Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mada za kitoto hizi
 
Unajua mapato ya halmashauri hayasadifu shughuli na uchumi wa sehemu,masoko, stendi na kadhalika bado havijaanza ku produce vile inavyotakiwa na jiji la mwanza linaongoza kwa kuwa na michwa wa kutafuna.
 
Unajua mapato ya halmashauri hayasadifu shughuli na uchumi wa sehemu,masoko, stendi na kadhalika bado havijaanza ku produce vile inavyotakiwa na jiji la mwanza linaongoza kwa kuwa na michwa wa kutafuna.
Upuuzi wa kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚

Ku produce kupi unakosemea wewe? Hapo ndio uelewe Sasa kwamba hayo mastendi makubwa sijui masoko ni cosmetic projects hayana maana yeyote.

Mwanza mnatia aibu sana ,inakuaje Jiji lenye watu wengi hivyo mnazidiwa kimapato na Arusha na Dodoma?

Mwanza City(Nyamagana) plus Ilemela Bado haifikii Arusha ,Mwanza ni hopeless na Jiji la maskini wa kutupwa.🀣🀣🀣🀣

My Take
Mwendazake alikuwa anawabania Arusha baada ya Mama kufungua uchumi unaweza ona Mapato yake shoot kutoka bil.30 Hadi bil.51 just within 4 years.
 
Weka mkeka hizo taarab mwachie hadija kopa.
 
Mwanza inaupiga mwingi!
Shida kuna dharau kubwa ya watendaji kuhusu ujenzi wa jengo la abiria Mwanza,lakini Mbeya, Arusha na kwingineko chap chap uboreshaji wa majengo hayo yamekamilika. Mkurugenzi wa TAA ametegwa asipoangalia ataondoka na uwanja huu akifanya uzembe. Kihenzile kaonyesha njia
 
Kwani mkifarijiwa kuna shida gani ? Takwimu zinaongea tofauti kabisaa.

Toa Mwanza kwenye list hapo

Kanda ya ziwa waliwafanya nini? Ikitajwa mwanza kuna watu wa kaskazini wanaumia sana, Yani kweli kaarusha ukafananishe na jiji la pili kwa ukubwa after Dar in Tanzania, its really!

Which is the second largest city in Tanzania?

Mwanza City

Mwanza City, also known as Rock City to the residents, is a port city and capital of Mwanza Region on the southern shore of Lake Victoria in north-western Tanzania. With an urban population of 1,311,000 in 2023, it is Tanzania's second largest city, after Dar es Salaam.
 
Achaga kujifariji ujinga na ushabiki mbuzi.Hivi Mwanza inazidi nini Arusha ukiacha Population?

Hili jukwaa limejaa takwimu na zote Mwanza inakalishwa na Arusha.

Unaweza pata skyline Kali kama hii ya Arusha huko Jiji la wavuvi? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/KuP5gNj8mmA?si=DUNjgwxaxbLA4jtw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…