Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Maisha mazuri unayapima kwa per capita au development index?
 
Logic ya kawaida sehem yenye ghorofa 7000 haiwezekani ikazidiwa kwenye na kwenye ghorofa 2400 unless sensa ilikuwa uongo au maghorofa ya Ar wanalala ng'ombe na misukule. Hahahahahaha
Leta picha ya hayo maghorofa yakifika 1000 njoo nikupe demu wangu.
 
Najaribu kuonesha impact za hizo theories mbili katika uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja mkuu rejea
Tz na Namibia ipi nchi tajiri??
Na ipi ina GDP kubwa??
Kasome uchumi ndio uje, kwanini marekani ni taifa kubwa kiuchumi duniani?
 
Kasome uchumi ndio uje, kwanini marekani ni taifa kubwa kiuchumi duniani?
Marekani ina GDP kubwa lakin per capita inazidiwa na mataifa madogo hata hivyo marekani tunaiita taifa lenye nguvu kwa sababu iko mbele kwenye mambo mengi sio pesa pekee.
 
Najaribu kuonesha impact za hizo theories mbili katika uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja mkuu rejea
Tz na Namibia ipi nchi tajiri??
Na ipi ina GDP kubwa??
Tanzania ni Tajiri over Namibia ila individuals welfare Namibia wako vizuri.

Uwe unaelewa matumizi ya hizo parameters za Uchumi
 
Hizo ghorofa ziko wapi!? Hapo kambi ya fisi, mianzini, kwa morombo, sombetini kote kumejaa nyumba za tembe
 
Hizo ghorofa ziko wapi!? Hapo kambi ya fisi, mianzini, kwa morombo, sombetini kote kumejaa nyumba za tembe
Kote ulikotaja kuna maghorofa mengi sana kuanzia maji ya chai hai Ngaramtoni. Mianziani ndan zipo nyumba za udongo ndio kuna mkoa Tz hauna nyumba za udongo?kuhusu maghorofa ni sensa inasema hiyo mkuu, kama una mashaka fanya utafiti wako.
Karibu mianzini kaa loning'o mataa ghorofani tunywe ๐Ÿบ
 
Tanzania ni Tajiri over Namibia ila individuals welfare Namibia wako vizuri.

Uwe unaelewa matumizi ya hizo parameters za Uchumi
Hahahaaha kama individuals welfare tuko chini basi Tz ni maskini Sio tajiri kama kuna mtu anaishi maisha mazuri kukuzidi na anapata huduma zote muhim ndio tajiri.
Cc marekani ina uchumi mkubwa ila Qatar wana welfare nzuri zaidi ya mara2 ya wamarekani
 
Acha kushikiwa akili na takwimu za mchongo hao wanaokupa takwimu akili zao ndio hizi๐Ÿ‘‡
 
Kwa hiyo hivyo vitongoji Kwa pamoja ndio vinaweza zidi watu 300k? Unawajua watu 300k.lakini? Hiyo ni Manispaa nzima
Uliangalia sensa vizuri ya kata, kisesa inawatu 140000 peke yake bado unyamani kule usagara na nyashishi mkuu punguza ushabiki wa vitumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