ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wacha porojo za kipuuzi,leta vitu kama hivi kutoka Arusha ππAlikuja Jamaa Angu kutoka Arusha kunitembelea alivyofika Mwanza alishangaa sana kuona Musabe ni Shule, Eti dah kwetu Arusha kingekua chuo hicho
Hapo kilichokutisha ni hiyo Video ya kutengeneza tuonyeshe iliyotekelezwa ikifanana hivyo sio kwa Tanzania hii Hata hivyo huko nilikokuonesha pakiwekwa miundombinu kama Lami utapasahau achana na mavideo yakutengenezea studioArusha kuna
-Safari Satellite City
-Bondeni Satellite City
Hizo ni takataka ume post,Maeneo yaliyopangwa yanatakiwa kufanana hivi ππ
View: https://youtu.be/UpuEI28d720?si=Vv9TAEk62BAo-Fc7View attachment 2997875View attachment 2997876
Kwani hujui hivyo viwanja vilishauzwa na utekelezwaji unaendelea?Hapo kilichokutisha ni hiyo Video ya kutengeneza tuonyeshe iliyotekelezwa ikifanana hivyo sio kwa Tanzania hii Hata hivyo huko nilikokuonesha pakiwekwa miundombinu kama Lami utapasahau achana na mavideo yakutengenezea studio
Hapo unaongelea Miladi ambayo mie naiona hapa kwenye Google hakuna kilichochegwa hapo miaka ludi, kama ni miladi isiyojengwa ngoja nikuleteeWacha porojo za kipuuzi,leta vitu kama hivi kutoka Arusha ππ
View: https://youtu.be/VXdvKbe098Y?si=sItaNNyI_bfoOYi4
Tuonesha mipango Miji ya Mwanza.Hapo unaongelea Miladi ambayo mie naiona hapa kwenye Google hakuna kilichochegwa hapo miaka ludi, kama ni miladi isiyojengwa ngoja nikuletee
Tuonesha mipango Miji ya Mwanza.
Tuoneshe kampuni za rela estates za Mwanza.
Mengine ni excuses ππππ
Leta private companies zinazofanya real estate sio huo Mpango wa Serikali ambao upo Kila Mji na unafanya urasimishaji.
Mimi sio Mtu wa Ardhi nenda Pale Mwanza jiji watakuorodheshea japo kuna jamaa nawaona mtandaoni wanajiita Ardhi MtajiTuonesha mipango Miji ya Mwanza.
Tuoneshe kampuni za rela estates za Mwanza.
Mengine ni excuses ππππ
View: https://youtu.be/BKZPc3F1dnY?si=rE0URtWAlfA1rde_
We bado kumbe urasimishaji tumepimiwa unapimiwa hivyohivyo ulivyo, Wanaopanga ni hao wenye miladi hiyo kumbe hata hujawahi kushiriki urasimishaji, Hawa ndio wanaopanga mji urasimishaji hawapangi mji unapimiwa ulivyo unapewa hatiLeta private companies zinazofanya real estate sio huo Mpango wa Serikali ambao upo Kila Mji na unafanya urasimishaji.
Chakushangaza huo Mladi wa mwaka juzi tu hapo utajaa nyumba nyie wazee wa satellite city toka kikwete hajatoka madarakani ephrahim kibonde hajafariki anatangaza hou mladi mpaka leo bado mnatangaza viwanja, km 12 toka katikati ya mji tena uwanja wa ndege upo karibu tu hapo bado mnasuasua Mwanza tungeshavimaliza na kujenga siku nyingiLeta private companies zinazofanya real estate sio huo Mpango wa Serikali ambao upo Kila Mji na unafanya urasimishaji.
Mmejaza miti alafu huku mnatuletea Video za kutengenezea studioTuonesha mipango Miji ya Mwanza.
Tuoneshe kampuni za rela estates za Mwanza.
Mengine ni excuses ππππ
View: https://youtu.be/BKZPc3F1dnY?si=rE0URtWAlfA1rde_
Km umeangalia vzurii serkal hii hain mda na mwanza kbsa wala haitak kuiskia kun miak ming ya kulia mpk mam atoke madarakn itakua coz watu wa mza hawan mda nae... Anafny tu baadh ya mirad coz hamn namna n seem potential kwen nchi ukizngatia n kitovu cha lake zone kun population Zaid ya 35ml... Skuiz mwanz hamn vikao ten hakun mikutano Ata mikutano ya madini inaend arush n kwmba serkal saiv ipo na arusha, dar na Dom tu km mnafatatilia vitu mtaona.. Lakn wasijal mwanz itabak kua mwanz hata bila support na inazid kkukua kila Leo Ata maendeleo wakipelk seem zngne watu wa kawaid tu wanaijenga na watu wanaokuj mwanz km wageni Hua wanatak kurud kila wakiend it's natural beautiful it was made Dat way bila hata hayo majengo wanayoplek dsm Dom na arush it's still fucking cute na itaendelea kua second city labda watoe kigezo cha ukubwaMAOMBI yangu chumbani Kila siku nafasi ya AFCON tusipate....na tusipate.....hivi mbeya na Mwanza ni za kukosa nafasi AFCON..
