Hahaha unafurahisha sana sasa hapo si kama Nyegezi tu lakini kwako wewe ni City Center! Hhahahahah huo uchafu wa Mbeya siku nyingine usirudie tena kuongea mbele ya watu wenye akili!Achana na Mbeya huwezi wewe nyumbu wa Mwanza is Slum View attachment 2984576
Mwanza zaidi ya kujaa maskini Kuna nini Cha maana huko?Hahaha unafurahisha sana sasa hapo si kama Nyegezi tu lakini kwako wewe ni City Center! Hhahahahah huo uchafu wa Mbeya siku nyingine usirudie tena kuongea mbele ya watu wenye akili!
Hakuna tofauti ya Maendeleo? ππBro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014View attachment 2984556
π¨π¨π¨π¨Hahaha unafurahisha sana sasa hapo si kama Nyegezi tu lakini kwako wewe ni City Center! Hhahahahah huo uchafu wa Mbeya siku nyingine usirudie tena kuongea mbele ya watu wenye akili!
Kwa mara ya kwanza humu jf nmekutana na post ya mtu aliyetembelea kweli hiyo miji yote miwili na bila kuongea kwa ushabiki π wengine wanaongeaga kwa hisia tu mtu wa arusha hajawah kufika mwanza and vice versa ila wewe umefikia kweli na umejionea nakubali, arusha magari ni mengi kuliko watu kutokana na biashara kubwa ya arusha ni utalii na mji uko concentrated sehemu moja lakini kuna vibe kama nairobi haswa kama ni mtu wa starehe mwanza kwa upande mwingine ni dar es salaam ndogo mji umepanuka na kuna center za nje ya mji zenye watu wengi kama buswelu, nyengezi, buhongwa etc na utakuta wafanyabiashara wengi japo magari sio mengi kama arusha na biashara ndogondogo kwa mwanza ni nyingi kuliko arushaKwa Mara ya kwanza nimefika Arusha, jiji ambalo kwa miaka mingi nimetamani sana kufika bila mafanikio.
Jiji lipo busy sana kuanzia alfajiri watu ni wengi asubuhi, magari kibao.
Tofauti na mwanza hizo hamsha hamsha zipo lakini hazifikii za arusha.
Miji yote miwili hekaheka zao zote zinakata kuanzia mida ya saa mbili usiku. Arusha utaona magari mengi mtaani ila watu hakuna mtaani.
Ukitoka Arusha city center kilomita 10 kila upande, mji unakua umeuacha na hutaona maeneo mengine yaliyochangamka zaidi. Tofauti na Mwanza ambako kuna miji mingine kama nyegezi buhongwa, kisesa, igoma na buswelu ambako kunawafu wengi sana na nyumba ni nyingi mno.
Kwa upande wa barabara, Arusha imejitahidi. Mwanza bado kuona mikeka kama ya kanda ya kaskazini.
Kwa kumalizia, jiji la Mwanza ni kubwa na limepangika. Magholofa yanayopendezesha mji yamekusanyika pamoja na mengine ndio yanaendelea kutawanyika mbali na city center.
Arusha inamagholofa mengi na marefu sana na mazuri zaidi kuliko ya mwanza, lakini yapo mbalimbali.
Nakadhalika na kadhalika.
Miji yote ni mizuri sana kama serikali ikiamua kujenga miundo mbinu kama Dara. Nadhani tunaweza kua na majiji matano tu yanayoshikiria vyema taswira ya nchi yetu
Tofauti ni kubwa sana mkuuBro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014View attachment 2984556
Umeongea facts bila ushabiki bhuddaπKwa mara ya kwanza humu jf nmekutana na post ya mtu aliyetembelea kweli hiyo miji yote miwili na bila kuongea kwa ushabiki π wengine wanaongeaga kwa hisia tu mtu wa arusha hajawah kufika mwanza and vice versa ila wewe umefikia kweli na umejionea nakubali, arusha magari ni mengi kuliko watu kutokana na biashara kubwa ya arusha ni utalii na mji uko concentrated sehemu moja lakini kuna vibe kama nairobi haswa kama ni mtu wa starehe mwanza kwa upande mwingine ni dar es salaam ndogo mji umepanuka na kuna center za nje ya mji zenye watu wengi kama buswelu, nyengezi, buhongwa etc na utakuta wafanyabiashara wengi japo magari sio mengi kama arusha na biashara ndogondogo kwa mwanza ni nyingi kuliko arusha
Conclusion, Arusha ni smaller version ya nairobi. Mwanza ni smaller version ya Daresalaam
Kwa maana ya nairobi mji uko sehemu moja lakini kuna vibe kubwa sana
Dar mji umetanuka sana nje kama gongo la mboto, tegeta, mbagala etc na biashara ndogo ndogo ni nyingi sana
Na hii ni kutokana na mwanza na dar kupakana na fukwe za ziwa pamoja na bahari huku miji kama arusha au nairobi kuwa katikati kwenye tambarare ikiwalazimisha wakazi wote kukutanika sehemu moja
Sisi tukisema wanasema tunawaonea ππKwa Mara ya kwanza nimefika Arusha, jiji ambalo kwa miaka mingi nimetamani sana kufika bila mafanikio.
Jiji lipo busy sana kuanzia alfajiri watu ni wengi asubuhi, magari kibao.
Tofauti na mwanza hizo hamsha hamsha zipo lakini hazifikii za arusha.
Miji yote miwili hekaheka zao zote zinakata kuanzia mida ya saa mbili usiku. Arusha utaona magari mengi mtaani ila watu hakuna mtaani.
