Nimesha post unaita vichaka Sasa tunakusaidiaje? Tourist Huwa haiwezi jangwa na mawe
Umelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishamba
hauwezi mkuta mtu wa MWANZA anazarau mikoa mingine
Ila nyie kila siku kuishindanisha MWANZA na mikoa yenu ya kipuuzi
Njooo MWANZA ukutane na matajiri wa kisukuma wasiopenda kujionesha wametulia tu
Kijana wa miaka 21 kijijini kwao anang'ombe zaidi 100 mjini anakula maisha na hana maneno mengi[emoji1]
Vijana wanamitumbwi wanapiga hela za samaki na bado wametulia tu[emoji1]
Vijana wanamashimo huko migodini na bado wametulia hawana kelele[emoji1]
MWANZA fulsa ni nyingi sana watu tunapiga pesa kimya kimya
Ukiwa MWANZA hakuna bus za kwenda ruvuma na zanzibar[emoji1][emoji1] mikoa yote iliyobakia basi utazikuta nyegezi au nyamhongolo na zote zinaanzia MWANZA sijui unanielewa wewe bwiga
Bila kusahau mabus ya nairobi,bujumbura,kampala,lubumbashi na kigali[emoji3] sijui unanipata najaribu kukupa picha japo kwa uchache ukisikia MWANZA city ue na ABC
Bado tuna meli ya mizigo mv jumuiya inatembea nchi tatu Tanzania,kenya na uganda
Ukisikia mtu anakwambia watu wa Mwanza ni washamba basi huyo kihoro kinamsumbua MWANZA tuna mall kubwa ya kisasa Tanzania nzima[emoji3]
Tuna madaraja makubwa ya watembea kwa miguu kama furahisha na mabatini[emoji3]
Tuna tuna mabarabara mengi mazuri hadi njia nne hadi sita... njia sita zinaanzia furahisha hadi ghana[emoji3]... njia sita zinaanzia town hadi airport
Njia tatu zinaanzia nata hadi kijereshi.. voil hadi bohari
Tuna fukwe nzuri na kubwa tena bure kabisa[emoji3]
Tunastand kubwa mbili za kisasa kabisa[emoji3]
Tunamaghorofa mengi sana [emoji3]
Tunahispatili kubwa yenye gorofa 11[emoji3]
Kwenye bata ndio usiseme[emoji3]
Bado kunambuzi itasema MWANZA kuna washamba ni kipi MWANAMWANZA ataenda kushangaa mikoa mingine ambacho kwao hakipo[emoji3][emoji3]
mtu wa arusha akija mwanza atashangaa fukwe kubwa,meli kubw kubwa, atashangaa milima mchana na usiku atashangaa tena kuona milima inawaka mataaa[emoji16] kama valley light italy[emoji95]... atashangaa madaraja makubwa na mazuri
Mwisho kabisa atangaa SANGARA na SATO freeeeeesh [emoji95][emoji95] ashibe akasimulie kwao [emoji16]
Narudi tena kwa picha... leo nipo kukutoa ujinga[emoji378]