Naona mapori tu sioni nyumba ata moja hapaπππUzunguni
Kijenge
Makao mapya
Njiro ppf
Nk nk View attachment 2522114View attachment 2522116View attachment 2522115View attachment 2522117View attachment 2522118View attachment 2522119
Hii ya mwaka 2007 huko [emoji16][emoji16][emoji16]Kojoa ulale,Arusha is next level View attachment 2521822View attachment 2521821
Wapi palipochangamka, watu tunatafuta maisha hapa watu wametoka mikoani na kuja mwanza kutafuta ridhiki we unaleta udwanzi, pita kushoto mkajazane huko dar.Mwanza ni pazuri ila hapajachangamka saana,hakuna mishemishe,kwa utafutaji kama kijana kwa mwanza pamepoa,kule labda ukitafuta hela ukastaafie mwanza maana pametulia
Umelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishambaNimesha post unaita vichaka Sasa tunakusaidiaje? Tourist Huwa haiwezi jangwa na mawe
Ruvuma ipo super feoUmelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishamba
hauwezi mkuta mtu wa MWANZA anazarau mikoa mingine
Ila nyie kila siku kuishindanisha MWANZA na mikoa yenu ya kipuuzi
Njooo MWANZA ukutane na matajiri wa kisukuma wasiopenda kujionesha wametulia tu
Kijana wa miaka 21 kijijini kwao anang'ombe zaidi 100 mjini anakula maisha na hana maneno mengi[emoji1]
Vijana wanamitumbwi wanapiga hela za samaki na bado wametulia tu[emoji1]
Vijana wanamashimo huko migodini na bado wametulia hawana kelele[emoji1]
MWANZA fulsa ni nyingi sana watu tunapiga pesa kimya kimya
Ukiwa MWANZA hakuna bus za kwenda ruvuma na zanzibar[emoji1][emoji1] mikoa yote iliyobakia basi utazikuta nyegezi au nyamhongolo na zote zinaanzia MWANZA sijui unanielewa wewe bwiga
Bila kusahau mabus ya nairobi,bujumbura,kampala,lubumbashi na kigali[emoji3] sijui unanipata najaribu kukupa picha japo kwa uchache ukisikia MWANZA city ue na ABC
Bado tuna meli ya mizigo mv jumuiya inatembea nchi tatu Tanzania,kenya na uganda
Ukisikia mtu anakwambia watu wa Mwanza ni washamba basi huyo kihoro kinamsumbua MWANZA tuna mall kubwa ya kisasa Tanzania nzima[emoji3]
Tuna madaraja makubwa ya watembea kwa miguu kama furahisha na mabatini[emoji3]
Tuna tuna mabarabara mengi mazuri hadi njia nne hadi sita... njia sita zinaanzia furahisha hadi ghana[emoji3]... njia sita zinaanzia town hadi airport
Njia tatu zinaanzia nata hadi kijereshi.. voil hadi bohari
Tuna fukwe nzuri na kubwa tena bure kabisa[emoji3]
Tunastand kubwa mbili za kisasa kabisa[emoji3]
Tunamaghorofa mengi sana [emoji3]
Tunahispatili kubwa yenye gorofa 11[emoji3]
Kwenye bata ndio usiseme[emoji3]
Bado kunambuzi itasema MWANZA kuna washamba ni kipi MWANAMWANZA ataenda kushangaa mikoa mingine ambacho kwao hakipo[emoji3][emoji3]
mtu wa arusha akija mwanza atashangaa fukwe kubwa,meli kubw kubwa, atashangaa milima mchana na usiku atashangaa tena kuona milima inawaka mataaa[emoji16] kama valley light italy[emoji95]... atashangaa madaraja makubwa na mazuri
Mwisho kabisa atangaa SANGARA na SATO freeeeeesh [emoji95][emoji95] ashibe akasimulie kwao [emoji16]
Narudi tena kwa picha... leo nipo kukutoa ujinga[emoji378]
Insha ndefu tunataka picha kijana maneno meengi yannUmelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishamba

Tuusan acha zako we picha zetu za porini arusha zipo wapi?Insha ndefu tunataka picha kijana maneno meengi yann
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We si upo dar na ARusha ni mwenyeji...msaidie mwenzio wa njombe ,picha za njiro, uzunguni,Sakina ,na muriet..maana ndio mitaa yenu mizuri [emoji28][emoji28][emoji28].... kwingine ni migomba tuInsha ndefu tunataka picha kijana maneno meengi yann
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji23]unafurahisha mkuu, ujue kuna watu wanasema et mwanza kuna washamba, haya muulize yeye anatokea mkoa gani na nini cha maana ambacho mtu wa mwanza anaweza kwenda huko kukishangaaWadau wa Mwanza kiukweli naumia sana tunapolinganishwa na miji ya ajabu mara arusha, dodoma, mbeya na sasa tunalinganishwa na bunda, hii kitu sio njema kabisa ata kama mnachuki na Mwanza si kihivyo, mkubwa apewe heshima yake.
