Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hahaha unafurahisha sana sasa hapo si kama Nyegezi tu lakini kwako wewe ni City Center! Hhahahahah huo uchafu wa Mbeya siku nyingine usirudie tena kuongea mbele ya watu wenye akili!
Mwanza zaidi ya kujaa maskini Kuna nini Cha maana huko?
 
Bro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014View attachment 2984556
Hakuna tofauti ya Maendeleo? 👇👇

Arusha magorofa 7,000.plus

Mwanza magorofa 3,0000

Mwanza ni dampo la maskini huwezi linganisha na Arusha Kwa chochote 😁😁😁😁
 
Hahaha unafurahisha sana sasa hapo si kama Nyegezi tu lakini kwako wewe ni City Center! Hhahahahah huo uchafu wa Mbeya siku nyingine usirudie tena kuongea mbele ya watu wenye akili!
🔨🔨🔨🔨
844861845.jpg
-1252897573.jpg

20240515_181504.jpg
 
Kwa Mara ya kwanza nimefika Arusha, jiji ambalo kwa miaka mingi nimetamani sana kufika bila mafanikio.
Jiji lipo busy sana kuanzia alfajiri watu ni wengi asubuhi, magari kibao.
Tofauti na mwanza hizo hamsha hamsha zipo lakini hazifikii za arusha.
Miji yote miwili hekaheka zao zote zinakata kuanzia mida ya saa mbili usiku. Arusha utaona magari mengi mtaani ila watu hakuna mtaani.
Ukitoka Arusha city center kilomita 10 kila upande, mji unakua umeuacha na hutaona maeneo mengine yaliyochangamka zaidi. Tofauti na Mwanza ambako kuna miji mingine kama nyegezi buhongwa, kisesa, igoma na buswelu ambako kunawafu wengi sana na nyumba ni nyingi mno.
Kwa upande wa barabara, Arusha imejitahidi. Mwanza bado kuona mikeka kama ya kanda ya kaskazini.
Kwa kumalizia, jiji la Mwanza ni kubwa na limepangika. Magholofa yanayopendezesha mji yamekusanyika pamoja na mengine ndio yanaendelea kutawanyika mbali na city center.
Arusha inamagholofa mengi na marefu sana na mazuri zaidi kuliko ya mwanza, lakini yapo mbalimbali.
Nakadhalika na kadhalika.
Miji yote ni mizuri sana kama serikali ikiamua kujenga miundo mbinu kama Dara. Nadhani tunaweza kua na majiji matano tu yanayoshikiria vyema taswira ya nchi yetu
 
Kwa mara ya kwanza humu jf nmekutana na post ya mtu aliyetembelea kweli hiyo miji yote miwili na bila kuongea kwa ushabiki 👏 wengine wanaongeaga kwa hisia tu mtu wa arusha hajawah kufika mwanza and vice versa ila wewe umefikia kweli na umejionea nakubali, arusha magari ni mengi kuliko watu kutokana na biashara kubwa ya arusha ni utalii na mji uko concentrated sehemu moja lakini kuna vibe kama nairobi haswa kama ni mtu wa starehe mwanza kwa upande mwingine ni dar es salaam ndogo mji umepanuka na kuna center za nje ya mji zenye watu wengi kama buswelu, nyengezi, buhongwa etc na utakuta wafanyabiashara wengi japo magari sio mengi kama arusha na biashara ndogondogo kwa mwanza ni nyingi kuliko arusha
Conclusion, Arusha ni smaller version ya nairobi. Mwanza ni smaller version ya Daresalaam
Kwa maana ya nairobi mji uko sehemu moja lakini kuna vibe kubwa sana
Dar mji umetanuka sana nje kama gongo la mboto, tegeta, mbagala etc na biashara ndogo ndogo ni nyingi sana
Na hii ni kutokana na mwanza na dar kupakana na fukwe za ziwa pamoja na bahari huku miji kama arusha au nairobi kuwa katikati kwenye tambarare ikiwalazimisha wakazi wote kukutanika sehemu moja
 
