Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha kuna
-Safari Satellite City
-Bondeni Satellite City

Hizo ni takataka ume post,Maeneo yaliyopangwa yanatakiwa kufanana hivi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://youtu.be/UpuEI28d720?si=Vv9TAEk62BAo-Fc7View attachment 2997875View attachment 2997876

Hapo kilichokutisha ni hiyo Video ya kutengeneza tuonyeshe iliyotekelezwa ikifanana hivyo sio kwa Tanzania hii Hata hivyo huko nilikokuonesha pakiwekwa miundombinu kama Lami utapasahau achana na mavideo yakutengenezea studio
 
Kwani hujui hivyo viwanja vilishauzwa na utekelezwaji unaendelea?

Pole sana huko ndiko Unajangwa uwanja wa Afcon,huko ndiko inajengwa Stendi Mpya ya Mkoa na huko ndiko Kuna maeneo makali ya makazi na Mahoteli.

Mwisho Bado Kuna Bulka Estates Project.Mwanza hakuna chochote Cha maana kinaendelea zaidi ya Slums tuu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Leta private companies zinazofanya real estate sio huo Mpango wa Serikali ambao upo Kila Mji na unafanya urasimishaji.
We bado kumbe urasimishaji tumepimiwa unapimiwa hivyohivyo ulivyo, Wanaopanga ni hao wenye miladi hiyo kumbe hata hujawahi kushiriki urasimishaji, Hawa ndio wanaopanga mji urasimishaji hawapangi mji unapimiwa ulivyo unapewa hati
 
Leta private companies zinazofanya real estate sio huo Mpango wa Serikali ambao upo Kila Mji na unafanya urasimishaji.
Chakushangaza huo Mladi wa mwaka juzi tu hapo utajaa nyumba nyie wazee wa satellite city toka kikwete hajatoka madarakani ephrahim kibonde hajafariki anatangaza hou mladi mpaka leo bado mnatangaza viwanja, km 12 toka katikati ya mji tena uwanja wa ndege upo karibu tu hapo bado mnasuasua Mwanza tungeshavimaliza na kujenga siku nyingi
 
Tofautisha video za kutengeneza na uhalisia mladi wenu huu hapa japo kwenye mazingira nawakubali ila acheni mbwembwe dunia kiganjani
 
Attachments

  • Screenshot_20240524-074744_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240524-074744_Google Earth.jpg
    646.3 KB · Views: 5
MAOMBI yangu chumbani Kila siku nafasi ya AFCON tusipate....na tusipate.....hivi mbeya na Mwanza ni za kukosa nafasi AFCON..
Km umeangalia vzurii serkal hii hain mda na mwanza kbsa wala haitak kuiskia kun miak ming ya kulia mpk mam atoke madarakn itakua coz watu wa mza hawan mda nae... Anafny tu baadh ya mirad coz hamn namna n seem potential kwen nchi ukizngatia n kitovu cha lake zone kun population Zaid ya 35ml... Skuiz mwanz hamn vikao ten hakun mikutano Ata mikutano ya madini inaend arush n kwmba serkal saiv ipo na arusha, dar na Dom tu km mnafatatilia vitu mtaona.. Lakn wasijal mwanz itabak kua mwanz hata bila support na inazid kkukua kila Leo Ata maendeleo wakipelk seem zngne watu wa kawaid tu wanaijenga na watu wanaokuj mwanz km wageni Hua wanatak kurud kila wakiend it's natural beautiful it was made Dat way bila hata hayo majengo wanayoplek dsm Dom na arush it's still fucking cute na itaendelea kua second city labda watoe kigezo cha ukubwa
 
Wanawasaidia kaka bila kuwapelekea vikao na kuwajengea Taasisi nyingi za Serikali we unafikili uchumi wao utasisimuliwa na nini, ukilinganisha na Mwanza maana utalii ni wa Mzungu wakati Mwanza Wavuvi kila baada ya week tatu Wantegeluka wanajibebea maokoto, wale wakuvua Samaki kila it iitwapo asubuhi wanakusanya zao maokoto na hii sio anzia Visiwani mpaka Mijini, Fukwe za Kigongo,Mwasonge, Sweya,Mwalo wa Mswahili, Kamanga,Kirumba Mwaloni, Sabasaba, Igombe, Kabangaja, Sangabuye, Kayenze nenda mpaka Nyanguge huko watu wanapiga maokoto hapo bado secta zingine wakituletea na Utalii na Vikao tutawabaka hao wanachuga acheni tu serikali iwasaidie
 
Mbona unachuki sana na arusha mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huwezi kuusemea mji wako utulie
 
Hapana kaka mi Siwezi kuichukia Arusha maana ni Tanzania yetu sote hapa tunapeana challenge tu ikiwezekana mpambane mjinasue mlipo
Mbona unachuki sana na arusha mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huwezi kuusemea mji wako utulie
Arusha uichukie au uioende ila Mwanza haitokuja kuifikia kwa.lolote.

Maskini Mwanza inazidi kutengwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C7WqUXruxE5/?igsh=MThldWRhcGI0N3BzcQ==

My Take: Kamwe Arusha Makao Makuu ya EAC na Utalii haiwezi kulinganishwa na Mwanza Makao Makuu ya Slums na Wavuvi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Jiji la mfano gani? Hakuna corporate company ina muda na Mwanza acha kuota, ipi yani kwa mfano? Mwanza ni likijiji likubwa tu, mtu akisema katoka Mwanza Arusha wanakudharau chap๐Ÿ˜‚
We unadhani watu wa Kanda ya ziwa wana shobo na kijiji cha Arusha, ndoto za kila mwana kanda ya ziwa ni kuishi Mwanza na si popote pale, nyinyi waluga luga huww tunawachukulia kama wavuta bangi na wendawazimu.
 
Kwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi ila tunawachapa hivyo hivyo
1/ SAUT
2/CUHAS
3/MWANZA UNIVERSITY
4/TIA MWANZA CAMPUS
5/DIT MWANZA CAMPUS
6/MIPANGO MWANZA CAMPUS
7/CBE
8/ Chuo cha Kilimo Ukiriguru
9/ Pansiasi Wildlife College
10/Chuo cha Fisheries
N.K
Bado kuna College ndongo ndongo nyingi
tu hususani za Nursing na Mining
Ongeza na ARDHI, IFM na tawi la mzumbe
 
Back
Top Bottom