Hapa nilivyokuuliza ulijibu nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama wewe ndo mbumbumbu
Ulisema mwanza hakuna hata ndege ya kimataifa ya abiria inayotua mimi nikakuuliza swali dogo tu kuwa je Arusha kuna ndege ya kimataifa inatua ?
jibu lako likawa ndio [emoji23][emoji23] KIA serves 98% [emoji23][emoji23]
kwa hiyo kwa uelewa wako ndege ikitua KIA na Arusha nayo inakuwa imepokea ndege ya kimataifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au KIA ndo inakuwa imepokea ndege ??????
Acha umbumbumbu mkuu [emoji28]
View attachment 2073031