Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Mada za kitoto hizi
 
Mwanza hamuwezi kushindana na Arusha.Just Imagine Mapato ya Ndani ya Jiji la Arusha Kwa mwaka 2023/2024 ni bil.48.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C39w2-mMz8f/?igsh=eHU3cnRsbjNlZHJ2

Video ya Jiji la Arusha 👇👇

View: https://youtu.be/FNTFqOuPCUs?si=o1JtUShyK4V1O5Pp

Unajua mapato ya halmashauri hayasadifu shughuli na uchumi wa sehemu,masoko, stendi na kadhalika bado havijaanza ku produce vile inavyotakiwa na jiji la mwanza linaongoza kwa kuwa na michwa wa kutafuna.
 
Upuuzi wa kujifariji 😂😂

Ku produce kupi unakosemea wewe? Hapo ndio uelewe Sasa kwamba hayo mastendi makubwa sijui masoko ni cosmetic projects hayana maana yeyote.

Mwanza mnatia aibu sana ,inakuaje Jiji lenye watu wengi hivyo mnazidiwa kimapato na Arusha na Dodoma?

Mwanza City(Nyamagana) plus Ilemela Bado haifikii Arusha ,Mwanza ni hopeless na Jiji la maskini wa kutupwa.🤣🤣🤣🤣

My Take
Mwendazake alikuwa anawabania Arusha baada ya Mama kufungua uchumi unaweza ona Mapato yake shoot kutoka bil.30 Hadi bil.51 just within 4 years.
 
Weka mkeka hizo taarab mwachie hadija kopa.
 
Mkeka upi? Mwanza ni hopeless usituchoshe
IMG-20240301-WA0043.jpg
 
Kwani mkifarijiwa kuna shida gani ? Takwimu zinaongea tofauti kabisaa.

Toa Mwanza kwenye list hapo

Kanda ya ziwa waliwafanya nini? Ikitajwa mwanza kuna watu wa kaskazini wanaumia sana, Yani kweli kaarusha ukafananishe na jiji la pili kwa ukubwa after Dar in Tanzania, its really!

Which is the second largest city in Tanzania?

Mwanza City

Mwanza City, also known as Rock City to the residents, is a port city and capital of Mwanza Region on the southern shore of Lake Victoria in north-western Tanzania. With an urban population of 1,311,000 in 2023, it is Tanzania's second largest city, after Dar es Salaam.
 
Kanda ya ziwa waliwafanya nini? Ikitajwa mwanza kuna watu wa kaskazini wanaumia sana, Yani kweli kaarusha ukafananishe na jiji la pili kwa ukubwa after Mwz in Tanzania, its really!

Which is the second largest city in Tanzania?

Mwanza City

Mwanza City, also known as Rock City to the residents, is a port city and capital of Mwanza Region on the southern shore of Lake Victoria in north-western Tanzania. With an urban population of 1,311,000 in 2023, it is Tanzania's second largest city, after Dar es Salaam.
Achaga kujifariji ujinga na ushabiki mbuzi.Hivi Mwanza inazidi nini Arusha ukiacha Population?

Hili jukwaa limejaa takwimu na zote Mwanza inakalishwa na Arusha.

Unaweza pata skyline Kali kama hii ya Arusha huko Jiji la wavuvi? 👇👇

View: https://youtu.be/KuP5gNj8mmA?si=DUNjgwxaxbLA4jtw
 
Back
Top Bottom