MANDHARI sio mandhali. Arusha hawawezi kukosea hivyo.duh ....! ebu jaribu kuingia youtube andika mandhali ya jiji la mwanza uone moto wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MANDHARI sio mandhali. Arusha hawawezi kukosea hivyo.duh ....! ebu jaribu kuingia youtube andika mandhali ya jiji la mwanza uone moto wake
Kwa namna tu usemayo unaonyesha ni mtoto mtoto..sina sababu ya kujichoshaMwanza amna kitu kule hebu tuambie kitu gani unique kilichopo kule ukianzia majengo marefu hoteli kali na kumbi kubwa za starehe, Mwanza ni mji uliojaa washamba tu
Onyesha vitu kama hivi hapo Mwanza kubwa la maskini.
Arusha [emoji116]
View attachment 2056403
View attachment 2056404
View attachment 2056405
View attachment 2056406
View attachment 2056407
Alaa kwa hiyo wewe tuu ndio umefanya Kazi hapo Arusha? Hayo maendeleo makubwa yako wapi?Ila Babu we ni wakuja sana . Unatuma ma graphic humu kama reasoning yako.
Nimefanya kazi Arusha zaidi ya miaka 7 , Nimefanya kazi Mwanza for 4 years . Huna cha kuniambia kwenye hii miji, Jina la Arusha limekuwa kwa Sababu moja tu ; UTALII.
Ukitoa Utalii Arusha ni Empty . Wewe unatuma Graphics , Mimi Arusha nimeikaa physically miaka nenda Rudi .
Mwanza ni mji mkubwa na unamaendeleo makubwa kulinganisha na Arusha, Mwanza kuna Investiment nyingi ambazo Arusha haziwezi kuwepo .
Mimi nawashanga sana nyie kulinganisha Mwanza na Arusha , unaanzaje kwa mfano .
Kama kweli Umeishi Mwanza Physically , Ukaishi Arusha physically , kamwe huwezi linganisha hii miji.
Kwa mfano hata Arusha tu , ni Biashara gani ya maana unaweza fanya zaidi ya pombe na bar ? Labda na Bangi inaweza kukulipa.
Size na Maendeleo ya Arusha ni DODOMA na Mbeya. Mwekezaji yoyote wa maana ukimpa opportunity ya uwekezaji kati ya Arusha na Mwanza , ataenda Mwanza .
And I am sure hujawahi kufika Mwanza , na kama umefika Mwanza basi uliishia KITUONI .
Mbali wapi?Mwanza tunawazidi Arusha mbali tena usitulinganishe na hao machalii
eti uyu ndio mtoa mada alafu yeye mwenyewe mshabiki😃😃sikweli.....Mwanza ndio mji wa pili kitakwimu kwenye pato la taifa....tena inatofautiana 2% na jiji la Dar ..... ki ukweli kabisa Arusha itasubir sana kwa The Rock City
😂😂MANDHARI sio mandhali. Arusha hawawezi kukosea hivyo.
washamba sana hawa jamaa wanakuambia Arusha ni utalii tu hawajui ni makao makuu ya eac na tanapaAlaa kwa hiyo wewe tuu ndio umefanya Kazi hapo Arusha? Hayo maendeleo makubwa yako wapi?
Kupiga domo mko vizuri sana ila sasa ukiambiwa onyesha hayo maendeleo unapotea..
Hiyo Arusha ni zaidi ya Utalii,kuna viwanda hadi vya kutengeneza transformers,kitovu cha mbegu na utafiti wa teknolojia za kisasa za kilimo,taasisi za elimu nk.
Ukikuta vitu kama hivi hapa huko Mwanza ni tag
View attachment 2057005
View attachment 2057006
View attachment 2057007
View attachment 2057008
View attachment 2057009
View attachment 2057010
View attachment 2057011
View attachment 2057012
View attachment 2057013
View attachment 2057014
View attachment 2057016
View attachment 2057017
View attachment 2057018
View attachment 2057019
View attachment 2057020
View attachment 2057021
View attachment 2057022
View attachment 2057023
Tafuta wajinga wa uchagni ndo uwadanganye ivyo makao makuu ya EAC husika na nnbona Dodoma ni ya nchi ila ni ovyo kifupi ni kamji ambacho wenyeji wanadanganywa wanajua kumbe hamna kitu stendi tu hamna mna airport ya kuizidi ya mwanzawashamba sana hawa jamaa wanakuambia Arusha ni utalii tu hawajui ni makao makuu ya eac na tanapa
vyuo vya kimataifa kama Nelson Mandela na esami
Arusha kuna viwanda hadi vya kuassemble magari wao wamekalia tu uko ziwani na umaskini wao kutwa kujilinganisha na Arusha😢
Nimecheka kumbe mtoa mada ni mtu wa mwanza anaitwa cleokippo kumbe kafungua thread ili ajifariji maskini😂😂
alafu na uzwazwa wake badala asikilize hoja anajibu kwa ushabiki tena wa ziwani fool😎
Tukana kwani tunawaogopa nn😅😅😅 wabaya mitumba oversize kuna tusi jipya mwanza hamuipati ng'o hata muunganishe na Kilimanjarondio mawazo ya watu mnaokunya ziwani hamnaga fact ni matusi tu unazani sisi hatuwezi tukana. kenge wewe😎
Akili huna kagoogle za mwanza ebu angalia ile malaika tu pale mwanza 😂😂😂we kichaa kuna nn cha maana unarudia majengo yale yaleAlaa kwa hiyo wewe tuu ndio umefanya Kazi hapo Arusha? Hayo maendeleo makubwa yako wapi?