Bro utalii upo miaka yote lakini hakuna tofauti ya maendeleo kati ya Mwanza na huko Arusha! Kwa hiyo maendeleo sio mepesi kama unavyodhania! Ndo maana hata Mbeya gorofa ya kwanza yenye LIFT ilizinduliwa mwaka 2014View attachment 2984556
Tofauti ni kubwa sana mkuu
Arusha ulitoka kua mji wa 9 kwa ukubwa mwaka 78 hadi kuwa mji wa 3 mwaka 2012 huoni nguvu ya utalii hapo kumbuka arusha imezungukwa na mapori
Mwanza umekua mji wa pili tangu miaka ya 70 hadi leo
huoni threads nyingi zinalinganisha mwanza na arusha lakini ilitakiwa kihalali ulinganishe na miji iliyokua mikubwa kama tanga na tabora arusha kama si utalii ilikua hata haijulikani angalia hata viongozi ambao hawaoni umuhimu wa utalii arusha inakua haiskiki kabisa
Licha ya mwanza kuwa na idadi kubwa ya watu kuliko arusha lakini mapato ya TRA arusha inaizidi mwanza zaidi ya mara mbili achilia mbali magorofa bado huoni nguvu ya utalii chief
Imagine Arusha haupo hata kwenye mikoa 10 yenye watu wengi lakini ni mkoa wa 2 kwa makusanyo ya kodi
Utalii is everything Bro
Ndio biashara ambayo hauhitaji uuze kitu upate hela kama madini au mazao
Kuanzia mtalii anaposhuka airport ni hela tu anaacha
Unadhan Rwanda ni wajinga wanavoinvest kwenye utalii
NB: Kwa vivutio tulivyonavyo tungekua serious na utalii wetu na vivutio vyetu amini kwamba raia wangekua wanalipwa hapa bongo
 
Kwa mara ya kwanza humu jf nmekutana na post ya mtu aliyetembelea kweli hiyo miji yote miwili na bila kuongea kwa ushabiki 👏 wengine wanaongeaga kwa hisia tu mtu wa arusha hajawah kufika mwanza and vice versa ila wewe umefikia kweli na umejionea nakubali, arusha magari ni mengi kuliko watu kutokana na biashara kubwa ya arusha ni utalii na mji uko concentrated sehemu moja lakini kuna vibe kama nairobi haswa kama ni mtu wa starehe mwanza kwa upande mwingine ni dar es salaam ndogo mji umepanuka na kuna center za nje ya mji zenye watu wengi kama buswelu, nyengezi, buhongwa etc na utakuta wafanyabiashara wengi japo magari sio mengi kama arusha na biashara ndogondogo kwa mwanza ni nyingi kuliko arusha
Conclusion, Arusha ni smaller version ya nairobi. Mwanza ni smaller version ya Daresalaam
Kwa maana ya nairobi mji uko sehemu moja lakini kuna vibe kubwa sana
Dar mji umetanuka sana nje kama gongo la mboto, tegeta, mbagala etc na biashara ndogo ndogo ni nyingi sana
Na hii ni kutokana na mwanza na dar kupakana na fukwe za ziwa pamoja na bahari huku miji kama arusha au nairobi kuwa katikati kwenye tambarare ikiwalazimisha wakazi wote kukutanika sehemu moja
Umeongea facts bila ushabiki bhudda🙏
 
Kwa Mara ya kwanza nimefika Arusha, jiji ambalo kwa miaka mingi nimetamani sana kufika bila mafanikio.
Jiji lipo busy sana kuanzia alfajiri watu ni wengi asubuhi, magari kibao.
Tofauti na mwanza hizo hamsha hamsha zipo lakini hazifikii za arusha.
Miji yote miwili hekaheka zao zote zinakata kuanzia mida ya saa mbili usiku. Arusha utaona magari mengi mtaani ila watu hakuna mtaani.
Ukitoka Arusha city center kilomita 10 kila upande, mji unakua umeuacha na hutaona maeneo mengine yaliyochangamka zaidi. Tofauti na Mwanza ambako kuna miji mingine kama nyegezi buhongwa, kisesa, igoma na buswelu ambako kunawafu wengi sana na nyumba ni nyingi mno.
Kwa upande wa barabara, Arusha imejitahidi. Mwanza bado kuona mikeka kama ya kanda ya kaskazini.
Kwa kumalizia, jiji la Mwanza ni kubwa na limepangika. Magholofa yanayopendezesha mji yamekusanyika pamoja na mengine ndio yanaendelea kutawanyika mbali na city center.
Arusha inamagholofa mengi na marefu sana na mazuri zaidi kuliko ya mwanza, lakini yapo mbalimbali.
Nakadhalika na kadhalika.
Miji yote ni mizuri sana kama serikali ikiamua kujenga miundo mbinu kama Dara. Nadhani tunaweza kua na majiji matano tu yanayoshikiria vyema taswira ya nchi yetu
Sisi tukisema wanasema tunawaonea 😁😁

