Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ngoja nikwambie mimi kwetu sio kwanza wala Arusha ila kote nimefika kwanza kupo mbele kila kitu ila wakazi wake hawana sifa sifa na wako bussy na mambo yao kuna machali wana pesa mbaya za kisukuma ila hata social media huwaoni

Ila hao waliooza meno na kuvaa manguo ya mitumb sifa kibao ubinafsi yaani chuga haikunivutia unapishana na watu town wananuka pombe mabangi manguo machafu harufu za viatu mademu ovyo
mwanza mnasumbuliwa na laana ya kuua vikongwe na albino ili mpate utajiri maskini😢
what a primitive society
 
hata mimi sitaki kuamini Arusha kuishinda mwanza haiwezekani kwakwel
iishinde kwa kipi sasa
mwanza mnashindwa na Arusha kwa majengo mnashindwa kwa wingi wa magari mnashindwa kwa barabara za kisasa mnashindwa kwa hoteli na ofisi za kimataifa mnataka mzidiweje tena
mwanza mnachoishinda Arusha ni umaskini, kuzaliana bila mpangilio na vile vijumba vyenu kama vibiriti kule mliman🤣🤣🤣
 
Tindiga na hadzabe wale sio binadamu kabisa wala watanzania angalia makabila ya arusha 70% uncivilized bado kuna Wamasai😅😅😅🤣wale wa wazungu tu wanawaweka sawa na kupakana na watu wa Twanga wanaojielewa kidogo na ustaarabu wa kiarabu
mwanza mnasumbuliwa na laana ya kuua vikongwe na albino ili mpate utajiri maskini😢
what a primitive socie
 
iishinde kwa kipi sasa
mwanza mnashindwa na Arusha kwa majengo mnashindwa kwa wingi wa magari mnashindwa kwa barabara za kisasa mnashindwa kwa hoteli na ofisi za kimataifa mnataka mzidiweje tena
mwanza mnachoishinda Arusha ni umaskini, kuzaliana bila mpangilio na vile vijumba vyenu kama vibiriti kule mliman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nimeweka picha umu jukwaan za mandhari ya jiji la mwamza sasa utasema yale majengo ni ya kozamam?
 
Mimi dar too the core, Mwanza hawana hadhi ata ya kujifananisha na Arusha to be honest. Mwanza ni shambani sana, watu wa mwanza kwanza ni washamba wa vitu vingi sana, watuliage tu.
 
Tindiga na hadzabe wale sio binadamu kabisa wala watanzania angalia makabila ya arusha 70% uncivilized bado kuna Wamasai😅😅😅🤣wale wa wazungu tu wanawaweka sawa na kupakana na watu wa Twanga wanaojielewa kidogo na ustaarabu wa kiarabu
Mmasai anaheshimika na kutambulika ulimwenguni kuliko msukuma.
 
Wewe ndio unajipa moyo huna facts za kuthibitisha umekalia kuamini [emoji16][emoji16]
ukitaka fact ingia youtube andika mandhari ya jiji la mwanza kisha angalia video nzima ya The rock city, ukimaliza kuangalia andika tena mandhari ya jiji la Arusha angalia pia video nzima ya mandhari ya jiji la Arusha kisha uje na mrejesho hapa jukwaan. ila The rock city usiipimie ndugu yangu yaan ni hatar...kwa mimi iyo ndio fact yangu ya kwanza na fact ya pili naiona mwanza phyisically na appriciate kabisa kwamba Arusha haiigusi mwanza! halafu istoshe mwanza ilishatangulia kuwa jiji zaid ya miaka 6 mbele kwa Arusha kwaiyo Arusha bado kidogo kwakweli sema tu nilichogundua majibu ya baachi ya wachangiaji yamegubikwa na hisia za mapenzi, wakisikia jina hilo chuga basi wanaona kama vile ni texas kumbe kawaida tu, wapo baadhi ya watu wanatishwaga na majina tu ya mkoa lakin ukifika mkoa wenyewe ukauona hata huamin kama ndio upo hivyo......mfano kuna watu morogoro wanaiogopa lakin fika sasa morogoro mjini uangalie moro yenyewe ilivyo yaan hakuna hata jengo moja la kuvutia. kwaiyo ukweli tuseme jaman mwanza ni zaid ya Arusha. Mwanza wanalima, wanafuga, wanavua, wanaviwanda, wanachimba madini, wanafanya shughuli za usafirishaji majin, angani na nchi kavu, kitiivo cha biashara kati yao na nchi jiran na nk na ndio jiji la pili linalochangia kwenye pato la taifa ukiachilia dar. video za ushahid wa yote niliyoyazungumzia ninazo sema nashindwa ku ipload sababu file ni kubwa sana kuliko uwezo wa simu yangu
 