Wanawasaidia kaka bila kuwapelekea vikao na kuwajengea Taasisi nyingi za Serikali we unafikili uchumi wao utasisimuliwa na nini, ukilinganisha na Mwanza maana utalii ni wa Mzungu wakati Mwanza Wavuvi kila baada ya week tatu Wantegeluka wanajibebea maokoto, wale wakuvua Samaki kila it iitwapo asubuhi wanakusanya zao maokoto na hii sio anzia Visiwani mpaka Mijini, Fukwe za Kigongo,Mwasonge, Sweya,Mwalo wa Mswahili, Kamanga,Kirumba Mwaloni, Sabasaba, Igombe, Kabangaja, Sangabuye, Kayenze nenda mpaka Nyanguge huko watu wanapiga maokoto hapo bado secta zingine wakituletea na Utalii na Vikao tutawabaka hao wanachuga acheni tu serikali iwasaidieKm umeangalia vzurii serkal hii hain mda na mwanza kbsa wala haitak kuiskia kun miak ming ya kulia mpk mam atoke madarakn itakua coz watu wa mza hawan mda nae... Anafny tu baadh ya mirad coz hamn namna n seem potential kwen nchi ukizngatia n kitovu cha lake zone kun population Zaid ya 35ml... Skuiz mwanz hamn vikao ten hakun mikutano Ata mikutano ya madini inaend arush n kwmba serkal saiv ipo na arusha, dar na Dom tu km mnafatatilia vitu mtaona.. Lakn wasijal mwanz itabak kua mwanz hata bila support na inazid kkukua kila Leo Ata maendeleo wakipelk seem zngne watu wa kawaid tu wanaijenga na watu wanaokuj mwanz km wageni Hua wanatak kurud kila wakiend it's natural beautiful it was made Dat way bila hata hayo majengo wanayoplek dsm Dom na arush it's still fucking cute na itaendelea kua second city labda watoe kigezo cha ukubwa
Mbona unachuki sana na arusha mkuu ππ huwezi kuusemea mji wako utulieWanawasaidia kaka bila kuwapelekea vikao na kuwajengea Taasisi nyingi za Serikali we unafikili uchumi wao utasisimuliwa na nini, ukilinganisha na Mwanza maana utalii ni wa Mzungu wakati Mwanza Wavuvi kila baada ya week tatu Wantegeluka wanajibebea maokoto, wale wakuvua Samaki kila it iitwapo asubuhi wanakusanya zao maokoto na hii sio anzia Visiwani mpaka Mijini, Fukwe za Kigongo,Mwasonge, Sweya,Mwalo wa Mswahili, Kamanga,Kirumba Mwaloni, Sabasaba, Igombe, Kabangaja, Sangabuye, Kayenze nenda mpaka Nyanguge huko watu wanapiga maokoto hapo bado secta zingine wakituletea na Utalii na Vikao tutawabaka hao wanachuga acheni tu serikali iwasaidie
Hapana kaka mi Siwezi kuichukia Arusha maana ni Tanzania yetu sote hapa tunapeana challenge tu ikiwezekana mpambane mjinasue mlipoMbona unachuki sana na arusha mkuu ππ huwezi kuusemea mji wako utulie
Wanawasaidia kaka bila kuwapelekea vikao na kuwajengea Taasisi nyingi za Serikali we unafikili uchumi wao utasisimuliwa na nini, ukilinganisha na Mwanza maana utalii ni wa Mzungu wakati Mwanza Wavuvi kila baada ya week tatu Wantegeluka wanajibebea maokoto, wale wakuvua Samaki kila it iitwapo asubuhi wanakusanya zao maokoto na hii sio anzia Visiwani mpaka Mijini, Fukwe za Kigongo,Mwasonge, Sweya,Mwalo wa Mswahili, Kamanga,Kirumba Mwaloni, Sabasaba, Igombe, Kabangaja, Sangabuye, Kayenze nenda mpaka Nyanguge huko watu wanapiga maokoto hapo bado secta zingine wakituletea na Utalii na Vikao tutawabaka hao wanachuga acheni tu serikali iwasaidie
Hapana kaka mi Siwezi kuichukia Arusha maana ni Tanzania yetu sote hapa tunapeana challenge tu ikiwezekana mpambane mjinasue mlipo
Arusha uichukie au uioende ila Mwanza haitokuja kuifikia kwa.lolote.Mbona unachuki sana na arusha mkuu ππ huwezi kuusemea mji wako utulie
We unadhani watu wa Kanda ya ziwa wana shobo na kijiji cha Arusha, ndoto za kila mwana kanda ya ziwa ni kuishi Mwanza na si popote pale, nyinyi waluga luga huww tunawachukulia kama wavuta bangi na wendawazimu.Jiji la mfano gani? Hakuna corporate company ina muda na Mwanza acha kuota, ipi yani kwa mfano? Mwanza ni likijiji likubwa tu, mtu akisema katoka Mwanza Arusha wanakudharau chapπ
Karibu kiongoziThis year
Ongeza na ARDHI, IFM na tawi la mzumbeKwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi ila tunawachapa hivyo hivyo
1/ SAUT
2/CUHAS
3/MWANZA UNIVERSITY
4/TIA MWANZA CAMPUS
5/DIT MWANZA CAMPUS
6/MIPANGO MWANZA CAMPUS
7/CBE
8/ Chuo cha Kilimo Ukiriguru
9/ Pansiasi Wildlife College
10/Chuo cha Fisheries
N.K
Bado kuna College ndongo ndongo nyingi
tu hususani za Nursing na Mining