Mwanza tunamheshimu Dar japo tunafukuza mwizi kimya kimya lkn tunakubali wametuzidi.
Ligi ya Mwanza inapaswa hiwe na kigali, Mombasa na kampala basi.
Mabasi Ya Ruvuma Yapo Super Feo Mwanza Songea Kwa SasaUmelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishamba
hauwezi mkuta mtu wa MWANZA anazarau mikoa mingine
Ila nyie kila siku kuishindanisha MWANZA na mikoa yenu ya kipuuzi
Njooo MWANZA ukutane na matajiri wa kisukuma wasiopenda kujionesha wametulia tu
Kijana wa miaka 21 kijijini kwao anang'ombe zaidi 100 mjini anakula maisha na hana maneno mengi[emoji1]
Vijana wanamitumbwi wanapiga hela za samaki na bado wametulia tu[emoji1]
Vijana wanamashimo huko migodini na bado wametulia hawana kelele[emoji1]
MWANZA fulsa ni nyingi sana watu tunapiga pesa kimya kimya
Ukiwa MWANZA hakuna bus za kwenda ruvuma na zanzibar[emoji1][emoji1] mikoa yote iliyobakia basi utazikuta nyegezi au nyamhongolo na zote zinaanzia MWANZA sijui unanielewa wewe bwiga
Bila kusahau mabus ya nairobi,bujumbura,kampala,lubumbashi na kigali[emoji3] sijui unanipata najaribu kukupa picha japo kwa uchache ukisikia MWANZA city ue na ABC
Bado tuna meli ya mizigo mv jumuiya inatembea nchi tatu Tanzania,kenya na uganda
Ukisikia mtu anakwambia watu wa Mwanza ni washamba basi huyo kihoro kinamsumbua MWANZA tuna mall kubwa ya kisasa Tanzania nzima[emoji3]
Tuna madaraja makubwa ya watembea kwa miguu kama furahisha na mabatini[emoji3]
Tuna tuna mabarabara mengi mazuri hadi njia nne hadi sita... njia sita zinaanzia furahisha hadi ghana[emoji3]... njia sita zinaanzia town hadi airport
Njia tatu zinaanzia nata hadi kijereshi.. voil hadi bohari
Tuna fukwe nzuri na kubwa tena bure kabisa[emoji3]
Tunastand kubwa mbili za kisasa kabisa[emoji3]
Tunamaghorofa mengi sana [emoji3]
Tunahispatili kubwa yenye gorofa 11[emoji3]
Kwenye bata ndio usiseme[emoji3]
Bado kunambuzi itasema MWANZA kuna washamba ni kipi MWANAMWANZA ataenda kushangaa mikoa mingine ambacho kwao hakipo[emoji3][emoji3]
mtu wa arusha akija mwanza atashangaa fukwe kubwa,meli kubw kubwa, atashangaa milima mchana na usiku atashangaa tena kuona milima inawaka mataaa[emoji16] kama valley light italy[emoji95]... atashangaa madaraja makubwa na mazuri
Mwisho kabisa atangaa SANGARA na SATO freeeeeesh [emoji95][emoji95] ashibe akasimulie kwao [emoji16]
Narudi tena kwa picha... leo nipo kukutoa ujinga[emoji378]
Asante kwa update
Nakubali bossMabasi Ya Ruvuma Yapo Super Feo Mwanza Songea Kwa Sasa
Mtwara Tu Ndio Hamna
ChugaWadau wa Mwanza kiukweli naumia sana tunapolinganishwa na miji ya ajabu mara arusha, dodoma, mbeya na sasa tunalinganishwa na bunda, hii kitu sio njema kabisa ata kama mnachuki na Mwanza si kihivyo, mkubwa apewe heshima yake.
Mwanza tunamheshimu Dar japo tunafukuza mwizi kimya kimya lkn tunakubali wametuzidi.
Ligi ya Mwanza inapaswa hiwe na kigali, Mombasa na kampala basi.
Wewe umeleta pocha gani[emoji16] arusha mtia aibu kwa kweli[emoji16][emoji16]Insha ndefu tunataka picha kijana maneno meengi yann
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] hiki ni nini sassChugaView attachment 2522745View attachment 2522747View attachment 2522748
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wasukuma washamba.... wanakotoka Wasukuma sasa [emoji16][emoji16]ChugaView attachment 2522745View attachment 2522747View attachment 2522748
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Leta picha mdomo mwingi sana mnabore[emoji16][emoji16][emoji16] hiki ni nini sass
tuletee vitu ambavyo wanamwanza tukija uko tutashangaa tuonekane washamba
Vipi jiji lenu la kitalii madaraja kama haya mnayo mengi tu[emoji16]
Hiyo picha hapo juu itaanza kulia sasa sio kwa kupostiwa kila wakati.ChugaView attachment 2522745View attachment 2522747View attachment 2522748