ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wacha porojo za kipuuzi,leta vitu kama hivi kutoka Arusha ๐๐Alikuja Jamaa Angu kutoka Arusha kunitembelea alivyofika Mwanza alishangaa sana kuona Musabe ni Shule, Eti dah kwetu Arusha kingekua chuo hicho
View: https://youtu.be/VXdvKbe098Y?si=sItaNNyI_bfoOYi4