Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza is overrated, mji gani ukifika saa tatu usiku umepoa kama shamba. Arusha is better in many ways than Mwanza.
Leta evidence ya hiki unachokisema ..then syo factor...by the way Arusha haina hadhi ya jiji imebebwa tu ..
[emoji116]
Kwa takwimu za mwaka 2012 Arusha Ina watu laki 4 ... vigezo vya kuwa jiji ni watu laki 5+
PSX_20230103_195002.jpg
 
Alafu mwanza wanadhani watu wa arusha bado wanashangaa ngozi nyeupe. Wenzenu wanaona kawaida sana, sio kama nyie mzungu wa young killa akija mwanza, mnaacha shughuli zote kwenda kushangaa, nothing is happening in mwanza. By the way metro area ya arusha ni kuuubwa kuliko mwanza
Unajua hata maana ya metro au unaongea tu [emoji116]
PSX_20221230_220405.jpg
 
Unataka figure gani uko kwenye denial?
Sisi tumeshawaambia ukweli, kalilie chooni
No figure no right to speak....sie Huwa haturopoki ..naona battle la picha ulipigwa knock out...umebaki kuchungulia tu 😜😅
Huduma Bora za afya
The aghkan mwanza 👇
 
Attachments

  • 8fd8a26bab50c216aa9cc5d9cd007eef.png
    8fd8a26bab50c216aa9cc5d9cd007eef.png
    144.2 KB · Views: 11
  • 81735353bcdf0ab213c9e60960d07991.png
    81735353bcdf0ab213c9e60960d07991.png
    124.4 KB · Views: 13
Sikia hili zuzu eti Arusha hawana mapato ya biashara. Uchizi mwingine wa ukubwani huu. Arusha kumbuka haitegemei ofisi za serikali, wakazi wake asilimia kubwa ni wafanya biashara, utalii umehodhiwa na makampuni. We acha utahira wako. We uzeni samaki kwa wingi maana tukiacha kula samaki mwanza ita paralyse. Hakuna cha maana hapo.
Kwani mwanza Kuna ofisi za serikali we boya?. Ujue akili yako imejaa tope la ujinga. Headquarters za matasisi kibao si ziko Arusha, TANAPA HQ si Arusha, AICC n.k achilia mbali mambo kibao ambayo sijaweka hapa, mbona unafosi kuwa hamtegemei tasisi hizi. Tumia akili basi hata kidogo. Kichwa yako imenyolewa mpaka akili ikatupwa kwa dustbin
 
Watu wa Mwanza Arusha inawazidi mambo yote nyeti,Kodi,maisha bora,barabara,kiwango cha elimu, kila kitu ,kila kitu yani
We Naye Kuna unayemzidi elimu humu🤣🤣🤣🤣. Dogo umevuta kabla haujala Nini?
 
Kwani mwanza Kuna ofisi za serikali we boya?. Ujue akili yako imejaa tope la ujinga. Headquarters za matasisi kibao si ziko Arusha, TANAPA HQ si Arusha, AICC n.k achilia mbali mambo kibao ambayo sijaweka hapa, mbona unafosi kuwa hamtegemei tasisi hizi. Tumia akili basi hata kidogo. Kichwa yako imenyolewa mpaka akili ikatupwa kwa dustbin
Siongei tena na watu wasiokuwa wa mjini. Especially wa mwanza.
 
Watu wa Mwanza Arusha inawazidi mambo yote nyeti,Kodi,maisha bora,barabara,kiwango cha elimu, kila kitu ,kila kitu yani
Compare and contrast btn Mwanza and Arusha
ARUSHA👇
Screenshot_20230107-011624.png

MWANZA👇
Screenshot_20230107-011813.png
 
Idadi ya makazi na mpango miji
Kati ya arusha na Mwanza
arusha👇👇
Screenshot_20230107-011921.png

MWANZA👇👇
Screenshot_20230107-011836.png
 
Hakuna kitu kinauma kama unatokea mwanza, unajihisi we wa maana, mji wa maana alafu unakuja kuonekana kolo tu. Najua inawauma sana watu wa mwanza lakini majiji ni Arusha na Aar tu. mwanza ni mji mkubwa jinga.
 
Ila kwa nini sasa mnagombana sana wakati wote ni watanzania? Kuna watu wa Mwanza wanakaa Arusha wengi tu na watu wa Arusha wanakaa Mwanza wengi tu! Hampendani kwa nini? Au wengine hampendi waendelee mbali nyinyi tu wenye maendeleo?
Tubadilikdni sana saizi jamii zimechanganyika sana mimi nimekaa arusha miaka 12 na sasa niko Dar lakini mda mwingine naona hata hii Dar bado ni mbwinde tu changamoto kibao hakuna raha ya maisha ambayo itakufanya umuone mtu wa mkoani mjinga na mshamba!
Watu wapo Dar wanamaisha mabovu yasiyo na matumaini lakini kuna mtu Yuko Mwanza au Arusha hata Kahama huko na maisha mazuri na anasafiri kila kona ya dunia alifanya mishe zake!
Lakini utashangaa mtu wa Dar anajivunia uDar wake na kumuona wa mkoani mshamba!
Tupendane tu huwezi kujua utatoboa ukiwa wapi na uzuri wa watu wa Arusha na Mwanza ni wapambanaji si mchezo ndo maana ya Battle na ushindani si kwa chuki ,ukanda na ukabila!
 
Back
Top Bottom