Ukitoka Arusha city center kilomita 10 kila upande, mji unakua umeuacha na hutaona maeneo mengine yaliyochangamka zaidi. Tofauti na Mwanza ambako kuna miji mingine kama nyegezi buhongwa, kisesa, igoma na buswelu ambako kunawafu wengi sana na nyumba ni nyingi mno.
Kwa upande wa barabara, Arusha imejitahidi. Mwanza bado kuona mikeka kama ya kanda ya kaskazini.
Kwa kumalizia, jiji la Mwanza ni kubwa na limepangika. Magholofa yanayopendezesha mji yamekusanyika pamoja na mengine ndio yanaendelea kutawanyika mbali na city center.
Arusha inamagholofa mengi na marefu sana na mazuri zaidi kuliko ya mwanza, lakini yapo mbalimbali.
Nakadhalika na kadhalika.
Miji yote ni mizuri sana kama serikali ikiamua kujenga miundo mbinu kama Dara. Nadhani tunaweza kua na majiji matano tu yanayoshikiria vyema taswira ya nchi yetu
Mwanza hakuna kitu kule ni kujilisha upepo tuu ndio maana hakuna anaezungumzia Mwanza huko Africa.Kwa mara ya kwanza humu jf nmekutana na post ya mtu aliyetembelea kweli hiyo miji yote miwili na bila kuongea kwa ushabiki π wengine wanaongeaga kwa hisia tu mtu wa arusha hajawah kufika mwanza and vice versa ila wewe umefikia kweli na umejionea nakubali, arusha magari ni mengi kuliko watu kutokana na biashara kubwa ya arusha ni utalii na mji uko concentrated sehemu moja lakini kuna vibe kama nairobi haswa kama ni mtu wa starehe mwanza kwa upande mwingine ni dar es salaam ndogo mji umepanuka na kuna center za nje ya mji zenye watu wengi kama buswelu, nyengezi, buhongwa etc na utakuta wafanyabiashara wengi japo magari sio mengi kama arusha na biashara ndogondogo kwa mwanza ni nyingi kuliko arusha
Conclusion, Arusha ni smaller version ya nairobi. Mwanza ni smaller version ya Daresalaam
Kwa maana ya nairobi mji uko sehemu moja lakini kuna vibe kubwa sana
Dar mji umetanuka sana nje kama gongo la mboto, tegeta, mbagala etc na biashara ndogo ndogo ni nyingi sana
Na hii ni kutokana na mwanza na dar kupakana na fukwe za ziwa pamoja na bahari huku miji kama arusha au nairobi kuwa katikati kwenye tambarare ikiwalazimisha wakazi wote kukutanika sehemu moja
πππ Mkuu jiji la Mwanza ni kubwaSisi tukisema wanasema tunawaonea ππ
Asante sana Kwa hii observation.Arusha is more business City than Mwanza is slum ππView attachment 2995963View attachment 2995964View attachment 2995965View attachment 2995966View attachment 2995967View attachment 2995968View attachment 2995969View attachment 2995970View attachment 2995971View attachment 2995972View attachment 2995973View attachment 2995974
Mkuu Mwanza ni mji mkubwa sana. Narabara katikati ya jiji la Arusha haziko poa kama za mwanza. Mwanza city center inamitaa mizuri na barabara zake zimejengwa vizuri sana. Hilo hata kwa mtu wa Arusha aliefika mwanza hawezi kubisha kabisa. Ila hizi barabara zinazotoka nje ya mwanza ndio chenga chenga yaani ni kama za katikati ya jiji la Arusha.Sisi tukisema wanasema tunawaonea ππ
Asante sana Kwa hii observation.Arusha is more business City than Mwanza is slum ππView attachment 2995963View attachment 2995964View attachment 2995965View attachment 2995966View attachment 2995967View attachment 2995968View attachment 2995969View attachment 2995970View attachment 2995971View attachment 2995972View attachment 2995973View attachment 2995974
Ukubwa wenye uhovyo na umaskini ndani yake unatusaidia nini?πππ Mkuu jiji la Mwanza ni kubwa
Mkuu Mwanza ni mji mkubwa sana. Narabara katikati ya jiji la Arusha haziko poa kama za mwanza. Mwanza city center inamitaa mizuri na barabara zake zimejengwa vizuri sana. Hilo hata kwa mtu wa Arusha aliefika mwanza hawezi kubisha kabisa. Ila hizi barabara zinazotoka nje ya mwanza ndio chenga chenga yaani ni kama za katikati ya jiji la Arusha.
Makonda alikua na haki ya kumlilia mama
Asante kwa kuitetea mwanza nyumbani japo na miaka 8 sijakanyaga ardhi ya nyumbaniπππ Mkuu jiji la Mwanza ni kubwa
Mkuu Mwanza ni mji mkubwa sana. Narabara katikati ya jiji la Arusha haziko poa kama za mwanza. Mwanza city center inamitaa mizuri na barabara zake zimejengwa vizuri sana. Hilo hata kwa mtu wa Arusha aliefika mwanza hawezi kubisha kabisa. Ila hizi barabara zinazotoka nje ya mwanza ndio chenga chenga yaani ni kama za katikati ya jiji la Arusha.
Makonda alikua na haki ya kumlilia mama
Mkuu,Ukubwa wenye uhovyo na umaskini ndani yake unatusaidia nini?
Uzuri upi ambao Mwanza inao kushinda Arusha? Barabara zipi hizo? Mimi Mwanza na Arusha kote nafahamu siambiwi.