Leta evidence ya hiki unachokisema ..then syo factor...by the way Arusha haina hadhi ya jiji imebebwa tu ..Mwanza is overrated, mji gani ukifika saa tatu usiku umepoa kama shamba. Arusha is better in many ways than Mwanza.
Unajua hata maana ya metro au unaongea tu [emoji116]Alafu mwanza wanadhani watu wa arusha bado wanashangaa ngozi nyeupe. Wenzenu wanaona kawaida sana, sio kama nyie mzungu wa young killa akija mwanza, mnaacha shughuli zote kwenda kushangaa, nothing is happening in mwanza. By the way metro area ya arusha ni kuuubwa kuliko mwanza
No figure.nonsenseWatu wa Mwanza Arusha inawazidi mambo yote nyeti,Kodi,maisha bora,barabara,kiwango cha elimu, kila kitu ,kila kitu yani
Unataka figure gani uko kwenye denial?No figure.nonsense
No figure no right to speak....sie Huwa haturopoki ..naona battle la picha ulipigwa knock out...umebaki kuchungulia tu 😜😅Unataka figure gani uko kwenye denial?
Sisi tumeshawaambia ukweli, kalilie chooni
Kwani mwanza Kuna ofisi za serikali we boya?. Ujue akili yako imejaa tope la ujinga. Headquarters za matasisi kibao si ziko Arusha, TANAPA HQ si Arusha, AICC n.k achilia mbali mambo kibao ambayo sijaweka hapa, mbona unafosi kuwa hamtegemei tasisi hizi. Tumia akili basi hata kidogo. Kichwa yako imenyolewa mpaka akili ikatupwa kwa dustbinSikia hili zuzu eti Arusha hawana mapato ya biashara. Uchizi mwingine wa ukubwani huu. Arusha kumbuka haitegemei ofisi za serikali, wakazi wake asilimia kubwa ni wafanya biashara, utalii umehodhiwa na makampuni. We acha utahira wako. We uzeni samaki kwa wingi maana tukiacha kula samaki mwanza ita paralyse. Hakuna cha maana hapo.
We Naye Kuna unayemzidi elimu humu🤣🤣🤣🤣. Dogo umevuta kabla haujala Nini?Watu wa Mwanza Arusha inawazidi mambo yote nyeti,Kodi,maisha bora,barabara,kiwango cha elimu, kila kitu ,kila kitu yani
Siongei tena na watu wasiokuwa wa mjini. Especially wa mwanza.Kwani mwanza Kuna ofisi za serikali we boya?. Ujue akili yako imejaa tope la ujinga. Headquarters za matasisi kibao si ziko Arusha, TANAPA HQ si Arusha, AICC n.k achilia mbali mambo kibao ambayo sijaweka hapa, mbona unafosi kuwa hamtegemei tasisi hizi. Tumia akili basi hata kidogo. Kichwa yako imenyolewa mpaka akili ikatupwa kwa dustbin
Hata Kwa mambo mengine isipokuwa..Mwanza is better than Arusha...
Kwa fursa mwanza inaongoza
At least we umeongea sasa ..hapo tunanyoosha mikono ...Mzizima na Mwanza jeView attachment 2471453
Huko mbali sana, mwanza ata arusha hawaiwezi🤣🤣🤣Mzizima na Mwanza jeView attachment 2471453
Compare and contrast btn Mwanza and ArushaWatu wa Mwanza Arusha inawazidi mambo yote nyeti,Kodi,maisha bora,barabara,kiwango cha elimu, kila kitu ,kila kitu yani
Ila kwa nini sasa mnagombana sana wakati wote ni watanzania? Kuna watu wa Mwanza wanakaa Arusha wengi tu na watu wa Arusha wanakaa Mwanza wengi tu! Hampendani kwa nini? Au wengine hampendi waendelee mbali nyinyi tu wenye maendeleo?Hakuna kitu kinauma kama unatokea mwanza, unajihisi we wa maana, mji wa maana alafu unakuja kuonekana kolo tu. Najua inawauma sana watu wa mwanza lakini majiji ni Arusha na Aar tu. mwanza ni mji mkubwa jinga.
[emoji12][emoji12]hamna kipya hapa