Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kumbe ni jengo la TBA alafu utawaskia et mwanza inajijenga yenyewe😀😀 kwa mbele yake kuna mall waliyojengewa na halmashauri jengo lao refu la psssf ukiwaskia wanakuambia mwanza inajijenga yenyewe bogus hawa watu aka malalqmiko fc😀😀
Huwa ni Kauli za loosers ,hakuna Mji imeendelea hapa Tanzania bila uwekezaji wa Serikali
 
Acha
Kumbe ni jengo la TBA alafu utawaskia et mwanza inajijenga yenyewe😀😀 kwa mbele yake kuna mall waliyojengewa na halmashauri jengo lao refu la psssf ukiwaskia wanakuambia mwanza inajijenga yenyewe bogus hawa watu aka malalqmiko fc😀😀
Hakuna sehemu iliyojijenga yenyewe bila mbeleko za serikali lakini Mwanza kwa upande mwingine unajitaidi si kama sehemu zingine kama dodoma ambako mbeleko ni 100% Mwanza ni 50% Dar 98% Arusha 88% Tanga 40% Mbeya 48%.
 
Tanga inapendelewa na gvt kushinda Mbeya ,wanasingizia kabandari
 
Nakataa kabisa nyie mkumbuke mna igawa dual carriage ya 26km, wakati jiji la Mwanza halina hata kabarabara ka 1km ka dual carriage.
Sio 26 ni 172km ndio itakua refu Tanzania kuanzia igawa hadi tunduma
 
Acha
Hakuna sehemu iliyojijenga yenyewe bila mbeleko za serikali lakini Mwanza kwa upande mwingine unajitaidi si kama sehemu zingine kama dodoma ambako mbeleko ni 100% Mwanza ni 50% Dar 98% Arusha 88% Tanga 40% Mbeya 48%.
Mbeleko ndio zmewafanya juzi mzindue meli, mkoa pekee wenye stendi 2 za maana hilo hamlioni malalamiko fc😀😀 mkoa pekee reli ya sgr inapita juu nje ya dar huoni hayo, mkoa pekee wenye daraja la 700bn, mkoa pekee magufuli aliagiza fedha za uhuru zikajenge barabara nje ya dar haya tuendelee mbeleko au inatosha
 
Hizi % umezitoa wapi mkuu?
 
Ulitaka daraja lijengwe kwenye ziwa kaskazini waunganishe mlima meru na mlima Kilimanjaro alafu waweke meli katikati, nyie mlijengewa barabara ya dual carriage zaidi ya kilometa 20, mlipewa mradi wa maji wa bilioni zaidi ya 520, jengo la PAPU, mradi wa ujenzi wa uwanja wa karibu bilion 300, HQ za utalii na madini au niendelee naona nitajaza server bado karibia 80% ya maghorofa ya Arusha ni mali ya NHC.
 
Tanga na mwanza znapendelewa kuliko arusha na mbeya😀
Tanga bila ujio wa Dar lilikuwa ndio jiji letu kubwa, sema ndio hivyo watu wamelala na wanaridhika upesi, acha Arusha ipewe mbeleko mpaka maji waite mma.
 
Mbeleko ndio zmewafanya juzi mzindue meli, mkoa pekee wenye stendi 2 za maana hilo hamlioni malalamiko fc😀😀 mkoa pekee reli ya sgr inapita juu nje ya dar huoni hayo, mkoa pekee wenye daraja la 700bn, mkoa pekee magufuli aliagiza fedha za uhuru zikajenge barabara nje ya dar haya tuendelee mbeleko au inatosha
Kwani Dar haina stendi mbili za kisasa stendi ya mbezi Louis na pale Mwenge, acheni nongwa.
 
Ulitaka daraja lijengwe kwenye ziwa kaskazini waunganishe mlima meru na mlima Kilimanjaro alafu waweke meli katikati, nyie mlijengewa barabara ya dual carriage zaidi ya kilometa 20, mlipewa mradi wa maji wa bilioni zaidi ya 520, jengo la PAPU, mradi wa ujenzi wa uwanja wa karibu bilion 300, HQ za utalii na madini au niendelee naona nitajaza server bado karibia 80% ya maghorofa ya Arusha ni mali ya NHC.
Hii kali 😀
Sasa kuna hii inakuja ndio balaa
Malalamiko fc mtalala barabarani
Hii inayojengwa ya kigali ikasome
 
Attachments

  • Screenshot_20240327-094837_Chrome.jpg
    Screenshot_20240327-094837_Chrome.jpg
    652.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240327-095137_Chrome.jpg
    Screenshot_20240327-095137_Chrome.jpg
    595.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240327-095159_Chrome.jpg
    Screenshot_20240327-095159_Chrome.jpg
    681.5 KB · Views: 9
Back
Top Bottom