Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza imekusanya makabila yafuatayo:
Wahaya
Wanyaturu
Wasukuma
Wakurya
Wanyamwezi
Wamanyema
Waha
Wakurya
Wazanaki
Wakerewe
Watusi(wanaletwa na waha)
Wachaga
Wamasai
Nk.
Sasa wanawake wa makabika yote hayo huoni wataipuki arusha mbali ambayo ina wamasai, wachaga,waarusha,wadigo,wanyiramba.
Mwanza ni moto imekusanya makabila mengi kuliko Arusha ambayo ina makabila yanayozunguka pale tu.
Mfano wanyakyusa,wabena ni rahisi kufikiria kwenda kutafuta maisha mwanza kuliko Arusha.
Hahahaha

Nmekubali

Ova
 
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.

Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha kote bado watu hawajapata jibu la moja kwa moja kwamba ni mji gani mzuri na una fursa kubwa za kimaisha kuliko mwingine pamoja na ukuaji wa maendeleo.

Karibuni mchangie
Bila Shaka wewe ni originality ni Arusha Mana ndo mnazo hizo Mambo.
 
hili battle sio la kwanza wala la pili na hakuna jibu chanya litakalopatikana kwenye hili battle maana naona watu wa Arusha hamtaki kabisa kukubali ukwel kwamba mwanza ipo juu.....kiserikali
Dar
Mwanza
Arusha
lakini bado hamtaki
kupandisha kwa hii miji kuwa na hadhi ya jiji
Mwanza 2000 years
Arusha 2006
yaan mwanza imekuwa jiji miaka sita baadae ndio Arusha nayo ndio imetangazwa
yaan kama ni mtoto anakaribia kumaliza elimu ya msingi lakin bado tupo hapa tunabishana
Kiongozi umeniquote vibaya mimi ni kitombile, ni mzawa wa jiji langu pendwa la Mwanza, ukitoa Dar hakuna kama Mwanza.
 
Wewe ndo mzito kuelewa umesema ndege za kimataifa zinatua Arusha nikakuuliza zipi.
Unageuka unasema KIA serves 90% cjui ya Arusha point ni kwamba Arusha hakuna ndege ya kimataifa inatua Case closed
Nyie darasani mlitesa sana watu wa Mwanza bana embu quote sehemu niliyosema Ndege za kimataifa zinatua Arusha!! Yani ushamba mnao sawa tunajua, na umbumbumbu pia? soma tena vizuri uelewe sawa namala?
 
duh! kashfa zipo kumbe
 
Nyie darasani mlitesa sana watu wa Mwanza bana embu quote sehemu niliyosema Ndege za kimataifa zinatua Arusha!! Yani ushamba mnao sawa tunajua, na umbumbumbu pia? soma tena vizuri uelewe sawa namala?
Mkuu mimi sio mtu wa mwanza ila nimepita hizo sehem zote
 
Nyie darasani mlitesa sana watu wa Mwanza bana embu quote sehemu niliyosema Ndege za kimataifa zinatua Arusha!! Yani ushamba mnao sawa tunajua, na umbumbumbu pia? soma tena vizuri uelewe sawa namala?
Hapa nilivyokuuliza ulijibu nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona kama wewe ndo mbumbumbu

Ulisema mwanza hakuna hata ndege ya kimataifa ya abiria inayotua mimi nikakuuliza swali dogo tu kuwa je Arusha kuna ndege ya kimataifa inatua ?
jibu lako likawa ndio [emoji23][emoji23] KIA serves 98% [emoji23][emoji23]

kwa hiyo kwa uelewa wako ndege ikitua KIA na Arusha nayo inakuwa imepokea ndege ya kimataifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au KIA ndo inakuwa imepokea ndege ??????

Acha umbumbumbu mkuu [emoji28]
Screenshot_20220108-085441~2.jpg
 
Hapa nilivyokuuliza ulijibu nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona kama wewe ndo mbumbumbu

Ulisema mwanza hakuna hata ndege ya kimataifa ya abiria inayotua mimi nikakuuliza swali dogo tu kuwa je Arusha kuna ndege ya kimataifa inatua ?
jibu lako likawa ndio [emoji23][emoji23] KIA serves 98% [emoji23][emoji23]

kwa hiyo kwa uelewa wako ndege ikitua KIA na Arusha nayo inakuwa imepokea ndege ya kimataifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au KIA ndo inakuwa imepokea ndege ??????