Asante sana Kwa hii observation.Arusha is more business City than Mwanza is slum 👇👇
174248450.jpg
797315309.jpg
-2033661868.jpg
568280825.jpg
1139776376.jpg
-940955849.jpg
507667541.jpg
852461366.jpg
-1246972006.jpg
-116120806.jpg
-980265588.jpg
-1820012712.jpg
 
Kwa mara ya kwanza humu jf nmekutana na post ya mtu aliyetembelea kweli hiyo miji yote miwili na bila kuongea kwa ushabiki 👏 wengine wanaongeaga kwa hisia tu mtu wa arusha hajawah kufika mwanza and vice versa ila wewe umefikia kweli na umejionea nakubali, arusha magari ni mengi kuliko watu kutokana na biashara kubwa ya arusha ni utalii na mji uko concentrated sehemu moja lakini kuna vibe kama nairobi haswa kama ni mtu wa starehe mwanza kwa upande mwingine ni dar es salaam ndogo mji umepanuka na kuna center za nje ya mji zenye watu wengi kama buswelu, nyengezi, buhongwa etc na utakuta wafanyabiashara wengi japo magari sio mengi kama arusha na biashara ndogondogo kwa mwanza ni nyingi kuliko arusha
Conclusion, Arusha ni smaller version ya nairobi. Mwanza ni smaller version ya Daresalaam
Kwa maana ya nairobi mji uko sehemu moja lakini kuna vibe kubwa sana
Dar mji umetanuka sana nje kama gongo la mboto, tegeta, mbagala etc na biashara ndogo ndogo ni nyingi sana
Na hii ni kutokana na mwanza na dar kupakana na fukwe za ziwa pamoja na bahari huku miji kama arusha au nairobi kuwa katikati kwenye tambarare ikiwalazimisha wakazi wote kukutanika sehemu moja
Mwanza hakuna kitu kule ni kujilisha upepo tuu ndio maana hakuna anaezungumzia Mwanza huko Africa.

Tanzania ni Dar, Zanzibar,Arusha na Dom tuu.
 
😂😂😂 Mkuu jiji la Mwanza ni kubwa
Mkuu Mwanza ni mji mkubwa sana. Narabara katikati ya jiji la Arusha haziko poa kama za mwanza. Mwanza city center inamitaa mizuri na barabara zake zimejengwa vizuri sana. Hilo hata kwa mtu wa Arusha aliefika mwanza hawezi kubisha kabisa. Ila hizi barabara zinazotoka nje ya mwanza ndio chenga chenga yaani ni kama za katikati ya jiji la Arusha.
Makonda alikua na haki ya kumlilia mama
 
Ukubwa wenye uhovyo na umaskini ndani yake unatusaidia nini?

Uzuri upi ambao Mwanza inao kushinda Arusha? Barabara zipi hizo? Mimi Mwanza na Arusha kote nafahamu siambiwi.
 
Asante kwa kuitetea mwanza nyumbani japo na miaka 8 sijakanyaga ardhi ya nyumbani
 
Ukubwa wenye uhovyo na umaskini ndani yake unatusaidia nini?

Uzuri upi ambao Mwanza inao kushinda Arusha? Barabara zipi hizo? Mimi Mwanza na Arusha kote nafahamu siambiwi.
Mkuu,
Mbona una beza jiji la pili kwa mapato na uzuri wa kila aina mpaka watu wanabubujikwa na machozi in Lucas MWASHAMBWA 😊 voices
 
Back
Top Bottom