mwanza kuna majengo marefu mengi sana tu.....katikati ya mji hakuna nyumba ya chini hata moja ni viberiti vitupu, zipo plaza za kutosha, miundombinu ya barabara mizuri, zipo barabara nyingine ukipita ni 4 ways, vipleft ndio usisema maana vipleft ndio miundo mbinu yenyewe na barabara kwaiyo kuna barabara nzur na za kuvutia lwakwel, mahotel makali, viwanja vya bata vikali, vyuo vikuu , watoto wa kali kwa ujumla bhana Mwanza ni kali zipo beach za kutosha, some tymz ukihitaji piga bata za kwenye usafir wa maji ndio usiseme...Arusha bhana ikasome kwa Mwanza
 
ukwli kabisa
 
ukwli kabisa
sijajuaga hawa jamaa wanaongelea mwanza ya miaka gan? maana wasije wakawa wamefika mwanza miaka 20 iliyopita wakaenda kuishi Arusha juz wakataka kuifananisha mwanza ya miaka 20 iliyopita na Arusha ya leo hapana unatakiwa ujue maendeleo ya mikoa yote kwa wakati wa sasa
 
ukitaka fact ingia youtube andika mandhari ya jiji la mwanza kisha angalia video nzima ya The rock city, ukimaliza kuangalia andika tena mandhari ya jiji la Arusha angalia pia video nzima ya mandhari ya jiji la Arusha kisha uje na mrejesho hapa jukwaan. ila The rock city usiipimie ndugu yangu yaan ni hatar...kwa mimi iyo ndio fact yangu ya kwanza na fact ya pili naiona mwanza phyisically na appriciate kabisa kwamba Arusha haiigusi mwanza! halafu istoshe mwanza ilishatangulia kuwa jiji zaid ya miaka 6 mbele kwa Arusha kwaiyo Arusha bado kidogo kwakweli sema tu nilichogundua majibu ya baachi ya wachangiaji yamegubikwa na hisia za mapenzi, wakisikia jina hilo chuga basi wanaona kama vile ni texas kumbe kawaida tu, wapo baadhi ya watu wanatishwaga na majina tu ya mkoa lakin ukifika mkoa wenyewe ukauona hata huamin kama ndio upo hivyo......mfano kuna watu morogoro wanaiogopa lakin fika sasa morogoro mjini uangalie moro yenyewe ilivyo yaan hakuna hata jengo moja la kuvutia. kwaiyo ukweli tuseme jaman mwanza ni zaid ya Arusha. Mwanza wanalima, wanafuga, wanavua, wanaviwanda, wanachimba madini, wanafanya shughuli za usafirishaji majin, angani na nchi kavu, kitiivo cha biashara kati yao na nchi jiran na nk na ndio jiji la pili linalochangia kwenye pato la taifa ukiachilia dar. video za ushahid wa yote niliyoyazungumzia ninazo sema nashindwa ku ipload sababu file ni kubwa sana kuliko uwezo wa simu yangu
Wewe huwezi kuingia? Nomeshaingia kwa facts za Arusha,leta na wewe utopolo wako wa Mwanza.
 
kaka! mimi nina fact na sio utopolo....sema shida sim ninayotumia storage yake ni 32gb na ram ya 3 nimejaribu sana ku upload ile video hapa ili muone The Rock city ilivyo lakini kwa bahati mbaya file limeonekana kuwa kubwa kuliko uwezo wa simu yangu....ila mngeona moto wa mwanza halafu ndio ungewaambia na wachangiaji wengine! mfano mtu aliyefika dar miaka 10 iliyopita halafu akawa haifuatiii kabisa dar leo hii ukimwambia dar kuna mabas ya mwendo kasi atabisha, ukimwambia dar kuna fly over atakataa, ukimwambia morogoro road kuna 8ways atakataa na mambo mengine mengi kuhusu dar atabisha sababu yeye aliacha dar ya kuingia mjin na vipanya nk kwaiyo hao wanaosema Arusha inaizid mwanza huenda waliondoka mwanza kabla hata bado haijatangazwa kuwa jiji lakin mwanza hii ya sasa ninayoiona mimi kwakwel Arusha inasubir
 
Back
Top Bottom