sasa hapo kidogo umeongea pointkupata jibu sahihi la kuishindanisha miji hii sio kitu rahis na sidhan kama mshindi atapatikana maana mpaka hivi sasa hakuna aliyeweza kuibuka na ushindi na mimi nilitegemea members wa jamiiforum ndio wangeweza kuamua
kila mji una uzuri wake na ubovu wake
ila haizuii ukweli kuwa kwa private sector investments Arusha iko mbali sana hata ilo jengo la hoteli apo ni la serikali hata rockcity mall pia mjengewe na serikali 🤣 ila truth be said mwanza mji flani local sana vile tu mkienda dar hamkutani na mji wowote wa maana hapo katikati kama Arusha ndio maana maneno mengi.
**Mkuu nlikuuliza kuhusu majengo marefu mwanza yenye zaidi hata ya ghorofa 10 kumi tu manake Arusha yako zaidi ya 20 hii imekaaje kiuwekezaji???