Acha umbumbumbu mkuu [emoji28]View attachment 2073031
Jinga kabisa. Ndio maana mnatawaliwa na wajinga wenzenu. Usichoelewa hapo ni nini sasa? yani mtu anashindwa logic ndogo hivi? kweli? kazi ipo. Mwanza vichwa vizito sana. Mwanza yenyewe uwanja wa kimataifa hauna ndege ata moja ya kimataifa inayotua pale. Ndio maana mishambamishamba imezoea kuona majitu ya hovyo mwaka mzima. Hakunaga ata corporate firm au brand zinawazaga Mwanza yani. Wanajua its a waste of time. Mijitu yenyewe mishamba haitaelewa.
 
duh! sasa mbona maneno makali sana? mnaelekezana au mnagombana? sasa mwanza kama ikiwa mkoa wa kishamba ambao nyie mnaamini kuwa ni jiji ta tatu na wengine wanaamini kuwa jiji la pili, sasa kama jiji ta tatu kwa mujibu wa taarifa zenu mnasema la kishamna sasa iyo mikoa mingine itakuwaje?
 
Hapa nilivyokuuliza ulijibu nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona kama wewe ndo mbumbumbu

Ulisema mwanza hakuna hata ndege ya kimataifa ya abiria inayotua mimi nikakuuliza swali dogo tu kuwa je Arusha kuna ndege ya kimataifa inatua ?
jibu lako likawa ndio [emoji23][emoji23] KIA serves 98% [emoji23][emoji23]

kwa hiyo kwa uelewa wako ndege ikitua KIA na Arusha nayo inakuwa imepokea ndege ya kimataifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au KIA ndo inakuwa imepokea ndege ??????

Acha umbumbumbu mkuu [emoji28]View attachment 2073031
ALAFU SIO KWA UELEWA WANGU, NDIO UHALISIA. NDEGE YA KIMATAIFA IKITUA KIA, ARUSHA IMENUFAIKA. 98% ya wageni lazima waende Arusha ni fact na sio fiction wanaojua wanajua. Sasa we endelea kuangalia ndege zinabeba migebuka hapo.
 
Ukibishana na mjinga unaweza shangaa na ww ukawa mjinga ngoja nikuache naujinga huo wako.
Sitakujibu chochote
 
Jinga kabisa. Ndio maana mnatawaliwa na wajinga wenzenu. Usichoelewa hapo ni nini sasa? yani mtu anashindwa logic ndogo hivi? kweli? kazi ipo. Mwanza vichwa vizito sana. Mwanza yenyewe uwanja wa kimataifa hauna ndege ata moja ya kimataifa inayotua pale. Ndio maana mishambamishamba imezoea kuona majitu ya hovyo mwaka mzima. Hakunaga ata corporate firm au brand zinawazaga Mwanza yani. Wanajua its a waste of time. Mijitu yenyewe mishamba haitaelewa.
Hivi kweli una akili timamu?? Mbona unaruka ruka kama ndama aliyepoteza mamaye?
 
chuga ipo juu kaka hakimu...kama ni vyuo chuga vipo vya kumwaga....watoto wa kali ndio usiseme chuga ndio jiji lenye watoto wakali nchi hii
Wakali ili wakicheka sasa..mademu wengi wa aresha hata wakipiga picha wamenuna.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unataka kuniambia mwanza iko vzr sana?
Ni kweli mwanza iko juu ya arusha, vinavyoiangusha arusha kwa sana ni kipindi cha mvua mji unakuwa tope na kipindi cha kiangazi vumbi na vimbunga, lakini upande wa mambo mengine mji ni poa tu lakini haifikii mwanza,
Pia kwa watoto wazuri naiona arusha iko mbele,
Mabinti wengi wa mwanza sura ni za baba zao
Ila kipindi vyuo havijafungwa watoto wazuri wanakuwepo mwanza usiombe vyuo vifungwe,mnabaki na watoto wa kike kama wa kiume,
Kwa madhari nzuri za kutembekea mwanza iko mbele na ni mji mkubwa kuliko arusha,
Mi ni mzaliwa wa mwanza na nimekulia mwamza, lakini ukubwani ktk kutafuta tafuta nimeweka makazi yangu Arusha
 
Back
Top Bottom