Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Halafu ujiulize watu waliopendelewa toka uhuru wanatolewa na jasho na waliopendelewa miaka 5, huu si uzembe wa hali ya juuHasa huyo msuya ndio alikuwa fala sana alipeleka umeme adi kwenye migomba, barabara adi kwenye vichochoro, huyo msuya alikuwa mbaguzi sana, pili mkapa alipeleka maendeleo sana huko kaskazini kuliko sehemu yoyote kwa nguvu ya mke wake kwasababu alikuwa mchaga, walikuwa wamezoea maendeleo ya mbeleko akaja jemedari akasema kila sehemu inastahili kupata maendeleo ikawa tabu kwao na kuanza kumchukia magufuli, uzuri Rais Samia amesha wajua hao watu naye amewakatia mirija ya mbeleko.