Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Halafu ujiulize watu waliopendelewa toka uhuru wanatolewa na jasho na waliopendelewa miaka 5, huu si uzembe wa hali ya juuHasa huyo msuya ndio alikuwa fala sana alipeleka umeme adi kwenye migomba, barabara adi kwenye vichochoro, huyo msuya alikuwa mbaguzi sana, pili mkapa alipeleka maendeleo sana huko kaskazini kuliko sehemu yoyote kwa nguvu ya mke wake kwasababu alikuwa mchaga, walikuwa wamezoea maendeleo ya mbeleko akaja jemedari akasema kila sehemu inastahili kupata maendeleo ikawa tabu kwao na kuanza kumchukia magufuli, uzuri Rais Samia amesha wajua hao watu naye amewakatia mirija ya mbeleko.
Hata buzuruga stand ni nzuriWewe hybrid ya nguruwe punguza mshona...
Battle limewashinda mmeanza matusi
Hii stand ya arusha vyoo vipo upande gani?[emoji16]View attachment 2523390
wanajifanya wajuaji sana.Hapo pa waoza meno [emoji3][emoji3]
Mjuba amewachanganya? 🤣 🤣 🤣 Mwanza panaweza kufika hivyo? Na icho ni kijipande, watu wa arusha hawana muda tu na upuuzi wakiamua mwanza mtajua hamjuiVipi umeacha kupost picha za Mwanza na unasema ni za Chuga?
Kila mtu nani? Obama labda? Bill Clinton, Bill Gates? Jeff Bezos? Kina Abramovic nk. Hawa na wengine kibao wanapasuaga mitaa ya atown na watu wamezoea.Mnajichosha tu kubishana na hawa wavuta bangi.. Kila mtu anaelewa hapa nchin majiji ni mawil tu Dar na Mwanza
Hapo ndo basi unajikuta yaani lofa wewe...Hakuna mtu yeyote kutoka mwanza anaweza kunieleza kitu,SI unit, yani kipimo cha washamba. Nyie fanyenu battle na singida, kahama huko. Miji ya kimataifa achaneni nayo. Eti mwanza kwanza ni aibu ata kutaja ujanja na mwanza na ujanja kwenye sentensi moja. Hakuna battle tusisumbane, nipo arusha pyramids kama unapajua malofa nyie mashamba hamtuwezi kwa lolote. Yani kwa lolote.
Acha uboya wewe unapokuwa unaambiwa thibitisha basi tuma picha au data siyo maneno maneno. Hiki siyo kijiwe Cha pombe na bangi hapa tunatembea na facts. Vinginevyo battle Haina maana na mlianzisha wenyewe siyo sisi. Mnaanza kutia huruma mbona kipindi hatuwajibu mlikuwa na mnajitanua hapa.Ungejua tunawadharau tunawaona hamna akili, eti moyoni. Shamba city bana. Watu wamewapuuza tu. Maana mnaonekana malimbukeni na vipicha picha 🤣🤣
Ungejua tunawadharau tunawaona hamna akili, eti moyoni. Shamba city bana. Watu wamewapuuza tu. Maana mnaonekana malimbukeni na vipicha picha 🤣🤣
Huu ndo ulimbukeni sasa, ongelea vitu vyenye ushawishi. Kwamba Mwanza Haina watoto wa Arusha wasitaka kurudi kwao?. Kila baa utawakuta halafu bishana kwa akili hatuendi hivyoAfu Arusha kuna watoto wa mwanza kibao hawataki kurudi tena shamba city. Hakuna swaga jiji kijiji.
Elimu ndogo, hawajui tofauti ya florosis na dental caries. Na kwa taarifa yako hayo meno ni magumu sana, na pia misukuma kibao ina meno yenye rangi kama hao watu wa Arusha.
Ndo tunachokitaka, falla sunk kawacost sanaIvi nyie washamba wa mwanza bado munaleta ujiaji tu?
Tuanze kudondosha mapicha apa mukimbiye?
Ni kweli, mtu mwenye hayo meno akikupiga bite nenda kachanje mbali na hapo ni RIPElimu ndogo, hawajui tofauti ya florosis na dental caries. Na kwa taarifa yako hayo meno ni magumu sana, na pia misukuma kibao ina meno yenye rangi kama hao watu wa Arusha.
Kwani maneno yako ndo uzuri wa Arusha kuwa mwelewa basiYani picha eti ndio kigezo cha jiji kuwa zuri. Shamba city wanafeli sana
Bar maid wengi wa Tabora wanatokea ChuggaHuu ndo ulimbukeni sasa, ongelea vitu vyenye ushawishi. Kwamba Mwanza Haina watoto wa Arusha wasitaka kurudi kwao?. Kila baa utawakuta halafu bishana kwa akili hatuendi hivyo
We mpuuzi na hio infinix uliyohongwa na shemeji yako[emoji3][emoji3]Hakuna mtu yeyote kutoka mwanza anaweza kunieleza kitu,SI unit, yani kipimo cha washamba. Nyie fanyenu battle na singida, kahama huko. Miji ya kimataifa achaneni nayo. Eti mwanza kwanza ni aibu ata kutaja ujanja na mwanza na ujanja kwenye sentensi moja. Hakuna battle tusisumbane, nipo arusha pyramids kama unapajua malofa nyie mashamba hamtuwezi kwa lolote. Yani kwa lolote.
Hayo meno ya rangi sio kuoza. Pia shinyanga na mwanza kuna wasukuma kibao nao wanarangi kwenye menoNi kweli, mtu mwenye hayo meno akikupiga bite nenda kachanje mbali na hapo ni RIP
Maghorofa mwanza ni issue. Ndio wameanza kuyaona juzijuzi tu. Unategemea nini? Niliwapa list ya maghorofa marefu Tanzania, Mwanza hakuna ata moja. Mwanza ni malimbukeni ndio maana wanajishindanisha na Arusha, huwezi kuta watu wa ARUSHA wanahangaika kujilinganisha na mwanza, hawapo insecure.Mkuu ukiona mada inakuboa kwakuwa watu wameng'ang'ania Magorofa tu unaachana nayo na hutoona ukijibiwa
Ndio nataka pichaIzi takataka mbona zimejaa nyingi huku chugastan asee au unataka picha [emoji3][emoji3][emoji1787]
Na wengi huwa ata hawaijui Arusha , kwa kuwa wanajua hamna exposure mnachanganya lafudhi, wanawachomekea mnaingia mkenge, we mtoto wa makao mapya eti akawe bar maid tabora au mwanza, mtajua hamjui, uko wanakuja wambulu wa hanang na wanyaturu kula ela za washamba.Bar maid wengi wa Tabora wanatokea Chugga
Hadi aibu, eti nataka picha. dah kweli watu wa mwanza ni hopeless, kwahiyo mnakaaga na ushamba wenu kupiga picha vijighorofa uchwara vyenu hapo? loosers.Ndio nataka picha