Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ushaanza kujitetea si umeomba barabara kama hiyo ya tengeru ..tumekupa sasa unataka nini ..
Sasa iyo ni barabara?Watu wa mwanza ni hamna hata aibu kumbe
 
Mbona vitu vya kawaida sana! Tatizo nyinyi watu wa arusha mnahisi hela unajua kutafuta nyinyi tu! Na kwa taarifa zenu akiingia mtaani Mwanza inanyumba Kali zaidi ya Arusha! Kila kwa upande wenu ya kujiona wajuaji mtakataa!
Onyesha zenu Acha mdomo mwingi
 
Acha kujifariji Mwanza hakuna kitu cha maana
Arusha kuna nini cha ajabu
Kwa mtu mwenye akili timamu kwa kuangalia tu picha zilizopostiwa kwenye huu uzi tayari atajua mji upi ni super na upi ni takataka.
Seriously Arusha ni ushuzi[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…