Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wakati ukiendelea kutafutiza vihotel ....
Usisahau kutuletea na resorts Kali kama hizi[emoji116][emoji116]
 
Umekalia domo tu leta picha sisi watazamaji tutoe point, Mwanza ndio mji wenye magorofa makongwe ya muda mrefu, na magorofa hayajaanza juzi, ndio maana ilitangilia kuitwa jiji baada ya miaka 15 ndio na kijiji cha arusha kikawa na hiyo hadhi.
 
Cheza fair game, usitake kufunga kwa mkono hizi picha umerudi tena angalia post yako hapo juu kama umeishiwa sema tu, mwanza inaendelea kuwakimbiza.... Mikdde endelea kugongelea misumali.
We kazi unayoweza ni kupanua mdomo tu mbona usilete picha?
 
We kazi unayoweza ni kupanua mdomo tu mbona usilete picha?
Sijaona mji hapa wa kushindana na Mwanza adi nilete picha kisa nashindana na pori la wamasai😝😝😝😝
 
Mikdde hawana vitu hao wameishiwa, naona wameweka ka mall kao, wamalize na rock city mall, then nenda houses za bwiru, nyasaka, mwanchi, isamilo, capripoint tumalize mpira kwa ushindi mnono.
Baada vihotel kuisha ..[emoji12][emoji12]huko kwenye mijumba si watakufa [emoji28][emoji28].ngoja niwape location Kali kwanza za kubreeze upepo wa ziwa [emoji116]
 
Tunataka Leo tuweke somo Kwa vigwalanganza wa huko zizini wakome mazoea[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…