Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Leta evidence ya hiki unachokisema ..then syo factor...by the way Arusha haina hadhi ya jiji imebebwa tu ..Mwanza is overrated, mji gani ukifika saa tatu usiku umepoa kama shamba. Arusha is better in many ways than Mwanza.
[emoji116]
Kwa takwimu za mwaka 2012 Arusha Ina watu laki 4 ... vigezo vya kuwa jiji ni watu laki 5+