata tamaa.

Arusha Ina watu over 600k na metropolitan yake wanafika around 800k.

Sasa Hako kadogo inakuaje kanazidi Jiji kubwa?
Logic ya kawaida sehem yenye ghorofa 7000 haiwezekani ikazidiwa kwenye na kwenye ghorofa 2400 unless sensa ilikuwa uongo au maghorofa ya Ar wanalala ng'ombe na misukule. Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom