ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Huwa ni Kauli za loosers ,hakuna Mji imeendelea hapa Tanzania bila uwekezaji wa SerikaliKumbe ni jengo la TBA alafu utawaskia et mwanza inajijenga yenyewe😀😀 kwa mbele yake kuna mall waliyojengewa na halmashauri jengo lao refu la psssf ukiwaskia wanakuambia mwanza inajijenga yenyewe bogus hawa watu aka malalqmiko fc😀😀
Hakuna sehemu iliyojijenga yenyewe bila mbeleko za serikali lakini Mwanza kwa upande mwingine unajitaidi si kama sehemu zingine kama dodoma ambako mbeleko ni 100% Mwanza ni 50% Dar 98% Arusha 88% Tanga 40% Mbeya 48%.Kumbe ni jengo la TBA alafu utawaskia et mwanza inajijenga yenyewe😀😀 kwa mbele yake kuna mall waliyojengewa na halmashauri jengo lao refu la psssf ukiwaskia wanakuambia mwanza inajijenga yenyewe bogus hawa watu aka malalqmiko fc😀😀
Tanga inapendelewa na gvt kushinda Mbeya ,wanasingizia kabandariAcha
Hakuna sehemu iliyojijenga yenyewe bila mbeleko za serikali lakini Mwanza kwa upande mwingine unajitaidi si kama sehemu zingine kama dodoma ambako mbeleko ni 100% Mwanza ni 50% Dar 98% Arusha 88% Tanga 40% Mbeya 48%.
Naunga mkono hoja sisi huwa tunataka usawa, kun mikoa kila mradi mzuri na mkubwa wao lazima wapewe.Huwa ni Kauli za loosers ,hakuna Mji imeendelea hapa Tanzania bila uwekezaji wa Serikali
Nakataa kabisa nyie mkumbuke mna igawa dual carriage ya 26km, wakati jiji la Mwanza halina hata kabarabara ka 1km ka dual carriage.Tanga inapendelewa na gvt kushinda Mbeya ,wanasingizia kabandari
Sio 26 ni 172km ndio itakua refu Tanzania kuanzia igawa hadi tundumaNakataa kabisa nyie mkumbuke mna igawa dual carriage ya 26km, wakati jiji la Mwanza halina hata kabarabara ka 1km ka dual carriage.
Mbeleko ndio zmewafanya juzi mzindue meli, mkoa pekee wenye stendi 2 za maana hilo hamlioni malalamiko fc😀😀 mkoa pekee reli ya sgr inapita juu nje ya dar huoni hayo, mkoa pekee wenye daraja la 700bn, mkoa pekee magufuli aliagiza fedha za uhuru zikajenge barabara nje ya dar haya tuendelee mbeleko au inatoshaAcha
Hakuna sehemu iliyojijenga yenyewe bila mbeleko za serikali lakini Mwanza kwa upande mwingine unajitaidi si kama sehemu zingine kama dodoma ambako mbeleko ni 100% Mwanza ni 50% Dar 98% Arusha 88% Tanga 40% Mbeya 48%.
Hizi % umezitoa wapi mkuu?Acha
Hakuna sehemu iliyojijenga yenyewe bila mbeleko za serikali lakini Mwanza kwa upande mwingine unajitaidi si kama sehemu zingine kama dodoma ambako mbeleko ni 100% Mwanza ni 50% Dar 98% Arusha 88% Tanga 40% Mbeya 48%.
Tanga na mwanza znapendelewa kuliko arusha na mbeya😀Tanga inapendelewa na gvt kushinda Mbeya ,wanasingizia kabandari
Amekaa tu akatunga😀😀Hizi % umezitoa wapi mkuu?
Basi hawa ndio watakuwa namba tatu kwa kupendelewa nilikuwa sijui mkuu, hatari sana.Sio 26 ni 172km ndio itakua refu Tanzania kuanzia igawa hadi tunduma
Ulitaka daraja lijengwe kwenye ziwa kaskazini waunganishe mlima meru na mlima Kilimanjaro alafu waweke meli katikati, nyie mlijengewa barabara ya dual carriage zaidi ya kilometa 20, mlipewa mradi wa maji wa bilioni zaidi ya 520, jengo la PAPU, mradi wa ujenzi wa uwanja wa karibu bilion 300, HQ za utalii na madini au niendelee naona nitajaza server bado karibia 80% ya maghorofa ya Arusha ni mali ya NHC.Mbeleko ndio zmewafanya juzi mzindue meli, mkoa pekee wenye stendi 2 za maana hilo hamlioni malalamiko fc😀😀 mkoa pekee reli ya sgr inapita juu nje ya dar huoni hayo, mkoa pekee wenye daraja la 700bn, mkoa pekee magufuli aliagiza fedha za uhuru zikajenge barabara nje ya dar haya tuendelee mbeleko au inatosha
Sisi ndio tupo idara nyeti za takwimu za serikali, na tunajua wapi wanapokula zaidi keki ya nchi hii.Hizi % umezitoa wapi mkuu?
Tanga bila ujio wa Dar lilikuwa ndio jiji letu kubwa, sema ndio hivyo watu wamelala na wanaridhika upesi, acha Arusha ipewe mbeleko mpaka maji waite mma.Tanga na mwanza znapendelewa kuliko arusha na mbeya😀
Kwani Dar haina stendi mbili za kisasa stendi ya mbezi Louis na pale Mwenge, acheni nongwa.Mbeleko ndio zmewafanya juzi mzindue meli, mkoa pekee wenye stendi 2 za maana hilo hamlioni malalamiko fc😀😀 mkoa pekee reli ya sgr inapita juu nje ya dar huoni hayo, mkoa pekee wenye daraja la 700bn, mkoa pekee magufuli aliagiza fedha za uhuru zikajenge barabara nje ya dar haya tuendelee mbeleko au inatosha
Sawa mkuuSisi ndio tupo idara nyeti za takwimu za serikali wapi wanapokula keki ya hii nchi zaidi.
Hii kali 😀Ulitaka daraja lijengwe kwenye ziwa kaskazini waunganishe mlima meru na mlima Kilimanjaro alafu waweke meli katikati, nyie mlijengewa barabara ya dual carriage zaidi ya kilometa 20, mlipewa mradi wa maji wa bilioni zaidi ya 520, jengo la PAPU, mradi wa ujenzi wa uwanja wa karibu bilion 300, HQ za utalii na madini au niendelee naona nitajaza server bado karibia 80% ya maghorofa ya Arusha ni mali ya NHC.
Hatutaki hadithi, sisi wakandarasi wapo site kuwafunga midomo wala weed wa arusha👇👇Hii kali 😀
Sasa kuna hii inakuja ndio balaa
Malalamiko fc mtalala barabarani
Hii inayojengwa ya kigali ikasome
Ila kwa sgr mmetupiga na kitu kizito tunaumiaga hadi kesho😀Hatutaki hadithi, sisi wakandarasi wapo site kuwafunga midomo wala weed wa arusha👇👇
View attachment 2945784
Kama sisi tunavyoumia na kiwanja cha kisasa cha mpira kinachojengwa huko arusha.Ila kwa sgr mmetupiga na kitu kizito tunaumiaga hadi kesho😀