Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Watoto wa Mwanza niliwaambia Hamuiwezi Arusha mlaleta midomo haya sasa pangueni hii mizigo kama kweli mnajiweza View attachment 2467141View attachment 2467142View attachment 2467143View attachment 2467144View attachment 2467145View attachment 2467146
Tulia wew ... usitumie nguvu sana .utaumia[emoji116][emoji116]
110e8f161db1172c5b3603422c2b6dcb.jpg
621f30677d14bdb599a787cd5c5b7efb.jpg
0b626c71899cf3c17750891d963c0f82.jpg
 
Wakati ukiendelea kutafutiza vihotel ....
Usisahau kutuletea na resorts Kali kama hizi[emoji116][emoji116]
26f4310be3367f57172b218062ff6076.jpg
20230102_225342.jpg
20230102_225345.jpg
20230102_225347.jpg
 
Ukiangalia mwanza utagundua hivyo vighorofa uchwara ni vya juzi tena enzi za mwendazake, ndio maana wana wenge sana, hawajazoea yani. Mi naogopa Arusha wakija wenyewe hasa wale. Mwanza will be pulverised, mwanza jamani mjivunie kuzaliana tu. Mambo ya urbanisation, class, waachieni Arusha. Hakuna mtu anawawaza mwanza yani. Kaleni mapanki sasa. Mmeshindwa kupangua report ya NBS kuhusu idadi ya maghorofa, mmeshindwa kupangua list ya maghorofa marefu Tanzania, mpompo tu. Embu tafuteni ligi na Singida au iringa. By the way mji wa moshi umewazidi pia. Pua, pua.
Umekalia domo tu leta picha sisi watazamaji tutoe point, Mwanza ndio mji wenye magorofa makongwe ya muda mrefu, na magorofa hayajaanza juzi, ndio maana ilitangilia kuitwa jiji baada ya miaka 15 ndio na kijiji cha arusha kikawa na hiyo hadhi.
 
Cheza fair game, usitake kufunga kwa mkono hizi picha umerudi tena angalia post yako hapo juu kama umeishiwa sema tu, mwanza inaendelea kuwakimbiza.... Mikdde endelea kugongelea misumali.
We kazi unayoweza ni kupanua mdomo tu mbona usilete picha?
 
Mikdde hawana vitu hao wameishiwa, naona wameweka ka mall kao, wamalize na rock city mall, then nenda houses za bwiru, nyasaka, mwanchi, isamilo, capripoint tumalize mpira kwa ushindi mnono.
Baada vihotel kuisha ..[emoji12][emoji12]huko kwenye mijumba si watakufa [emoji28][emoji28].ngoja niwape location Kali kwanza za kubreeze upepo wa ziwa [emoji116]
f3857ccd8bbd2f972059a5c436787809.jpg
7b40341cf7fb43ef3ec798e673bd07a2.jpg
 
Tunataka Leo tuweke somo Kwa vigwalanganza wa huko zizini wakome mazoea[emoji116]
JamiiForums1550792312.jpg
JamiiForums-2115654313.jpg
JamiiForums-2109360439.jpg
JamiiForums-1273340664.jpg
JamiiForums341492811.jpg
 
Back
Top Bottom