Kupiga domo mko vizuri sana ila sasa ukiambiwa onyesha hayo maendeleo unapotea..
Hiyo Arusha ni zaidi ya Utalii,kuna viwanda hadi vya kutengeneza transformers,kitovu cha mbegu na utafiti wa teknolojia za kisasa za kilimo,taasisi za elimu nk.
Ukikuta vitu kama hivi hapa huko Mwanza ni tag
View attachment 2057005
View attachment 2057006
View attachment 2057007
View attachment 2057008
View attachment 2057009
View attachment 2057010
View attachment 2057011
View attachment 2057012
View attachment 2057013
View attachment 2057014
View attachment 2057016
View attachment 2057017
View attachment 2057018
View attachment 2057019
View attachment 2057020
View attachment 2057021
View attachment 2057022
View attachment 2057023
Unaumwa wewe hao wavuta bangi walivypigwa na corona 🤣🤣🤣Makusanyo tra Ar 250b wakati Mwanza ni 130b angalia tovuti tra
Ukavae mitumb na matakataka ya kuvaliana nguo oversize njaa kaliMwanza ni mji wa kishamba sana, hakuna ata vitu vya maana ndio maan co-orporate companies wanaanzia Dar na Arusha. Never Mwanza, ushamba ushamba tu umejaa. Watu wa Mwanza wenyewe wakishatoka huwa hawana hamu tena na mji wao. Kwa sisi tunaoyafahamu hayo majiji, Arusha ni way more developed advanced, size sio issue. HAKUNA KIJANA WA KISASA ANATAKA KWENDA MWANZA!! Jiulize. Hakuna maajabu.
captain mimi siongei kishabiki na wala sio mtu wa mwanza, mi kwetu mbeya na naishi mbeya....sema mwanza imeitangulia Arusha kwa miaka isiyopungua mitano kutangazwa kuwa jiji. mwanza imetangazwa kuwa jiji 2000 wakati Arusha 2006 kimsingi ilishaipiga gape miaka mingi tu, pia mwanza nimeiona haina tofauti kubwa sana na Dar ki ukwel kabisa mwanza ni mjin tukiachilia mbali ushabiki....vyuo hata mwanza vipo, miundo mbinu ya barabara, majengo marefu, huduma za usafir majin na nchi kavu nk ....mwanza mjin sanawashamba sana hawa jamaa wanakuambia Arusha ni utalii tu hawajui ni makao makuu ya eac na tanapa
vyuo vya kimataifa kama Nelson Mandela na esami
Arusha kuna viwanda hadi vya kuassemble magari wao wamekalia tu uko ziwani na umaskini wao kutwa kujilinganisha na Arusha[emoji22]
Nimecheka kumbe mtoa mada ni mtu wa mwanza anaitwa cleokippo kumbe kafungua thread ili ajifariji maskini[emoji23][emoji23]
alafu na uzwazwa wake badala asikilize hoja anajibu kwa ushabiki tena wa ziwani fool[emoji41]
We kweli pimbi,hivi hiyo fishing city inaweza kulingana na Arusha kweli?Akili huna kagoogle za mwanza ebu angalia ile malaika tu pale mwanza 😂😂😂we kichaa kuna nn cha maana unarudia majengo yale yale
Kule kumejaa maskini na uswazi hawana cha kuonyesha.washamba sana hawa jamaa wanakuambia Arusha ni utalii tu hawajui ni makao makuu ya eac na tanapa
vyuo vya kimataifa kama Nelson Mandela na esami
Arusha kuna viwanda hadi vya kuassemble magari wao wamekalia tu uko ziwani na umaskini wao kutwa kujilinganisha na Arusha😢
Nimecheka kumbe mtoa mada ni mtu wa mwanza anaitwa cleokippo kumbe kafungua thread ili ajifariji maskini😂😂
alafu na uzwazwa wake badala asikilize hoja anajibu kwa ushabiki tena wa ziwani fool😎