Watu wapo slow na wana jiji la mfano, Mwanza sio jiji kivipi? Hivi unavyoandika unajitambua kweli au nabishana na mtoto wa nurserySio kosa lako, watu wa mwanza mpo slow slow tu. Yani ata kuuliza umeshindwa? Google basi? Nyie sio ata jiji.
Acha kusifia ujinga wa huyo jamaa mwenye chuki zakeππUmemaliza π
Kwa nini asipotee ikiwa Kila sehemu kumejaa slums? Mungejenga Kwa mpangilio hakuna mtu asingepotea.Siku ukiridi Mwanza utapotea wallah.
Nilijua tu popoma lazima utokee kwenye ujinga wako.Kwa nini asipotee ikiwa Kila sehemu kumejaa slums? Mungejenga Kwa mpangilio hakuna mtu asingepotea.
Jiji la mfano gani? Hakuna corporate company ina muda na Mwanza acha kuota, ipi yani kwa mfano? Mwanza ni likijiji likubwa tu, mtu akisema katoka Mwanza Arusha wanakudharau chapπWatu wapo slow na wana jiji la mfano, Mwanza sio jiji kivipi? Hivi unavyoandika unajitambua kweli au nabishana na mtoto wa nursery
This yearSiku ukiridi Mwanza utapotea wallah.
Alikua anakujaza tu huyo anawajua jamaa mnapendaga kusifiwaπAlikuja Jamaa Angu kutoka Arusha kunitembelea alivyofika Mwanza alishangaa sana kuona Musabe ni Shule, Eti dah kwetu Arusha kingekua chuo hicho
Hujanielewa bwana Mdazi namaanisha alishangaa majengo yale kuwa ni ya shule akitegemea ingekuwa ni Chuo kikubwaAlikua anakujaza tu huyo anawajua jamaa mnapendaga kusifiwa[emoji23]
Arusha kuna vyuo vya kimataifa
1. MS TCDC
2.NELSON MANDELA
3.ESAMI
4.TMA
Bado kuna vyuo local vya kutosha
5. Institute of Accountancy Arusha
6.ATC
7.Tumaini Makumira Hq
8.Mount Meru University
9. Jomo Kenyatta Arusha campus
10. Mzumbe Arusha Campus
*Kuna Chuo cha madini kinajengwa cha nchi nzima na bajeti imeshatengwa
*Aghakhan tayari wana eneo la kujenga chuo kikubwa East Africa
*Kuna vyuo local tukitaja 100 vinafika
*Tembea braza usijifungie ziwani huko[emoji2]
Arusha ni headquarters za EAC
Bado hizo shule ulizosema Arusha kuna shule International zaidi ya 10 ukitaka tukuletee list
Nje ya Dar hamna sehem utapata shule zenye hadhi kama Arusha
Ila jamaa alijua kukujaza sana[emoji23][emoji23]
Wewe kwako hapo unaona nini zaidi ya Slums? ππKuna jamaa akija mwanza anafikia Mabatini tena Mlimani akija hapa anahitimisha Mwanza yote ni Slum mara Mwanza haijapangwaView attachment 2997749View attachment 2997752View attachment 2997753View attachment 2997755View attachment 2997756
CUHAS na Mwanza University vinapatikama Mwanza ya wapi? Bujora au? ππKwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi ila tunawachapa hivyo hivyo
1/ SAUT
2/CUHAS
3/MWANZA UNIVERSITY
4/TIA MWANZA CAMPUS
5/DIT MWANZA CAMPUS
6/MIPANGO MWANZA CAMPUS
7/CBE
8/ Chuo cha Kilimo Ukiriguru
9/ Pansiasi Wildlife College
10/Chuo cha Fisheries
N.K
Bado kuna College ndongo ndongo nyingi
tu hususani za Nursing na Mining
Kuwa na aibu basi yaani hayo ma high density plots ambayo hayako kwenye proper arrangements kwako ndio unaona ni Mpango Mji?Mwanza Haijawahi kuwa Slum sema wewe ukija unafikia kwenye Slum basi unajua maeneo yote ni Slum na kila Jiji, Manispaa, Mji, Wilaya zina sehemu zenye SlumView attachment 2997603View attachment 2997606
Arusha kunaMwanza Haijawahi kuwa Slum sema wewe ukija unafikia kwenye Slum basi unajua maeneo yote ni Slum na kila Jiji, Manispaa, Mji, Wilaya zina sehemu zenye SlumView attachment 2997603View attachment 2997606
Ninavyojua mimi Slum ni sehemu yenye mlundikano wa nyumba duni bila mpangilio kiasi kwamba huduma za kijamii na miundombinu hazifikiki ama zinafikika kwa shida, Hakuna pahala dunian Viwanja vya High Density vikakosa na sehemu yeyote iliyopangwa kunakuwa na High Density nyingi, Medium Density kiasi na Low Density Chache nenda ka Google kaka utanipa majibu, High Density sio Slum hata siku mojaKuwa na aibu basi yaani hayo ma high density plots ambayo hayako kwenye proper arrangements kwako ndio unaona ni Mpango Mji?
Unatia huruma sana πππNilijua tu popoma lazima utokee kwenye ujinga wako.
Ndio kama zilibyirundikana Mwanza yote.Ninavyojua mimi Slum ni sehemu yenye mlundikano wa nyumba duni bila mpangilio kiasi kwamba huduma za kijamii na miundombinu hazifikiki ama zinafikika kwa shida, Hakuna pahala dunian Viwanja vya High Density vikakosa na sehemu yeyote iliyopangwa kunakuwa na High Density nyingi, Medium Density kiasi na Low Density Chache nenda ka Google kaka utanipa majibu, High Density sio Slum hata siku moja